Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

W
.Dom radio stations zinakaribia 20(Radio Mwangaza,Radio Missionaries,Radio Uzima,ABM fm,A fm,Kifimbo fm,Impact fm,C fm,Rasi fm,Villa fm,Point fm,Dodoma fm,P fm,Nyemo fm,Maisha fm,Zabibu fm,Jamii fm,) , 1 tv station Dodoma TV,4 cable tv stations,online media hizo ndio hazina idadi,magazeti 3 yote yapo active na bonus nyingine zaidi ya nusu ya media zote Tanzania wana sub-office Dom mfano Azam TV,ITV,Mwananchi,Uhuru ,Channel Ten n.k.
Mwenzako jana nimemwambia anitajie listi ya radio stations tulinganishe na idadi ya za Dom akaanza kutaja mpaka za Arusha,Mbeya,Tanga 😂😂
Wewe nawe unakuwaga na wenge sana wenzio wakitaja taasisi ambayo office kuu ipo mkoa mwingine unaanza kunanga hapa umetuletea branch ya Azam tv Dodoma, unajithamini vipi yaani kifikra
 
SENGEREMA REDIO
Sengerema fm ipo Mwanza mjini eti😂😂😂 ...nilijua tu utaingia chaka kama mwenzako jana aliyetaja radio za Tanga na Mbeya
PASSİON FM
Passion fm ipo Dar au unataka nikupe na frequencies zake kabisa 😂😂96.1 ....hakuna hata kipindi kimoja kinachozalishwa Mwanza vyote vinatokea Dar
 
Zitafute hizo Redio HQ yake IPO wapi kama sio mwanza🤣🤣🤣Duuh nahangaika na boya mmoja hivi oya mwana jitoe tu FB hujui mambo mengi sana 🤣🤣🤣
Huyu anawachocha tu kajinga kamoja hakana na akili, hata kumbu kumbu Hana.
 
.Dom radio stations zinakaribia 20(Radio Mwangaza,Radio Missionaries,Radio Uzima,ABM fm,A fm,Kifimbo fm,Impact fm,C fm,Rasi fm,Villa fm,Point fm,Dodoma fm,P fm,Nyemo fm,Maisha fm,Zabibu fm,Jamii fm,) , 1 tv station Dodoma TV,4 cable tv stations,online media hizo ndio hazina idadi,magazeti 3 yote yapo active na bonus nyingine zaidi ya nusu ya media zote Tanzania wana sub-office Dom mfano Azam TV,ITV,Mwananchi,Uhuru ,Channel Ten n.k.
Mwenzako jana nimemwambia anitajie listi ya radio stations tulinganishe na idadi ya za Dom akaanza kutaja mpaka za Arusha,Mbeya,Tanga 😂😂
Huyo kakutajia chache mwanza ina Redio nyingi wewe acha ukuda duuu mwanza ya pili baada ya Dar
 
Sengerema fm ipo Mwanza mjini eti😂😂😂 ...nilijua tu utaingia chaka kama mwenzako jana aliyetaja radio za Tanga na Mbeya

Passion fm ipo Dar au unataka nikupe na frequencies zake kabisa 😂😂96.1 ....hakuna hata kipindi kimoja kinachozalishwa Mwanza vyote vinatokea Dar
Shida yako unakaza fuvu utaelewaje sasa Baki na ujinga wako.
 
Yaan kumbe hata 20 hazifiki. .umetaja redio 15 katı ya hzo ulizotaja Hamna hata REDIO MOJA inayosikika zaidi ya mikoa 5...
Anza kuhesabu hapa ,👇
Afya REDIO
Metro
İnland FM
Ukombozi FM .
Living water
Jembe FM
City FM .
Adonai FM
İQra FM
Lake fm
SAUT FM
HHC .
RFA .
KISS FM
DİRA
PASSİON FM
SENGEREMA REDIO
Kwa neema FM
Tv
Star tv ving'amuzi vyote
Mahasin tv AZAM na DSTV
STAR KİDS ,STAR MOVİES ,STAR DRAMA ,STAR E ,STAR SPORTS..kingamuzi Cha continental decorder
Câble tv .MWANZA tv na barmedas tv
Kalivyo kajinga katakubishia
 
Unatia huruma sana Redio nilizozitaja zipo mwanza na zinasikika mwanza haya nitajie Tv ya hapo ukameni village yenye huge coverage kama Star tv na Redio inayoshika mikoa mingi kama Redio Free Africa wewe ni ndezi sana with no sense ,,,Mwanza Haina iyo unaita HQ lakini moto wake Sasa 🤣🤣🤣🤣🤣
Mbona hizo sub office za Redio na TV zote za Dar mwanza ni za kumwaga yaani hicho nacho ni kitu cha kuandika ushamba ni mzigo🤣🤣🤣🤣🤣
 
