Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Kwa orodha hii kitu pekee Mwanza wamewazidi Dodoma labda viwanda vya samaki🀣🀣.Ukienda Dom pale NALA INDUSTRIAL PARK pekeyake idadi ya viwanda vilivyoanza uzalishaji pamoja na vinavyoendelea kujengwa (kwa ukubwa na uwingi) ni sawa na idadi ya viwanda vyote jumlisha vya mikoa ya kanda ya Ziwa.
 
Unafanya vitu kwa assumption hauko realistic kama unavyojinadi
 
Ukitoa blah blah zako shinyanga inawazidi kwenye sekta hiyo maana unaleta mpaka mafundi nguo, watu wanaojitafutia ridhiki kwa kuajiri watu wawili ama wanne kuwasaidia kazi.

View: https://www.instagram.com/p/CqNP9pRNOfy/?igsh=MTVodjV3cmY3ZDF2eg==
 
Unatakiwa kuelewa MWANZA sio kama DODOMA Kwamba ukitoka Dodoma kwend mtera ni pori.Mwanza ni jiji kubwa hizo wilaya zote zimeungana mfano kutoka Ilemela kwenda Misungwi kama wewe mgeni huwezi kuona mpaka japo unapita wilaya tatu hivyo Sengerema.Nyamagana inaunganishwa na vivuko watu wanafanya kazi nyamanaga wanalala Sengerema kamanga ni kama kigamboni tu.Sasa mtu kama wewe ucyejua unaangaika na cbd unadhani kajiji kadodoma ni sawa na majiji makubwa kama Mwanza.
 
Kwa hyo mji wa serikali mtumba upo CBD?
 
Soma title ya thread wewe KILAZA.. thread inahusu Dom CBD vs Mwanza CBD. Unataka Dom nao walete habari za Bahi,Chamwino au Kondoa eti simply kwasababu zipo karibu na DomπŸ˜€πŸ˜€.
 
Kwa hyo mji wa serikali mtumba upo CBD?
Kutoka mji wa serikali Mtumba mpaka City Centre kwa gari ni roughly 7 km ....sasa niambie kutoka Mwanza City Centre mpaka kufika daraja la Kigongo-Busisi unapita halmashauri ngapi na ni kilomita ngapi🀣🀣
 
Duh mashine ya kusaga unga kumbe nayo ni kiwanda?

Mafundi seremala kumbe nao ni kiwanda huko dodoma?

Hahaaaa mbavu zangu jaman
Nadhani tungemuuliza kwanza huyu aliyesema Mwanza kuna viwanda zaidi ya 400. Je ni vya nini πŸ˜€πŸ˜€πŸ‘‡πŸ‘‡
 
unadhani kajiji kadodoma ni sawa na majiji makubwa kama Mwanza.
Ukubwa wa Mwanza upo kwenye population pekeyake hilo halina ubishi(Wasukuma wanazaliana sana na wataendelea tu kuongoza).
Ukija kwenye vigezo vingine Dom wamewapita Mwanza mbali sana. Mwanza haifiki hata nusu ya Dom kwaπŸ‘‡πŸ‘‡
-Ubora wa mipangomiji
-Ubora wa miundombinu
-Mtandao mpana wa barabara za lami
-Mapato (both TRA na ya halmashauri)
-Huduma bora na uwingi wa huduma za kijamii
-Vyuo vikuu(both ukubwa,uwingi,na uwezo wa kuchukua idadi kubwa)
-Uwepo wa mashirika mengi ya kimataifa,balozi, na taasisi nyingi za kimataifa
-Viwanda
-Uwepo wa taasisi,mashirika,idara nyingi za serikali
-Uwepo wa makao makuu ya chama,bunge,judiciary,executive
-Projects nyingi zinazojengwa na future projects zinazokuja
-Upendeleo mkubwa wa miradi mingi ya serikali Dom

N.K HUO NDIO UKWELI MCHUNGU
 
Uwe unasoma vizuri comments na kuelewa wewe MEMKWA.Nimekwambia wakati Mwanza inatangazwa kuwa Jiji mwaka 2000 jengo la ghorofa pekee mji mzima lilikua hospitali ya BugandoπŸ˜€πŸ˜€ ....majengo mengine yote yamejengwa after 2000
Bugan Hiyo king lion siyo kiwanda wewe

Ni pikipiki za wasukuma wanaitwa akina ndegesera huwa zinakuja kwenye mabox zikifika wana zipeleka warehouse kuunganisha

Hata huku mwanza hizo warehouse ni nyingi sana
 
Hiyo king lion siyo kiwanda wewe

Ni pikipiki za wasukuma wanaitwa akina ndegesera huwa zinakuja kwenye mabox zikifika wana zipeleka warehouse kuunganisha
Ujuaji mwingi kumbe kilaza tu ....kama hujui kitu ni bora kuuliza kuliko kujifanya kubisha bisha ilimradi uonekane au ulijua unabishana na MEMKWA wenzakoπŸ˜€πŸ˜€πŸ‘‡πŸ‘‡

KINGLION MABATI DODOMA
5.0 (1)
Manufacturer in Dodoma

Call

Directions
Address: RPJH+22G, B129, Dodoma
Hours: Closed β‹… Opens 9β€―am Mon
Phone: 0657 896 527
 
Umesahau viwonder vya au makao makuu Dodoma 🀣🀣🀣 auumeorodhesha??
 

Attachments

  • Screenshot_20250324_001811_Facebook.jpg
    292 KB · Views: 14
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…