Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Narudia tena wakati Mwanza inatangazwa kuwa Jiji mwaka 2000 jengo la ghorofa pekee refu lilikua hospitali ya Bugando ghorofa nne
 
Followers uwapate wapi?. Platform Gani unayosemea una followers kuwa na akili. Kusoma komenti ya mtu hapa jf hakumaanishi huyo ni follower wako. Ubongo wako mdogo mno kila siku Huwa nakuambia. Unapenda kujitutumua kwa mambo usiyoyafahamu
Ukitaka kubishana na mtaalamu kama mimi basi uwe umejipanga vizuri kichwani kwa hoja,facts+evidences.Sikwenda shule kusomea ujinga nilienda kupata maarifa na ujuzi wa fikra.
Huo ushabiki maandazi,porojo,michambo,mipasho peleka Facebook kwa MEMKWA wenzako ndio level zako
 
Narudia tena wakati Mwanza inatangazwa kuwa Jiji mwaka 2000 jengo la ghorofa pekee refu lilikua hospitali ya Bugando ghorofa nne
jengo la ccm mkoa limejengwa kabla au baada ya 2000? na je lina floors ngapi? jibu kwanza hayo maswali bila mihemko afu ndo tuendelee
 
😂😂😂😂😂mtaalam🤣🤣🤣🤣🙌🙌
 
Masikini unaleta warehouse unasema viwanda ...alafu ,kinglion hata Mwanza zipo
Huyu jamaa ni mweu hata maana ya viwanda haelewi ndo maana analeta godown ya AlAF,KINGLION,TISHAN hadi VETA ni kiwanda cha nyama🤣🤣🤣kiwanda cha mChina akina jina😅😅 hawa watu wanatuchosha hakuna wanachojua zaidi ya ushamba wa Dodoma, kuanzia leo sichangii chochote kwa battle hii kuna uwezekano wakuonekana wote vilaza.
 
Mbona unafanya ujinga sasa kama hukusomea ujinga?
 
Long time nishaona hii pang'ang'a inachosha watu bure.
 
VETA ni kiwanda cha nyama
Kama hujui kitu uliza usaidiwe wewe mburura hujaona nimeweka apo link....unatumia smartphone unashindwa hata kugoogle😀😀.VETA dodoma wanamiliki viwanda vikubwa viwili 1.Kiwanda cha Kusindika Nyama(zaidi ya asilimia 80 inauzwa nje ya nchi asilimia 20 tu ndio inatumika ndani ya nchi) 2. Kiwanda cha Samani 👇👇
 
Tusipotezeane muda na kuitana majina ya kipumbavu kama tunalipwa humu.Basi umeshinda wewe mtaalamu Dodoma ni better kwa kila kitu kwa Mwanza.
 
Huna uwezo wa kupresent facts+hoja kama mimi... utaishia michambo,porojo na matusi kama kawaida yako ndiomana huwa unapigwa ban. Jifunze jitahidi ufikia hata robo ya ubora wangu
Matusi umeyaanzisha wewe, au huoni kama unajamba senge wewe. Unleta machinjio, vijiwe vya mafundi seremala mafundi nguo, vituo vya kufyatua matofali, bakery unaita viwanda . Nyoko sana msomi mwenzangu. Hustahili hata kuwa na akaunti jamii forum na ndiyo maana unasema una followers wengi umezoea Facebook .
 
Kwanza tuonyeshe followers wako hapa tuanze tu-audit usomi wako.
 
Matusi ni dalili dhahiri ya kushindwa hoja. Huwa najibu hoja+facts pekee ...matusi,mipasho,michambo nenda kachambane na MEMKWA wenzako facebook humu ni JF home of great thinkers
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…