Zitafute hizo Redio HQ yake IPO wapi kama sio mwanza🤣🤣🤣Duuh nahangaika na boya mmoja hivi oya mwana jitoe tu FB hujui mambo mengi sana 🤣🤣🤣
Rudi shule wewe MEMKWA....Radio Huruma inamilikiwa na Kanisa Katoliki Jimbo la Tanga sasa itakuaje hq iwe Mwanza😂😂😂. Radio Ushindi inamilikiwa na Kanisa la Walokole Mbeya sasa hq itakuaje Mwanza. Shalom fm inamilikiwa na Kanisa la Pentekoste Arusha sasa hq itakuaje Mwanza😂😂😂.
Na nyingine umetaja sijui Radio Mwongozo,sijui Radio Amani nazo ninawasiwasi kama kweli zipo Mwanza🤣🤣
 
FB_IMG_1729439999211.jpg
FB_IMG_1729440012954.jpg
 
Si sehemu kubwa ya kichwa chako imejaa makamasi utaelewaje mdogo wangu
Rudi shule wewe MEMKWA....Radio Huruma inamilikiwa na Kanisa Katoliki Jimbo la Tanga sasa itakuaje hq iwe Mwanza😂😂😂. Radio Ushindi inamilikiwa na Kanisa la Wasabato Mbeya sasa hq itakuaje Mwanza. Shalom fm inamilikiwa na Kanisa la Pentekoste Arusha sasa hq itakuaje Mwanza😂😂😂.
Na nyingine umetaja sijui Radio Mwongozo,sijui Radio Amani nazo ninawasiwasi kama kweli zipo Mwanza🤣🤣
 
Mbona hizo sub office za Redio na TV zote za Dar mwanza ni za kumwaga yaani hicho nacho ni kitu cha kuandika ushamba ni mzigo🤣🤣🤣🤣🤣
Unaelewa hata maana ya sub-office 😂😂. Dodoma Bunge likianza kwamfano Tv zote zinaweka kambi na kurusha vipindi kutokea Dom sasa Mwanza kuna nini cha kufanya "live coverage"🤣🤣🤣
 
Yaan kumbe hata 20 hazifiki. .umetaja redio 15 katı ya hzo ulizotaja Hamna hata REDIO MOJA inayosikika zaidi ya mikoa 5...
Anza kuhesabu hapa ,👇
Afya REDIO
Metro
İnland FM
Ukombozi FM .
Living water
Jembe FM
City FM .
Adonai FM
İQra FM
Lake fm
SAUT FM
HHC .
RFA .
KISS FM
DİRA
PASSİON FM
SENGEREMA REDIO
Kwa neema FM
Tv
Star tv ving'amuzi vyote
Mahasin tv AZAM na DSTV
STAR KİDS ,STAR MOVİES ,STAR DRAMA ,STAR E ,STAR SPORTS..kingamuzi Cha continental decorder
Câble tv .MWANZA tv na barmedas tv
Umeweza mwanangu chukua maua Yako mkuuuuuu Hawa watu wa ukameni village hawaijui vizuri mwanza
 
Unaelewa hata maana ya sub-office 😂😂. Dodoma Bunge likianza kwamfano Tv zote zinaweka kambi na kurusha vipindi kutokea Dom sasa Mwanza kuna nini cha kufanya "live coverage"🤣🤣🤣
Tv zinakuwaga mpaka kwenye ziara za waheshimiwa siyo bungeni tu acha ulofa huo. Tatizo wewe unadhani tunalingana akili humu ndani. Hebu waza nje ya box basi usiwe na akili mgando. Kuwepo dodoma bungeni hakumaanishi office zake ziko Dodoma. Media zinatafuta taarifa uwe unaelewa
 
Mwambie huyo pimbi wa ukameni village 🤣 🤣🤣
 
Unaelewa hata maana ya sub-office 😂😂. Dodoma Bunge likianza kwamfano Tv zote zinaweka kambi na kurusha vipindi kutokea Dom sasa Mwanza kuna nini cha kufanya "live coverage"🤣🤣🤣
Hili hili bunge linalorushwa na tbc taifa na mara Moja Moja na Star tv ya mwanza ndo liteke attention za media zote nchini 🤣🤣🤣🤣🤣🤣oya wanangu wa mwanza tumejua watu tunaobishana nao ni senseless nadhani ndo maana hospitali ya milembe IPO Dodoma na tusibishane nao Tena akili zao ni mgando sana🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom