Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Kuna mbwa koko huko juu inasema Gold crest ni jengo la PSSSF 🀣🀣🀣🀣na Gold crest amepanga, Halafu jamaa anasema ana IQ kubwa aise nimecheka hatariii
 
Wa
Una kiwango gani cha elimu isije nikawa nabishana na darasa la sita πŸ˜‚πŸ˜‚..Hili daraja lipo Mwanza CBD eti...🀣🀣🀣🀣🀣
Wakati unapost idadi ya maghorofa ya udom kumbe yalikuwa CBD?
 
Hawa vijana siyo wazima kabisa, yani hii ndiyo CBD iliyofunguliwa thread, Dodoma bado safari ni ndefu sana.
Vigorofa vya taasisi na outer ring mzee masare vinamchanganya halafu anafikiri Majiji mengine yamelala, uzuri Samia scheeme project Soon inabisha hodi Nyumba 3000,kama za magomeni kota
 
Jiji pekee linaizidi Dodoma ni Dar na ni upande wa maghorofa ya Kariakoo na Posta,but after 30 years to come Dar utapitwana Dodoma.
Kumbuka kuwa 3/4 ya maghorofa yalipo Posta ni mali ya Serikali.Huwezi shindana na mahali ambapo Fedha zinaanzia kutoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…