Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Simple tuu ni Central Business District.Acha ushamba wa kisukima na kukariri.

Ndio nakwambia Sasa Magufuli City ni another CBD in the making na Kwa taarifa Yako tuu upon completion Kila kitu unachokiona Mjini Kwa Sasa kitakuwepo huko Mtumba tofauti ni kwamba huko kuko planned and organized na Kila activity itakuwa sehemu yake.

Najua hujui unazuzuka Kwa kudhani ni purely government city.

Mwisho another CBD in the making,Ndejengwa Investment Area 👇👇
View attachment 3130462

View: https://youtu.be/j4awzGBkCV8?si=fO_xcHAX38GOnHda

FB_IMG_1722670157955.jpg
FB_IMG_1719594111879.jpg

Nera nayo tuiite vipi
 
Na hii picha ni kitambo sana subiri tutakuletea recent one muone CBD mpya zinavyoonekana
Weka aerial view tuone usijekuta ni sehemu tuu ya kamtaa la hapo hapo Mjini 😆😆😆😆

CBD lazima ziwe mbali mbali eg Mwenge,Mbagala,Kijitonyama,Sinza ,Ubungo ,Posta &Kariakoo Kwa Dar.

Dom ni Mjini Kati,Ndejengwa,Mtumba

Mbeya ni Matola,Mwanjelwa,Uyole na Mbalizi

Mwanza ni wapi na wapi zaidi ya hapo Mjini Kati?
 
Nimekupa Ghana na Nera na list Bado inaendelea mbona huelewi kama hujui.
 
Back
Top Bottom