Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Acha mipasho kama inakuuma sana mwanza kuvikosa vitu hivyo kwanini usinyamaze na kama ukiona ujatendewa haki vilete uthibitishe kuwa vipo kwani shida iko wapi mbona unaneng'eneka kike
 
We kweli ni kiazi

Nono supermarket
U turn supermarket
Lavena supermarket
Emar supermarket
Mwanza supermarket
Destination supermarket

Hizo supermarket tu bado sijalist supermarket zilizo ndani ya the giant rock city mall pia min supermarket ndio usiseme zimetapakaa kila sehem kama nyamongoro,igoma,kishiri,national, ghana,bwiru, nyasaka, kiseke, kilimahewa, nyamanoro,pansiasi, kitangiri, mabatini,igogo,butimba,nyegezi, mkolani,buhongwa,mahina, bugarika,busweru, mecco,kangae,mwanachi,mkolani,kariakoo,kirumba,monarch,maduka tisa,igombe ,mihama,iloganzara,ilemela aiseee nk........

Wapuuzi sinatabia ya kuwavumilia
 
Sasa hapa zaidi ya vichaka na barabara ya njia nne isiyovuka kilometa 15 na ndiyo kiaminio nje ya hapo hamna kitu tena..zaidi ya ka rock city mall (hatujengewi na serikali) ndo kakujivunia.
Za dodoma zipo wap?
 
Wala wanafanya hii battle siyo Wagogo ni Mwanza haters wengi siyo Wagogo Wala watu wa Dom. Ni watu wa mikoa fulani wengi meno yao Yana rangi

Sent from my Lenovo L38111 using JamiiForums mobile app
Msijenge chuki na kila jiji lililowapigeni gepu maana siku zote ni kawaida kwa masikini kumchukia tajiri
 
Leta mall yenu ambayo haijajengwa na serikali.
Sasa hapa zaidi ya vichaka na barabara ya njia nne isiyovuka kilometa 15 na ndiyo kiaminio nje ya hapo hamna kitu tena..zaidi ya ka rock city mall (hatujengewi na serikali) ndo kakujivunia.
 
Mkuu wala Haina haja ya kupost waache, na sisi watu wa Mwanza tuwakubalie kwamba dodoma iko juu kuliko mwanza ili mioyo yao ifarijike wala hakuna haja ya kuweka ligi na Hawa heters
Hakika...
 
Hahahaaa nilikuwa nakuchokonoa ujae ona sasa umeshajidhalilisha tiyari kuingia mtandaoni na kutupakulia list ya vi-supermarket vya rock city mall kama kina nono hao na hivyo ulivyovitaja...sidhani hata kama ulishawahi ingia mule rock city mall..maana wasukuma kwa kushangaa shangaa na umasikini wa hali ya juu kumefanya jengo la watu kuingiza hasara nakuishia kuchakaa mpaka leo limekosa kuwa full occupied.
 
Msijenge chuki na kila jiji lililowapigeni gepu maana siku zote ni kawaida kwa masikini kumchukia tajiri
All against Mwanza Jiji lisilitegemea miradi ya serikali. Hakuna Cha Mahakaka ya Kimataifa, Hq ya EAC, miradi NHC, mako makuu ya serikali ama shirika lolote la umma, hakuna hospital kubwa ya serikali, hakuna chuo Cha umma, hakuna taasisi yoyote kubwa ya umma. Hakuna apartment za shirika. Hakuna chochote Cha umma

Ila iko juu na watu wake.

TV ipo private
Mahotel private
Apartment private
Vyuo private
Hata vizuko ferry ni private hakuna za umma kama kigamboni


Mwanza tunataka kuanza kujenga barabara zetu wenyewe

Sent from my Lenovo L38111 using JamiiForums mobile app
 
Duh, huyu jamaa nimeona hsijui mza, eti kuna jengo moja tu lenye ghorofa kumi na kuendelea, nimeona tunabishana na kilaza

Kusema eti Dom itaunganishwa na njia nne to Dar, hii ni mipango ya serikali angalau barabara kwenye miji mikubwa ziwe njia nne kwa km 50. Na kwa Taarifa tu kule mbeya karibu wanaanza kujenga njia nne Toka mbeya hadi Tunduma,

Miradi mipya mwanza mbona ipo mingi tu iko kwenye mazungumzo mwingine.
Mfano kuna mpango wa kujenga tampere park itakayoanzia usawa wa benki kuu mpaka kona ya mwaloni, hapa kutakuwa na restaurans, sehemu za watoto nk
Bugando wanataka kujenga hospitali ya moyo, jengo litakuwa na 15 floors.
Nyakato pale kuna msukuma mmoja anataka kujenga 19 floors, hapa kutakuwa na apartments, mall nk.
Kuna ujenzi wa masoko, mfano soko la kirumba litavunjwa na kujengwa jipya, soko lingine litajengwa buswelu wilayani pamoja na barabara kadhaa.

Ngoja nikomee hapa


BOT mza
 

Bwahahaa ngoja nicheke mie, eti hata mwanza hoteli inayowabeba pia ni private, watumishi house za kisesa mnazoita apartments pia ni private, chuo cha mipango pia ni private, mabarabara, stendi, kiwanja cha ndege, uwanja wa mpira wa ccm, rock city mall eti ni private mwishowe hadi gereza la butimba nalo tutaelezwa ni private.

Ukiona serikali haijiangaishi sana kuwekeza kwenu inamaanisha haina cha kugain huko cha zaidi inaelekeza nguvu kwenye miji ya maana itakayoleta faida zaidi kwenye uchumi wa nchi na miongoni mwa majiji hayo ya maana ni idodomia.
 
Next time ataulizia traffic lights, ushindani wa kijinga kweli huu
 
Haya weka ushabiki pembeni, Kati ya mwanza na dodoma lipi ni eneo potential ambalo hata serikali inabidi iliwekee nguvu zaidi ili kujiingizia mapato? Ukiniuluza Mimi ntakwambia ni mwanza sababu
1.kuna ziwa kubwa ambalo shughulii za uvuvi na usafirishaji wa samaki hadi nje ya bara

2.iko karibu zaidi na nchi nyingi za Afrika mashariki

3.uwepo wa migodi na shughuli za uchenjuaji na usafishaji wa madini Kama almasi na dhahabu

4.idadi ya watu na muingiliano wa watu ni mkubwa ni kubwa hivyo hata upatikanaji wa mapato ni mkubwa

5. Ukubwa wa eneo

6. Hali ya hewa

7. Idadi ya viwanda ni kubwa kulinganisha na Hilo jiji lako

Haya na wewe utakae chagua dodoma tuletee potentiality yake na kwa nini serikali iwekeze sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…