Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Si useme tu shoppers plaza kama ilivyo buzuruga plaza
 
vielelezo
Unataka vielelezo sio kwenye hoja zangu sasa twende kazi
-Dom wameizidi mbali sana Mwanza ukusanyaji mapato....reference hii👇
-Licha ya Dom kuwa makao makuu ya chama na serikali kwa sasa Dom inashika nafasi ya pili baada ya Dar kwa uwingi wa taasisi na mashirika ya kimataifa tofauti na Mwanza ...reference👇👇


-Dom ni jiji lililopangiliwa vizuri sana mipangomiji na makazi Mwanza haifiki hata robo.Dom mpaka mapaa ya nyumba kwa kila mtaa yana mfanano wa rangi husika...👇👇
 

Attachments

Uingereza kufungua ubalozi Dom ndo kunaifanya Dom kuizidi Mwanza, una wenge dogo.
 
Kwa kila hoja zangu nitakua nakupa references kama hizo kutetea facts. Sasa na wewe nakukaribisha ubishane na mimi kwa kuniletea clear references kama hizo.
ANGALIZO sitaki uniletee video,picha au irrelevant data kwa mfano za mkoa badala ya mji😂😂😂
 
Dom ni jiji lililopangiliwa vizuri sana mipangomiji na makazi Mwanza haifiki hata robo.Dom mpaka mapaa ya nyumba kwa kila mtaa yana mfanano wa rangi husika...👇👇




Hiii hoja yako unaiona iko sawa kwa akili yako hebu iletee ushahidi asiyejua aelewe na umetumia chanzo kipi?.
 
Uingereza kufungua ubalozi Dom ndo kunaifanya Dom kuizidi Mwanza, una wenge dogo.


Kivipi uwepo wa ubalozi Dom umeipiku Mwanza?.
 
Leta shahidi tukueleweshe sisi wengine hatupendi kuishi kwa kujikadiria uongo.
 
Rudi kwenye hoja zako za huko juu tumalizane moja baada ya nyingine nimekuambia tuanze na masoko na shopping malls,
 
Huyu pimbi haieleweki, aanze na masoko na shopping malls, then aende hoja nyingne
 
Hakuna
Hapa hakuna shopping mall hata moja, pia masoko lipo moja ambalo lipo maporini huko, na machinga complex sasa vyote ni takataka tu, Central market ya mwanza inavikusanya vyote hivi na Mshindani market Central market ya mwanza ni soko la kariakoo tu, na itachukua miongo kazaa hii mikoa iliyobaki kupata central market kama ya mwanza,
 
Rudi kwenye hoja zako za huko juu tumalizane moja baada ya nyingine nimekuambia tuanze na masoko na shopping malls,
Mbona hueleweki mwanzo umesema hojazangu hazina vielelezo si ndio....sasa nimekupa references kutoka reliable sources. Nataka na wewe unipinge kwa references na reliable sources .

ANGALIZO-nataka references na vielelezo kama nilivyotoa sitaki video,picha
Haya twende kazi ....jitahidi kuwa mbunifu kidogo😂😂
 
Tupia masoko na malls za Dodoma
Unaruka ruka tu ...kwakifupi wewe na wenzako hamna uwezo wa kujibu hoja+facts,details na references zangu uwezo wenu ni kujibu picha na video😂😂 ndiomana huwa nawashauri nendeni kule kwenye thread yenu mkajifariji👇👇
 
Leta reference zinazoonesha mna malls nyingi na masoko mengi
 
Wewe ni bogus hata kukaa tunakujibu ni kupoteza mda tu
 
Wewe ni bogus hata kukaa tunakujibu ni kupoteza mda tu
Ukitaka kubishana na mimi kwanza uwe smart kichwani pili uwe na facts,hoja na details zilizoenda shule....michambo+mipasho peleka facebook ndio level zako.
 
Ukitaka kubishana na mimi kwanza uwe smart kichwani pili uwe na facts,hoja na details zilizoenda shule....michambo+mipasho peleka facebook ndio level zako.
Kichwa Cha panzi, reference zako ni thread za jamii forum, nilijua una akili japo kidogo kumbe ni lofa pro max. Ulipokataa report za NBS nikajua una chanzo chako Cha kutegemea kumbe ujinga mtupu. Na nimekutafuta ili nikupime vizuri uwezo wako inatosha kusema wewe ni mvupumba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…