Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Dom HQ ni Makao ya wenye hela na wasomi πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://youtu.be/jPp-Y1Pmmek?feature=shared
Unaishi kwenye slums Juu ya Mawe wewe ni kenge? πŸ˜‚πŸ˜‚
Sasa hapa Kuna nini hata buswelu mwanza ni pazuri sana ukiachilia mbali kapripoint mwanza kwanza hata huyo mwenyeji wa huyo YouTuber hakumwonyesha maneno ya mengi ya kishua kwenye huo mtaa mmoja tuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sasa hapa Kuna nini hata buswelu mwanza ni pazuri sana ukiachilia mbali kapripoint mwanza kwanza hata huyo mwenyeji wa huyo YouTuber hakumwonyesha maneno ya mengi ya kishua kwenye huo mtaa mmoja tuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Weka picha au video za hiyo slum ya buswelu tuone ,hatutaki maneno πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mwanza tamu sana

Aliyeandika ni mkenya ulitaka aandike Nini na hizo data zake chanzo chake ni Nini?
Mbona Wakenya wanatengeneza sana video za Dom kuliko hiyo slum yenu na wanaikubali? 😁😁

Mwanza ni Kamji ka kishamba sana eti second City 🀣🀣
 
Haya niambie hiyo halmashauri ya jiji Dodoma kwanini isiwe jiji tangu 1970s iwe capital mpaka Mzee Magufuri aseme.??Acha ujinga MEMKWA ni baba yako na wewe uneona Dodoma ni zaidi ya Mwanza mpaka unapingana na serikali yako inayosema majiji makuu ni Dar,Mwanza na Arusha.Ndo walewale mnao bishana na redio.Sasa kajinyonge Mwanza is the second largest city in Tanzania and fifth largest city in east africa🀣🀣🀣🀣
 
Lakini GPD ya Mwanza ni ya pili baada ya Dar es Salaam ambapo Mwanza inachangia 7% GPD na Dar es Salaam 15%!
Huoni tu hapo Mwanza iko vizuri takribani nusu ya GDP ya Dar!
Hamjajibu hoja,weka hapa vigezo vya Mji kuwa Jiji naona mnatafuta kichaka 🀣🀣

Tumalize kwanza mada ya Jiji ndio tuje mada ya Mkoa.
 
Haya niambie hiyo halmashauri ya jiji Dodoma kwanini isiwe jiji tangu 1970s iwe capital mpaka Mzee Magufuri aseme
Wewe MEMKWA rudi shule hata mtoto wa form 2 anayesoma CIVICS anaweza kukuaibishaπŸ˜€πŸ˜€.Wakati Dodoma inatangazwa makao makuu +kuanzishwa CDA mwaka 1973 ilikua na status ya mji mdogo...mwaka 1984 ikapandishwa kuwa Manispaa ,mwaka 2018 ikapandishwa kuwa Jiji
 
Hamjajibu hoja,weka hapa vigezo vya Mji kuwa Jiji naona mnatafuta kichaka 🀣🀣

Tumalize kwanza mada ya Jiji ndio tuje mada ya Mkoa.
Hawa mburura hawajui hata tofauti ya "Jiji" na "Mkoa"...elimu ya Uraia imewapita kushoto sijui shule walienda kusomea ujingaπŸ˜€πŸ˜€.
Wakati Mwanza inapewa hadhi ya Jiji mwaka 2000 Jengo refu mji mzima lilikua ghorofa 4 hospitali ya Bugando enzi hizo🀣🀣
 
Mbona Wakenya wanatengeneza sana video za Dom kuliko hiyo slum yenu na wanaikubali? 😁😁

Mwanza ni Kamji ka kishamba sana eti second City 🀣🀣
hebu fuatilia vizuri uone YouTuber wengi wanavyoanza kuitembelea mwanza zipo video kibao sana acha uvivu wa kufatilia licha ya Dodoma kujengwa na serikali lakini mwanza bado inakimbiza sana kwa Kila kitu kuliko hapo ukameni village mji umefubaaa Hadi aibu kwa nchi kidogo morogoro ndo yangekuwa makao makuu ya nchi sio hapo mavumbiniπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ni ukweli mchungu ila imeze hivyo hivyoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Weka picha au video za hiyo slum ya buswelu tuone ,hatutaki maneno πŸ˜‚πŸ˜‚
Unanilazimisha nipakubali Dodoma lakini wapi akili inagoma ,,mwanza imejenga sio kawaida sekta binafsi mwanza ni very active than public sector nipo Dar but I feel so relaxed in mwanza than any city in Tanzania including Dar es salaam itself Dodoma kwa level ya majiji bado sana aisee ni vile tu it is due to political influence but mwanza competes with other east African cities in particular and Africa at large in size and development mwanza kungekuwa na viongozi creative oooooh my God it could be such a wonderful city in our country...Mungu yupo hajaiacha mwanza very soon we shall be talking a different story ever ,,,,Dodoma hata ningeambiwa niishi Bure siwezi nahisi ni kwa sababu palivyo livyo Bora kidogo Morogoro au mbeya
 
Memkwa una uelewa mdogo sana.

Since then Dom imekuwa manispaa the same to Mwanza.

Kwa nini Manispaa ya Mwanza haikuwa Jiji Toka 1970 hai miaka ya 2000 ndio ikawa Jiji?

Mwisho unadhani Kwa nini Dom HQ imezidi Uchumi hiyo slums yenu ya Mwanza?

Nisikia tumbili mmja anasema Mwanza Ina GDP kubwa,fine do people eat GDP? Serikali inahitaji pesa au GDP?

Dom HQ imepita mbali sana kimapato hiyo slum yenu ya mafukara both in terms of TRA,Council Own Source 😁😁
 
No data no right to speak ...unajua maana ya GDP?
 
Tupe takwimu za TRA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…