Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Chagua mtaa tuanze battle la mtaa kwa mtaa mie nimekuanzishia Capri one Vs Kisasa, come on
😂😂Mabatini,Igogo,Buzuruga,Igoma,Nyerere B utalinganisha na mitaa gani Dom.Dom hata mitaa ya uswahilini kwamfano Chang'ombe,Makulu,Chaduru,Mkalama
😂😂Wewe jamaa ni kituko cha karne aisee.Huo ushamba wa smartphone yaani unashindwa hata kugoogle.
PBZ tawi la Dodoma lipo tangu 2022
 
-Makao Makuu ya Jeshi Kikombo
-Bunge Girls High School Kikombo
-Chuo cha Ufundi na sekondari cha Masista wa Katoliki
-Makao makuu Tume Ya Atomiki Kikombo
N.k
Kikombo ipo CBD?
Sisi ambavyo havipo CBD ni vingapi
 
Mwanza kuna mtaa unaitwa Nyerere B? Hebu tuambie bana wewe mwenyeji huu mtaa upo manispaa ipi na kata ipi, Buzuruga gani hiyo unayoiongelea, Buzuruga ina battle na CBD yenu kama hujui
 
Onl
😂😂zamani walikua wanasema eti Mwanza ina vyombo vingi vya habari kwasababu ya Star tv...😂😂
Online tv kisweta mwenzio anasema wandishi wa habari wa kimataifa. Hapa ndo tunajua watu tunaohangaika nao ni wa namna Gani
 
Mwanza kuna mtaa unaitwa Nyerere B? Hebu tuambie bana wewe mwenyeji huu mtaa upo manispaa ipi na kata ipi, Buzuruga gani hiyo unayoiongelea, Buzuruga ina battle na CBD yenu kama hujui
Nilitaka kuuliza hata Mimi sema Kuna muda tuwaache wajifariji tu
 
Nilitaka kuuliza hata Mimi sema Kuna muda tuwaache wajifariji tu
Kabisa naona kama tunapoteza mda tu watu wenyewe Mwanza hawaijui jamaa kashakalili majina ya mitaa mitano halafu anavimba anyway ngoja aje atuambie hiyo Nyerere B ipo wapi ndio naisikia leo, Jana napo jamaa anasema Goldcrest hotel wamepanga kwenye jengo la Pssf🤣🤣🤣
 
Wewe si umeshindwa kuweka picha za Mitaa yenu au? 😆😆

Mwanza hakuna Mitaa Bali Kuna slums.

Mitaa ya Dom HQ 👇👇
 
Umetoka kwenye CBD Tena umeanza kuleta mambo ya kibenki halafu nani kakwambia benki kuchelewa kufunguliwa mahali Kuna maskini wengi mwanza ni mkoa wa pili kimapato Tanzania halafu useme Kuna maskini mwanza unatia huruma 🤣🤣🤣
 
Hapa ni wapi...😂👇
 
Unatia aibu sana naona unaruka ruka tu ...Kwanza tumekufuta ujinga wa kutokujua kwamba wenzenu Dom PBZ ilishafungua tawi huko kitambo hilo shukuru umepata elimu ya bure😂😂
.Pili Jiji la Dom limeipita Mwanza Jiji mapato mbali sana usilete habari za "mkoa" wa Mwanza wenye halmashauri nane .
Rudi shule aisee
 
Mwanza kuna mtaa unaitwa Nyerere B? Hebu tuambie bana wewe mwenyeji huu mtaa upo manispaa ipi na kata ipi, Buzuruga gani hiyo unayoiongelea, Buzuruga ina battle na CBD yenu kama hujui
Nilikwambia ukitaka kubishana na mimi kwanza uwe smart kichwani pili uwe na facts sio ushabiki maandazi la sivyo nitakuaibisha tu kama wenzako😂😂👇

Mwanza ina benki nyingi sana siwezi kuzihesabu iyo benki ya Zanzibar ilikuwepo tangu zamani sana mie kabla sijaondoka mwanza niliwahi kwenda hiyo benki IPO karibu na Belmont hotel barabara ya Kenyatta na ilikuwa 2018 sema Rais wa Zanzibar alikuwa hajaizindua hakuna kitu kitatoka Dar kiiruke mwanza eti kiende mkoa mwingine hiyo haipo 🤣🤣🤣🤣
 
😂😂zamani walikua wanasema eti Mwanza ina vyombo vingi vya habari kwasababu ya Star tv...😂😂
Ongeza na bermeda TV mwanza nahisi niughaibuni hakuna kitu kipo huku Dar mwanza ukikose kwa Sasa Kuna vyombo vya habari vingi mwanza baada ya Dar kwa mujibu wa tcra na ndo jiji linalotumia laini nyingi za simu baada ya Dar kojoa ukalale we mshamba🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kawadanganye wasukuma washamba wenzako eti ulikuepo 2018 alafu ije izinduliwe 2024 miaka 7 mbele😂😂😂.

Angalia quick facts apa chini....mpaka sasa tawi la Mwanza halijawa updated kwenye list ya matawi ya PBZ 😂😂👇

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…