Niletee listi ya vyombo vya habari Mwanza tulinganishe na idadi ya DomOngeza na bermeda TV mwanza nahisi niughaibuni hakuna kitu kipo huku Dar mwanza ukikose kwa Sasa Kuna vyombo vya habari vingi mwanza baada ya Dar kwa mujibu wa tcra na ndo jiji linalotumia laini nyingi za simu baada ya Dar kojoa ukalale we mshamba🤣🤣🤣🤣🤣
Dom
TV- Dodoma TV,Dodoma Cable TV,Maneno Cable TV
MAGAZETI-Dodoma Yetu, La Jiji,The Echo
Radio stations
1. Radio Mwangaza
2.Radio Jamii
3.Point Fm
4.Villa Fm
5.P Fm
6.Kifimbo fm
7.Impact fm
8.Irangi fm
9.Zabibu fm
10.Rasi fm
11. ABM fm
12.A fm
13.Nyemo fm
14.Radio Missionaries
15. C FM
16.Radio Uzima
17.Maisha fm
18.Dodoma fm