Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Screenshot_20241009-124005.png
Dodoma kwa mitaani huwezi kuta uwanja unauzwa million 500
 
Picha za huko juu hiyo ni mtaa wa malaika, ambako bila kuanzia milioni 200+huwezi pata plot, mitaa mingine ambayo bila milion 200+ huwezi pata plot ni Capri Point, Bwiru press, Ibanda,Luchelele ziwani, Hizo ilazo za Dodoma ni level za akina Nyegezi majengo, Kiseke, Nyasaka, Mwananchi, Kwa Dodoma mitaani leteni site inayoweza uzwa milioni 200 na kuendelea, Halafu mtu just from no where haijui Mwanza anakuja kuropoka eti Mwanza sehemu za kishua hazipo mara ni changanyikeni mkifika mwanza muwe mnaomba mtembezwe sio
 
Halafu watu wa Dodoma mnachekesha hizi ndio bei za viwanja vya maeneo yenu ambayo ndio mnaona wakaa wakishua, kama wakishua ndio wanakaa haya maeneo bado Dodoma haina maeneo ya mafogo aka wenye pesa, haya maeneo ni kama Nyashishi na Kishiri
Screenshot_20241009-234848.png
 
Halafu watu wa Dodoma mnachekesha hizi ndio bei za viwanja vya maeneo yenu ambayo ndio mnaona wakaa wakishua, kama wakishua ndio wanakaa haya maeneo bado Dodoma haina maeneo ya mafogo aka wenye pesa, haya maeneo ni kama Nyashishi na KishiriView attachment 3120395
Wanahela ya kununua viwanja hao?. Na washukuru watumishi wa serikali tumeamua kujenga hapa kwasababu ya ukaribu wa vituo vyetu vya kazi vinginevyo wangebaki na nyumba zao za tembe.
 
๐Ÿ”จ๐Ÿ”จ๐Ÿ”จ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

View: https://www.instagram.com/reel/C_csI_zN0z5/?igsh=MnBwdGFjMGNmZXJ0
 
Mwanza huijui vizuri aiseee nipo huku dar ila mwanza ndo nitaweka makazi yangu ya kudumu mwanza kwa asieijua anaweza ropoka ila duuh mwanza kisanga
Yuko sahihi,Mji gani unakuwa hivi? ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
Screenshot_20241008-193403.jpg

๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜ฌ๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
 
Back
Top Bottom