W
Wewe nawe unakuwaga na wenge sana wenzio wakitaja taasisi ambayo office kuu ipo mkoa mwingine unaanza kunanga hapa umetuletea branch ya Azam tv Dodoma, unajithamini vipi yaani kifikra.Dom radio stations zinakaribia 20(Radio Mwangaza,Radio Missionaries,Radio Uzima,ABM fm,A fm,Kifimbo fm,Impact fm,C fm,Rasi fm,Villa fm,Point fm,Dodoma fm,P fm,Nyemo fm,Maisha fm,Zabibu fm,Jamii fm,) , 1 tv station Dodoma TV,4 cable tv stations,online media hizo ndio hazina idadi,magazeti 3 yote yapo active na bonus nyingine zaidi ya nusu ya media zote Tanzania wana sub-office Dom mfano Azam TV,ITV,Mwananchi,Uhuru ,Channel Ten n.k.
Mwenzako jana nimemwambia anitajie listi ya radio stations tulinganishe na idadi ya za Dom akaanza kutaja mpaka za Arusha,Mbeya,Tanga 😂😂