Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?


Nera nayo tuiite vipi
 
Na hii picha ni kitambo sana subiri tutakuletea recent one muone CBD mpya zinavyoonekana
Weka aerial view tuone usijekuta ni sehemu tuu ya kamtaa la hapo hapo Mjini πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

CBD lazima ziwe mbali mbali eg Mwenge,Mbagala,Kijitonyama,Sinza ,Ubungo ,Posta &Kariakoo Kwa Dar.

Dom ni Mjini Kati,Ndejengwa,Mtumba

Mbeya ni Matola,Mwanjelwa,Uyole na Mbalizi

Mwanza ni wapi na wapi zaidi ya hapo Mjini Kati?
 
Nimekupa Ghana na Nera na list Bado inaendelea mbona huelewi kama hujui.
 
Sisi siyo madali wa plots kama hujaridhika weka mwenyewe usitusumbue.
Hivi vijumba vipo isangijo vya WHC, kisesa NHC, Kiseke vya PPF siwezi kutamba navyo vyumba vitatu.
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ Nimecheka.

Sema huna Cha kuonesha ,Mwanza ni local ,poor and disorganized City ndio maana huwezi Kuta Real estates company huko na by the way hakuna wateja πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://youtu.be/tJG714FjIdo?si=Nkw9wQDxaG-LJFBV
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…