Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Msamehe Sasa mwamba hatarudia kubishana na jiji la pili kwa mapato na uzuri Tanzania jiji la mwanza 🙏🙏🙏nakuomba sana msamehe 😆😆😆😆
 
Msamehe Sasa mwamba hatarudia kubishana na jiji la pili kwa mapato na uzuri Tanzania jiji la mwanza 🙏🙏🙏nakuomba sana msamehe 😆😆😆😆

Ngoja nimpasue nazo hizi mbili. Tumewaambia watujibu kwani tupo tayari kuwajibu.
 
Wakibisha tunachapa projects zote za town halafu waendelee kujaza mafuvu.
 
Watakuletea Nyumba za Ilazo, mara utaambiwa Dodoma imepangwa yote, utaletewa vigorofa vya mtumba
Mnachekesha sana aisee naona mmeamua kujijibu wenyewe..😂😂😂.
Sisi Mawakili ili ushinde kesi mahakamani lazima uwasilishe hoja zenye facts ili Judge akupe ushindi sio u-present picha za kuedit ndiomana ushahidi wa picha au video za kutengeneza huwa haukubaliki mahakamani😀😀.
Unazungumzia maghorofa ukifika Dom ni balaa😀😀.Idadi ya maghorofa yote ya Udom na colleges zake zote ni sawasawa na maghorofa yote ya Mwanza City Centre.
Na hapo bado sijakutajia maghorofa ya Tambukareli,Mji Mpya,One- way,Nyerere Square,Njedengwa Investment Area,Kisasa,Uzunguni,Area D,Mlimwa C,Miyuji,Magereza,NHC,Itega,Magufuli City n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…