Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

W Wewe nawe unakuwaga na wenge sana wenzio wakitaja taasisi ambayo office kuu ipo mkoa mwingine unaanza kunanga hapa umetuletea branch ya Azam tv Dodoma, unajithamini vipi yaani kifikra
 
SENGEREMA REDIO
Sengerema fm ipo Mwanza mjini eti😂😂😂 ...nilijua tu utaingia chaka kama mwenzako jana aliyetaja radio za Tanga na Mbeya
PASSİON FM
Passion fm ipo Dar au unataka nikupe na frequencies zake kabisa 😂😂96.1 ....hakuna hata kipindi kimoja kinachozalishwa Mwanza vyote vinatokea Dar
 
Zitafute hizo Redio HQ yake IPO wapi kama sio mwanza🤣🤣🤣Duuh nahangaika na boya mmoja hivi oya mwana jitoe tu FB hujui mambo mengi sana 🤣🤣🤣
Huyu anawachocha tu kajinga kamoja hakana na akili, hata kumbu kumbu Hana.
 
Huyo kakutajia chache mwanza ina Redio nyingi wewe acha ukuda duuu mwanza ya pili baada ya Dar
 
Shida yako unakaza fuvu utaelewaje sasa Baki na ujinga wako.
 
Kalivyo kajinga katakubishia
 
Mbona hizo sub office za Redio na TV zote za Dar mwanza ni za kumwaga yaani hicho nacho ni kitu cha kuandika ushamba ni mzigo🤣🤣🤣🤣🤣
 
Zitafute hizo Redio HQ yake IPO wapi kama sio mwanza🤣🤣🤣Duuh nahangaika na boya mmoja hivi oya mwana jitoe tu FB hujui mambo mengi sana 🤣🤣🤣
Rudi shule wewe MEMKWA....Radio Huruma inamilikiwa na Kanisa Katoliki Jimbo la Tanga sasa itakuaje hq iwe Mwanza😂😂😂. Radio Ushindi inamilikiwa na Kanisa la Walokole Mbeya sasa hq itakuaje Mwanza. Shalom fm inamilikiwa na Kanisa la Pentekoste Arusha sasa hq itakuaje Mwanza😂😂😂.
Na nyingine umetaja sijui Radio Mwongozo,sijui Radio Amani nazo ninawasiwasi kama kweli zipo Mwanza🤣🤣
 
Si sehemu kubwa ya kichwa chako imejaa makamasi utaelewaje mdogo wangu
 
Mbona hizo sub office za Redio na TV zote za Dar mwanza ni za kumwaga yaani hicho nacho ni kitu cha kuandika ushamba ni mzigo🤣🤣🤣🤣🤣
Unaelewa hata maana ya sub-office 😂😂. Dodoma Bunge likianza kwamfano Tv zote zinaweka kambi na kurusha vipindi kutokea Dom sasa Mwanza kuna nini cha kufanya "live coverage"🤣🤣🤣
 
Umeweza mwanangu chukua maua Yako mkuuuuuu Hawa watu wa ukameni village hawaijui vizuri mwanza
 
Unaelewa hata maana ya sub-office 😂😂. Dodoma Bunge likianza kwamfano Tv zote zinaweka kambi na kurusha vipindi kutokea Dom sasa Mwanza kuna nini cha kufanya "live coverage"🤣🤣🤣
Tv zinakuwaga mpaka kwenye ziara za waheshimiwa siyo bungeni tu acha ulofa huo. Tatizo wewe unadhani tunalingana akili humu ndani. Hebu waza nje ya box basi usiwe na akili mgando. Kuwepo dodoma bungeni hakumaanishi office zake ziko Dodoma. Media zinatafuta taarifa uwe unaelewa
 
Mwambie huyo pimbi wa ukameni village 🤣 🤣🤣
 
Unaelewa hata maana ya sub-office 😂😂. Dodoma Bunge likianza kwamfano Tv zote zinaweka kambi na kurusha vipindi kutokea Dom sasa Mwanza kuna nini cha kufanya "live coverage"🤣🤣🤣
Hili hili bunge linalorushwa na tbc taifa na mara Moja Moja na Star tv ya mwanza ndo liteke attention za media zote nchini 🤣🤣🤣🤣🤣🤣oya wanangu wa mwanza tumejua watu tunaobishana nao ni senseless nadhani ndo maana hospitali ya milembe IPO Dodoma na tusibishane nao Tena akili zao ni mgando sana🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…