ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Soma vizuri hayo maelezo ndo uje utuambie Toka lini Dodoma ikawa na ardhi yenye mchanga badala ya dongo jekunduDom the Capital City ππ
View: https://www.instagram.com/reel/C7lgCOfN1BX/?igsh=MXJxeWp0aW02dXFjMA==
Dodoma Wanajengewa nyumba na Serikali πππππSoma vizuri hayo maelezo ndo uje utuambie Toka lini Dodoma ikawa na ardhi yenye mchanga badala ya dongo jekundu
Kwahiyo umekuja na jina la the sunk, kijana wa hovyo sana πππDodoma Wanajengewa nyumba na Serikali πππππ
View: https://www.instagram.com/reel/C7eEo0Bt9zm/?igsh=dnJpYTh6dnphamxh
My Take: Dodoma Mjini Kuna udongo mwekundu? Kumbe naongea na mtu hata Dom hapajui ππ
ππππ¨Kwahiyo umekuja na jina la the sunk, kijana wa hovyo sana πππ
Tukileta maneno maneno unaanza kulalamika, wakati wewe kila siku unaokoteleza kwenye mitandao. Tukikuletea render unaanza kuhaha sasa wewe unatuletea story sijui kwa faida ya nani?
Hapo kuna render au Kuna taarifa ya ujenzi wa Kituo Cha teknolojia kwa ufadhili wa Korea?Tukileta maneno maneno unaanza kulalamika, wakati wewe kila siku unaokoteleza kwenye mitandao. Tukikuletea render unaanza kuhaha sasa wewe unatuletea story sijui kwa faida ya nani?
Hii ndio jiji la kitalii, aise too shame on them
Kwa hiyo picha hapo juu ni sehemu ya city centre ya arusha!!???π€£π Arusha Bado sana kuilinganisha na mwanza yaani maeneo kama hayo yalinganishe na usagara huko maana hata nyegezi ni pazuri kuliko city center yenu
Mada ni Dodoma vs Mwanza ,msitafute kichaka.
Hii ndio jiji la kitalii, aise too shame on them
Arusha na Mwanza zote linapokuja swala la mipango Mji ni madampo tuu.Kwa hiyo picha hapo juu ni sehemu ya city centre ya arusha!!???π€£π Arusha Bado sana kuilinganisha na mwanza yaani maeneo kama hayo yalinganishe na usagara huko maana hata nyegezi ni pazuri kuliko city center yenu
Ya dodoma iko wapi?Hii ni stendi au godown? ππππ
View: https://www.instagram.com/p/C76DkU3oNzL/?igsh=MWw1c2V0bXU2eGZ5OA==
Hiki ni kitongoji cha lumumba pale mwanza
Kwani huijui? Ni mbaya kama hayo magodown ya hapo Mwanza mnaita stendi?Ya dodoma iko wapi?
ULikuwa arusha sasa dodoma, utahama tu. Mwanza ni jeshi la mtu mmojaKwani huijui? Ni mbaya kama hayo magodown?
Lile daraja gharama yake inaweza kuipendezesha arusha nzima kwa maghorofa ya bilion 10 ikawa na ghorofa takriban 40 chapu.Kwani huijui? Ni mbaya kama hayo magodown?
Kwani huijui? Ni mbaya kama hayo magodown ya hapo Mwanza mnaita stendi?