Picha za huko juu hiyo ni mtaa wa malaika, ambako bila kuanzia milioni 200+huwezi pata plot, mitaa mingine ambayo bila milion 200+ huwezi pata plot ni Capri Point, Bwiru press, Ibanda,Luchelele ziwani, Hizo ilazo za Dodoma ni level za akina Nyegezi majengo, Kiseke, Nyasaka, Mwananchi, Kwa Dodoma mitaani leteni site inayoweza uzwa milioni 200 na kuendelea, Halafu mtu just from no where haijui Mwanza anakuja kuropoka eti Mwanza sehemu za kishua hazipo mara ni changanyikeni mkifika mwanza muwe mnaomba mtembezwe sio