Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Mbona kijengo cha kawaida sana hiki au ndo ushamba wenyewe🀣🀣🀣
 
Weka hapa Video au picha za hiyo Mitaa ya mabanda ,mbona ya Dom tunaweka?

Dom HQ πŸ”₯πŸ”₯πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://youtu.be/iXOuFS0gCJc?si=I-LN02NURn1uwGDe
 
Huyo aloanzisha Uzi ni mgeni jf, na kaanzisha jana, kwa hulka zenu za kingese mmoja wenu anaweza kuwa ameanzisha na akauquote hapa. Ni kama huu Uzi Kuna falo Moja kaanzisha na tunaishi Naye humu, childish
Watangazaji wa Kimataifa Huwa wanaenda kurekodi picha Dar,Arusha na Dom sijawahi ona wakienda Mwanza Kwa sababu hakuna Cha kurekodi watachafua media zao πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Watangazaji wa Kimataifa Huwa wanaenda kurekodi picha Dar,Arusha na Dom sijawahi ona wakienda Mwanza Kwa sababu hakuna Cha kurekodi watachafua media zao πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Chuki kwa mwanza itakuua Diamond platnumuz wa kimataifa alirekodi Ngoma yake ya Nyegezi Nyegezi mwanza wewe unaongea Nini mshamba wewe🀣🀣🀣🀣
 
Chagua mtaa tuanze battle la mtaa kwa mtaa mie nimekuanzishia Capri one Vs Kisasa, come on
πŸ˜‚πŸ˜‚Mabatini,Igogo,Buzuruga,Igoma,Nyerere B utalinganisha na mitaa gani Dom.Dom hata mitaa ya uswahilini kwamfano Chang'ombe,Chaduru,Mkalama iko far better kimpangilio kuliko mitaa mingi tu Mwanza🀣🀣
 
Watangazaji wa Kimataifa Huwa wanaenda kurekodi picha Dar,Arusha na Dom sijawahi ona wakienda Mwanza Kwa sababu hakuna Cha kurekodi watachafua media zao πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Watangazaji wapi Naye acha ulofa yaani online tv za watu unaita watangazaji jaribuni kuwa na akili japo kidogo. Online tv zipo kila mahala hata chagamba na Mzee said wamejulikana kwa ajili hiyo. Usiwe mshamba kiasi hicho.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚Mabatini,Igogo,Buzuruga,Igoma,Nyerere B utalinganisha na mitaa gani Dom.Dom hata mitaa ya uswahilini kwamfano Chang'ombe,Chaduru,Mkalama iko far better kimpangilio kuliko mitaa mingi tu Mwanza🀣🀣
Buzuruga unaijua wewe
 
Diamond πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

Tukisema nyie ni maskini muwe mnaelewa yaani Leo hii ndio mnapata Benki ya PBZ? πŸ˜†πŸ˜†πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/p/DBLHYtetNQN/?igsh=ODI4YWFzOTFzOTU=
Ila mwamba we mshamba sana habari yenyewe inaeleza mwanza ndo miongoni mwa mikoa ya mwanzo kufunguliwa hiyo benki ya Zanzibar Arusha bado haijafika hata hapo ukameni village haijafika kwa mjibu wa habari naona unatafuta chaka la kujificha sikuachi za uso zinakuhusu tu hakuna namna🀣🀣🀣🀣🀣
 
Ilikuwepo Mbeya kabla ya Mwanza πŸ€ͺπŸ€ͺπŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://x.com/Visitmbeya/status/1843644627666235764?t=q3GO49Z59eu3lRTYzLM3KA&s=19
Mwisho PBZ Iko Dom kitambo sana.

Kiufupi Mwanza Kuna maskini Benki zinajikongoja kuja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…