The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Wewe endelea kubwabwaja na kituma vipicha choko .CCM inaharibu vijana akili.. unaniuliza mimi kama nishaona mafukara njombe? Kwani wewe ni nani[emoji38][emoji38][emoji38] na sababu ninazo moja ni hauna hela ya Mb mbili unatumia simu za wachunga ng'ombe huku mwanza tatu ngudu yako naye ni fukara coz kapangiwa kwa mafukara na kakubali View attachment 2084801View attachment 2084806
Jibu hoja hapa na sio makazi yangu maana hata siishi dodoma ni mpitaji tu penye ukweli tuseme nyumba za dodoma za Sasa utakinganisha na za milimani kule mwanza?Tuonyeshe makazi yako ya kitajiri ya huko dodoma
Wewe ni mjinga ,hizo ni majengo mbalimbali za wizara na hiyo Nyerere square, hotel tayari inafanyiwa finishing,uwanja unajengwa,ring road zinajengwa nk.
Dom hakuna kitu kinaitwa project ya kwenye makaratasi,umeelewa Mzee.
Na mimi vile vile nakazia kwa maneno ya hayati msukuma mwenzao.."Na msema kweli ni mpenzi wa Mungu"...Na razima ukweri utabaki kuwa ukweri tu.Jibu hoja hapa na sio makazi yangu maana hata siishi dodoma ni mpitaji tu penye ukweli tuseme nyumba za dodoma za Sasa utakinganisha na za milimani kule mwanza?
N. B Sina interest na dodoma wala Mwanza
Hizo sio nyumba ni slums,,Nje ya CBD Mwanza hakuna kitu cha maana zaidi ya hizo slums.Kwa hiyo nyie watu wa dodoma kisa nyumba zipo mlimani Basi ni slums? Kwa uelewa wangu maana ya slums ni makazi duni, sasa haya no makazi duni kwa nchi Kama Tanzania?View attachment 2084876
[emoji382][emoji382] Ulishawahi kuona Njombe kuna mafukara kama huko Mwanza.
Yeye ni mtumishi mimi ni mfanyabiashara.Sasa kama kapangiwa kwa mafukara ulitaka akatae?
Tulia sindano ikuingie,siku kijiji cha wavuvi kikifika hapa mnitag [emoji116]
View attachment 2084790
View attachment 2084791
View attachment 2084792
View attachment 2084793
View attachment 2084794
View attachment 2084795
Nimenyooka nao mara waseme sijui natumia simu ya bei ya chini mara sijui wakatae slums za kwao,mara waseme naweka renders yaani ni wametaharuki Dom ilivyowanyea wanazoa vinyesi tuu ππ.Watu wameshapoteana huko hapana chezea The Sunk Cost Fallacy, jeshi la mtu mmoja dhidi ya all kamjeshi ya sukuma gang na bado ubao unaonesha mwanza anaendelea kupokea vitasa visivyo na idadi toka kwa mbabe wao Dodoma city
Kiongoz usiumize kichwa na hao haters kuna mmoja hapo anatumia Wife+inifinix nimechoka... kubishana na mtu utapata njaaaKwamba hizi ndo slumsView attachment 2084895
Mwanza muda wake wa kudominate nafasi ya pili umeisha ni muda sasa wa kuhandle crown kwa anayestahili, Masuala ya kujiliwaza eti na wao sijuhi watakuja kufuata nyayo za Dodoma kwenye projects na ujenzi wa mji kiujumla na miundombinu ni uongo gap limeshakuwa kubwa mno na bado Dodoma anazidi kimbiza kwenye nafasi ya pili na spidi haipoi, Lengo ni by 2030 kuwa na jiji bora linalompa competition Dar kwenye baadhi ya maeneo.Nimenyooka nao mara waseme sijui natumia simu ya bei ya chini mara sijui wakatae slums za kwao,mara waseme naweka renders yaani ni wametaharuki Dom ilivyowanyea wanazoa vinyesi tuu [emoji1][emoji1].
Mwanza wanatakiwa kukubari ukweli mchungu kwamba Dom imeshachukua nafasi ya Second City and the first moderrn and well organised in Tanzania.
Waje watujibu wanadhani kwa nini TAG imeamua kuhamishia makao yao Makuu Taifa kutoka Dar na kuja Dom? Kana kwamba haitoshi wanajenga TAG City complex [emoji116]
View attachment 2084894
Wasukuma sisi wenyewe hatupendi kabisa kuwaita binadamu wenzetu tena watanzania eti washamba ila hatuna budi, siyo WIFE ni Wi-fi, pia hatuna Inifinix tuna infinixKiongoz usiumize kichwa na hao haters kuna mmoja hapo anatumia Wife+inifinix nimechoka... kubishana na mtu utapata njaaa
[emoji23][emoji23][emoji23] kwa hiyo mmeshatupoteza kwenye ramani tayari? Ok nimekubali nyie mko juuu mawinguni ok sasa panga list yako ya miji kumi Bora kabisa hapa bongo, pia nipe list ya yako ya miji Bora miaka minne iliyopita tafadhaliMwanza muda wake wa kudominate nafasi ya pili umeisha ni muda sasa wa kuhandle crown kwa anayestahili, Masuala ya kujiliwaza eti na wao sijuhi watakuja kufuata nyayo za Dodoma kwenye projects na ujenzi wa mji kiujumla na miundombinu ni uongo gap limeshakuwa kubwa mno na bado Dodoma anazidi kimbiza kwenye nafasi ya pili na spidi haipoi, Lengo ni by 2030 kuwa na jiji bora linalompa competition Dar kwenye baadhi ya maeneo.
Cheki hii video ya mitaa ya Dom mbali kabisa ya Mji,Hata ungekuwa wewe utashindwa kukubali kwa hali hii π[emoji23][emoji23][emoji23] kwa hiyo mmeshatupoteza kwenye ramani tayari? Ok nimekubali nyie mko juuu mawinguni ok sasa panga list yako ya miji kumi Bora kabisa hapa bongo, pia nipe list ya yako ya miji Bora miaka minne iliyopita tafadhali
[emoji23][emoji23] sawa nimekubali ok naomba unisaidie kitu nilichomuomba jamaa ako hapo juu, yani nipe list ya miaka minne nyuma na ambaya ni latestCheki hii video ya mitaa ya Dom mbali kabisa ya Mji,Hata ungekuwa wewe utashindwa kukubali kwa hali hii [emoji116]
Ona hiii [emoji38] kilichokufanya Wi-fe na infnix ni nini? Utaki kuambiwa ukweli kua wewe ni fukara unaowasema matajiri... mwanaume unajielewa kweli unaweza nunua inifinix then ukajiita mjanja....Wasukuma sisi wenyewe hatupendi kabisa kuwaita binadamu wenzetu tena watanzania eti washamba ila hatuna budi, siyo WIFE ni Wi-fi, pia hatuna Inifinix tuna infinix
Hiyo michoro ya kwenye makaratasi ikikamilika nitakununulia simu kali uachane na infinix toleo la 2010.Wewe endelea kubwabwaja na kituma vipicha choko .
Dom ndio hii is moving π
View attachment 2084821
View attachment 2084822
Jiulize wakati huo mwanza itakuwa imesimama na hakuna project hata mojaHiyo michoro ya kwenye makaratasi ikikamilika nitakununulia simu kali uachane na infinix toleo la 2010.