Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Endeleeni kujifariji tu Mwanza hakuna mtaa wowote unaofika ubora wa mpangilio wa mitaa ya Dom labda kidogo Capri Point.
Nakupa mifano michache
-UZUNGUNI huko kote kumepangiliwa lami tupu hakuna barabara ya vumbi hata moja
-KILIMANI kwa waheshimiwa-huko kote kumepangiliwa hakuna barabara hata moja ya vumbi yaani hadi vibarabara vinavyoingia kwenye nyumba za watu zote ni za lami
-KISASA huko kote ni full lami +mfumo wa kisasa wa uondoshaji wa majitaka na takataka zingine
-ILAZO huko huwezi kuona hata choo tu cha uswahilini tena huko ndio balaa nyumbazote ni zile za fashion mpya utadhani wakaazi wa kule wameambiana .
Hapo bado sijakuongezea mitaa mingine kama Area E(kwa waheshimiwa), Area D- kwa waziri mkuu,Mlimwa C,Maghorofani,Miyuji Proper,Itega,Area A,Magereza,Kisasa extension,Medeli NHC n.k

Mwanza hakuna mtaa wowote uliopangiliwa 100% mitaa angalau inayojitahidi na yenyewe imechanganyika na uswazi+vijumba vilivyojengwa bila mpangilio. Tatizo lenu hamtaki kukubali ukweli Dom unayoiona leo imeanza kupangiliwa tangu enzi za Nyerere sasa utalinganishaje na Mwanza ambayo mpaka leo barabara tu za mitaa bado ni changamoto.
 
Acha uongo COED tu yenye hostel nyingi ina blocks 25, pale CIVE napo kuna blocks 6 sasa hizo mia unazosema sijui unazitolea sayari gani? Halafu huko udom napo ni CBD?
Vyuo vya Mwanza🤣🤣👇👇

 
Hiyo
Hyo mitaa uliyotaja kuanzia kısasa ,sijui ilazo imejaa mavumbi kama jangwa la somalia
 
Leta takwimu hapa sasa acha kubwabwaja. Dom inaizidi maghorofa how justify....... Usilete ngonjera kingese ngese hapa.
 
Sasa unataka za CBD si uzilete sasa. Kwa akili yako uitoe udom na magufuli city unategemea Dodoma inabaki na maghorofa mangapi hebu acha ulofa bwana mdogo. Ndiyo maana mnaambiwa bangi mbichi humfanya mtu kujiona mjanja na mwenye akili sana. Leta takwimu zako tukuone kweli unaongea vitu vyenye mantiki
 
Fala kweli, wa namna hii ukibahatika kukutana Naye unamchapa nakozi za maana ili akili ikae pahala pake.
 
Hata mm nishamsoma nikaona hamna kitu kichwani, Kila siku anakwambia sehemu iliyopangwa mwanza ni Capri Point tu, Unabaki unacheka tu, 🤣 🤣 🤣 🤣
Anakuambia anabishana na watu wenye IQ, swali Kuna mtu Hana IQ au anataja vitu bila hata kuelewa. Unajua ujinga nao mzigo, anarukia kutaja vitu ambavyo havijui hata hawezi kuvifafanua. Namshauri akasome "theories of personality". Apitie pia five stages of human development by 'Freud sigmoid" atakuja na jawabu ni wapi mapungufu yake yalipo. He is too grandiose, stupidity at its best.
 
Huna hoja umebaki kudandia vitu ambavyo havipo kwenye mjadala, endelea kujilisha upepo.
Sasa kama chanzo chake Cha taarifa ni jf Tena kurasa zinazoanzishwa na watu kama yeye wenye mentality yake unategemea mtu huyo ana akili, kwamba anajua hata anachokufaya?
 

Hebu kuwa na utayari wa kuelewa unapoelewesha na kubali kujifunza pale usipopafahamu. Unaishi kwa kukariri sana, je Huu mtaa unaufahamu??????.
 

Msiwe wepesi wakupagawa na miradi ya serikali, huu mtaa unafahamu?. Ukitaka full package useme hapa ndo maskani tunaenda kwa evidence na si porojo porojo
 
Huna hoja umebaki kudandia vitu ambavyo havipo kwenye mjadala, endelea kujilisha upepo.
Unachekesha sana kwamba Chuo Kikuu cha SAUT hakihusiki kwenye mjadala humu au hakipo Mwanza😀😀. Comparison ya vyuo vikuu vya Mwanza na Dom ni mbingu na ardhi .Dom wamewazidi Mwanza kwa ubora wa majengo na miundombinu ya vyuo vikuu mbalisana mfano ndio huo hapo kwenye hiyo thread😀😀.
UDOM pekeyake kwa uborawake+uwingi wa maghorofa inachukua wanavyuo wote wa hadi vyuo vya kati vyote vya Mwanza jumlisha wa wanafunzi wa A level na bado nafasi inabaki.
Na hapo bado sijakutajia vyuo vingine mfano St John's,CBE,Capital,Chuo Kikuu cha Kanisa la TAG,IRDP-Mipango,Madini,Don Bosco nk
 
Naona unataja hadi veta 🤡🥳🤡
 
Hawezi kujibu, akijitahidi sana atakuja na mabweni ya udom.
Watu ambao hawajaenda shule "illiterates" ndio huwa wanajibu mijadala picha kwa picha,video kwa video,ushabiki maandazi kwa ushabiki maandazi😀😀. Wasomi huwa wanajibu mijadala hoja kwa hoja,facts kwa facts,details kwa details,references kwa references ndiomana kule chuo kikuu tunasoma vitabu hatusomi album za picha😂😂.
Hatukatai picha zinaweza kutumika kama nyongeza hata mimi huwa napost marachache picha humu shidayenu nyinyi mnataka kugeuza hii thread kama iwe studio ya picha baada ya kuona mmeshindwa hoja,facts na vielelezo vingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…