Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

International flights
1. Julius Nyerere
2. Kilimanjaro
3. Abeid Amani

Usafiri wa ndani
1. Julius Nyerere
2. Mwanza airport



Dodoma ni kama songwe airport tu
Shukran mbona uwanja wa Mwanza ni kama madarasa ya Sekondari
 
Na kuhusu Hilo wakulaumiwa ni serikali na TAA, uwanja upo vile lakini uko busy kuliko maelezo. Sisi wengine hatuna majibu maana ingekuwa unajengwa na private sekta tungeona Kuna gap
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…