Unataka vielelezo sio kwenye hoja zangu sasa twende kazi
-Dom wameizidi mbali sana Mwanza ukusanyaji mapato....reference hii👇
Halmashauri zote zakusanya Bilioni 449 Mapato Ya Ndani IKIWA imepita robo ya tatu ya mwaka wa fedha 2018/2019, Halmashauri zote nchini zimekusanya Sh. bilioni 449.8 ambayo ni asilimia 61 kati ya Sh. bilioni 735.6 zilizotarajiwa kukusanywa kutoka kwenye vyanzo vya ndani huku Halmashauri
www.google.com
-Licha ya Dom kuwa makao makuu ya chama na serikali kwa sasa Dom inashika nafasi ya pili baada ya Dar kwa uwingi wa taasisi na mashirika ya kimataifa tofauti na Mwanza ...reference👇👇
Uingereza imekuwa ya tano kufungua ofisi za ubalozi wake mkoani Dodoma ikitanguliwa na Ujerumani, Ufaransa, China na Falme za Kiarabu (UAE).
www.google.com
-Dom ni jiji lililopangiliwa vizuri sana mipangomiji na makazi Mwanza haifiki hata robo.Dom mpaka mapaa ya nyumba kwa kila mtaa yana mfanano wa rangi husika...👇👇