Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Niletee listi ya vyombo vya habari Mwanza tulinganishe na idadi ya Dom

Dom
TV- Dodoma TV,Dodoma Cable TV,Maneno Cable TV
MAGAZETI-Dodoma Yetu, La Jiji,The Echo

Radio stations
1. Radio Mwangaza
2.Radio Jamii
3.Point Fm
4.Villa Fm
5.P Fm
6.Kifimbo fm
7.Impact fm
8.Irangi fm
9.Zabibu fm
10.Rasi fm
11. ABM fm
12.A fm
13.Nyemo fm
14.Radio Missionaries
15. C FM
16.Radio Uzima
17.Maisha fm
18.Dodoma fm
 
Hakuna mtaa unaitwa Nyerere B Mwanza
 
Huna unachojua wewe ngeke 🤣🤣🤣mie nakwambia Hilo tawi lililuwepo tangu 2018 na nilienda kuulizia huduma zao zikoje we mshamba usichojua Kuna tawi kuwepo na linafanya kazi na Kuna kuzinduliwa kwa hiyo lack of exposure inakutesa sana mie ndo nakwambia Kuna benki ya Zanzibar niliwahi kutaka kujua huduma zao ndo nakumbuka kuwa IPO tangu zamani usitafute pa kujificha unapigika kotekote🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
1.passion fm
2.kiss fm
3.mazingira fm
4.living water fm
5.lake fm
6.afya fm
7.Radio free Africa
8.iqra fm
9.city fm
10.redio kwa neema fm
11.ushindi fm
12.saut fm hii ni ya chuo saut
13.metro fm
14.huruma fm
15.hhc alive fm
16.pasiasi fm
17.amani fm
18.mwongozo fm
19.wema fm
20.shalom fm
Hivyo ni baadhi katika vingi

Haya magazeti
1.mzawa
2.mwelekeo
3 la tatu mwana mwanza aje anikumbushe nimelisahau kidogo ila lipo Hilo gazeti

Television Tena kubwa ni
1.Star tv hii ina coverage nchi nzima kuliko tv yoyote ya hapo ukameni village
2.Barmeda Tv. Wana mwanza wanajua utamu wa hii kitu.
4.cables za kumwaga oooh Dodoma inatia huruma🤣🤣🤣🤣🤣
 
We fala kweli kwani PBZ ndo Nini bhana, kwamba kuwa na bank ya PBZ ndo determination ya kitu gani kwako acheni kuwehuka ingali hospitali ya milembe ipo karibu na nyinyi.
 
Nini hiki hivi wewe unapajua nyamhongolo 🤣🤣🤣🤣stendi hizo nyumba za kawaida mno hapo hakuna kitu mwanza unyama sana
Wanafaida Moja kuwa madalali wauza viwanja wapo wengi. Wanatutangazie tukanunue viwanja hivyo kupiga picha kila kukicha . Na maeneo hayo huwezi kutana na mgogo ni watu Baki wa kuja na watumishi wa serikali. Wenyeji wanaishi kwenye nyumba zao za tembe na uswahilini.
 
Jembe ni jembe fm
 
Dodoma TV 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mnavimba na vitu vya hovyo sana vijana
 
Hakuna mahala Dodoma inaweza kujilinganisha na mwanza, wehu na wendawazimu wa vijana wanaona kuwa na masharubu basi ndo kila kutwa kubishana na sisi hapa.
 
Kitengo pekee nakipongeza Dodoma kwa sasa ni idara ya mipango miji lakini haitoi room ya kwamba Dodoma is ahead of Mwanza au zinalingana. Dodoma ndo inajengwa huku tumeshajenga
 
Hotels- mwanza
Masoko - mwanza
Wingi wa majengo marefu - mwanza
Stations nyingi za radio (media)- mwanza
Stand za mabasi- mwanza
Sehemu nyingi za kuchill - mwanza
Viwanja vya mipira - mwanza
Population - mwanza
Hali ya hewa - mwanza
Hali ya kipato Cha mtu mmoja mmoja - mwanza
Everything- mwanza
Njooni mjichanganye sasa tupitie kimoja baada ya kingine
 
List ni ndefu
 
Kitu pekee Mwanza inachozidi Dom ni population hilo halina ubishi na hali itaendelea kwa miaka mingi manake Wasukuma wanazaliana sana (hawanaga uzazi wa mpango😂😂).
Vigezo vingine Mwanza hawafiki hata robo ya Dom ndiomana mnajificha kwenye kichaka cha hali ya hewa na Ziwa Victoria😂😂.
Unaijua hali ya hewa ya Dubai....mbona ni mojawapo ya majiji yanayoongoza duniani 😂😂
 
Na Dubai inaingiaje hapa?
 
Na Dubai inaingiaje hapa?
Kwasababu hali ya hewa sio kigezo cha kupima ubora wa mji...ingekua hivyo Dubai,Cairo,Windhoek isingekua bora. Hapa Tanzania Lushoto,Makete,Njombe,Mafinga hali ya hewa ni kama Ulaya vile lakini hakuna mji wowote wenye hata hadhi ya manispaa.
Kama hali ya hewa kwako ni kigezo cha kulinganisha mji basi Njombe ingeshakuwa Jiji tayari😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…