Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Picha za huko juu hiyo ni mtaa wa malaika, ambako bila kuanzia milioni 200+huwezi pata plot, mitaa mingine ambayo bila milion 200+ huwezi pata plot ni Capri Point, Bwiru press, Ibanda,Luchelele ziwani, Hizo ilazo za Dodoma ni level za akina Nyegezi majengo, Kiseke, Nyasaka, Mwananchi, Kwa Dodoma mitaani leteni site inayoweza uzwa milioni 200 na kuendelea, Halafu mtu just from no where haijui Mwanza anakuja kuropoka eti Mwanza sehemu za kishua hazipo mara ni changanyikeni mkifika mwanza muwe mnaomba mtembezwe sio
 
Halafu watu wa Dodoma mnachekesha hizi ndio bei za viwanja vya maeneo yenu ambayo ndio mnaona wakaa wakishua, kama wakishua ndio wanakaa haya maeneo bado Dodoma haina maeneo ya mafogo aka wenye pesa, haya maeneo ni kama Nyashishi na Kishiri
 
Wanahela ya kununua viwanja hao?. Na washukuru watumishi wa serikali tumeamua kujenga hapa kwasababu ya ukaribu wa vituo vyetu vya kazi vinginevyo wangebaki na nyumba zao za tembe.
 
πŸ”¨πŸ”¨πŸ”¨πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/reel/C_csI_zN0z5/?igsh=MnBwdGFjMGNmZXJ0
 
Mwanza huijui vizuri aiseee nipo huku dar ila mwanza ndo nitaweka makazi yangu ya kudumu mwanza kwa asieijua anaweza ropoka ila duuh mwanza kisanga
Yuko sahihi,Mji gani unakuwa hivi? πŸ‘‡πŸ‘‡
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜¬πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…