Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

CCM inaharibu vijana akili.. unaniuliza mimi kama nishaona mafukara njombe? Kwani wewe ni nani[emoji38][emoji38][emoji38] na sababu ninazo moja ni hauna hela ya Mb mbili unatumia simu za wachunga ng'ombe huku mwanza tatu ngudu yako naye ni fukara coz kapangiwa kwa mafukara na kakubali View attachment 2084801View attachment 2084806
Wewe endelea kubwabwaja na kituma vipicha choko .

Dom ndio hii is moving 👇

Screenshot_20220117-123012.png

Screenshot_20220117-123137.png
 
Wewe ni mjinga ,hizo ni majengo mbalimbali za wizara na hiyo Nyerere square, hotel tayari inafanyiwa finishing,uwanja unajengwa,ring road zinajengwa nk.

Dom hakuna kitu kinaitwa project ya kwenye makaratasi,umeelewa Mzee.

Nimefurahi kuona kuna mwamba mmoja anawaweka sawa sukuma land waelewe level zao ni zakina lamadi na malampaka na siyo kubattle na jiji mashuhuri la dodoma.
 
Jibu hoja hapa na sio makazi yangu maana hata siishi dodoma ni mpitaji tu penye ukweli tuseme nyumba za dodoma za Sasa utakinganisha na za milimani kule mwanza?
N. B Sina interest na dodoma wala Mwanza
Na mimi vile vile nakazia kwa maneno ya hayati msukuma mwenzao.."Na msema kweli ni mpenzi wa Mungu"...Na razima ukweri utabaki kuwa ukweri tu.
 
Kwa hiyo nyie watu wa dodoma kisa nyumba zipo mlimani Basi ni slums? Kwa uelewa wangu maana ya slums ni makazi duni, sasa haya no makazi duni kwa nchi Kama Tanzania?
Screenshot_20220117-133852.jpg
 
[emoji382][emoji382] Ulishawahi kuona Njombe kuna mafukara kama huko Mwanza.

Yeye ni mtumishi mimi ni mfanyabiashara.Sasa kama kapangiwa kwa mafukara ulitaka akatae?

Tulia sindano ikuingie,siku kijiji cha wavuvi kikifika hapa mnitag [emoji116]

View attachment 2084790

View attachment 2084791

View attachment 2084792

View attachment 2084793

View attachment 2084794

View attachment 2084795

Watu wameshapoteana huko hapana chezea The Sunk Cost Fallacy, jeshi la mtu mmoja dhidi ya all kamjeshi ya sukuma gang na bado ubao unaonesha mwanza anaendelea kupokea vitasa visivyo na idadi toka kwa mbabe wao Dodoma city
 
Nimenyooka nao mara waseme sijui natumia simu ya bei ya chini mara sijui wakatae slums za kwao,mara waseme naweka renders yaani ni wametaharuki Dom ilivyowanyea wanazoa vinyesi tuu 😄😄.

Mwanza wanatakiwa kukubari ukweli mchungu kwamba Dom imeshachukua nafasi ya Second City and the first moderrn and well organised in Tanzania.

Waje watujibu wanadhani kwa nini TAG imeamua kuhamishia makao yao Makuu Taifa kutoka Dar na kuja Dom? Kana kwamba haitoshi wanajenga TAG City complex 👇

Screenshot_20220117-090906.png
 
Nimenyooka nao mara waseme sijui natumia simu ya bei ya chini mara sijui wakatae slums za kwao,mara waseme naweka renders yaani ni wametaharuki Dom ilivyowanyea wanazoa vinyesi tuu [emoji1][emoji1].

Mwanza wanatakiwa kukubari ukweli mchungu kwamba Dom imeshachukua nafasi ya Second City and the first moderrn and well organised in Tanzania.

Waje watujibu wanadhani kwa nini TAG imeamua kuhamishia makao yao Makuu Taifa kutoka Dar na kuja Dom? Kana kwamba haitoshi wanajenga TAG City complex [emoji116]

View attachment 2084894
Mwanza muda wake wa kudominate nafasi ya pili umeisha ni muda sasa wa kuhandle crown kwa anayestahili, Masuala ya kujiliwaza eti na wao sijuhi watakuja kufuata nyayo za Dodoma kwenye projects na ujenzi wa mji kiujumla na miundombinu ni uongo gap limeshakuwa kubwa mno na bado Dodoma anazidi kimbiza kwenye nafasi ya pili na spidi haipoi, Lengo ni by 2030 kuwa na jiji bora linalompa competition Dar kwenye baadhi ya maeneo.
 
Kiongoz usiumize kichwa na hao haters kuna mmoja hapo anatumia Wife+inifinix nimechoka... kubishana na mtu utapata njaaa
Wasukuma sisi wenyewe hatupendi kabisa kuwaita binadamu wenzetu tena watanzania eti washamba ila hatuna budi, siyo WIFE ni Wi-fi, pia hatuna Inifinix tuna infinix
 
Mwanza muda wake wa kudominate nafasi ya pili umeisha ni muda sasa wa kuhandle crown kwa anayestahili, Masuala ya kujiliwaza eti na wao sijuhi watakuja kufuata nyayo za Dodoma kwenye projects na ujenzi wa mji kiujumla na miundombinu ni uongo gap limeshakuwa kubwa mno na bado Dodoma anazidi kimbiza kwenye nafasi ya pili na spidi haipoi, Lengo ni by 2030 kuwa na jiji bora linalompa competition Dar kwenye baadhi ya maeneo.
[emoji23][emoji23][emoji23] kwa hiyo mmeshatupoteza kwenye ramani tayari? Ok nimekubali nyie mko juuu mawinguni ok sasa panga list yako ya miji kumi Bora kabisa hapa bongo, pia nipe list ya yako ya miji Bora miaka minne iliyopita tafadhali
 
Cheki hii video ya mitaa ya Dom mbali kabisa ya Mji,Hata ungekuwa wewe utashindwa kukubali kwa hali hii 👇
 
Attachments

  • Dodoma Areas (Ihumwa, Nzuguni, Kisasa, Njendegwa, Chimwaga) aerial view 2021 ( 360 X 640 ).mp4
    1.5 MB
Cheki hii video ya mitaa ya Dom mbali kabisa ya Mji,Hata ungekuwa wewe utashindwa kukubali kwa hali hii [emoji116]
[emoji23][emoji23] sawa nimekubali ok naomba unisaidie kitu nilichomuomba jamaa ako hapo juu, yani nipe list ya miaka minne nyuma na ambaya ni latest
 
Wasukuma sisi wenyewe hatupendi kabisa kuwaita binadamu wenzetu tena watanzania eti washamba ila hatuna budi, siyo WIFE ni Wi-fi, pia hatuna Inifinix tuna infinix
Ona hiii [emoji38] kilichokufanya Wi-fe na infnix ni nini? Utaki kuambiwa ukweli kua wewe ni fukara unaowasema matajiri... mwanaume unajielewa kweli unaweza nunua inifinix then ukajiita mjanja....

Wewe ni muongo na haujui mwanza tafuta kazi ya kufanya
 
Dom kama Dom,the Capital City of Tzn 👇
 
Attachments

  • UBUNIFU WA MAJENGO YA MJI WA SERIKALI MTUMBA DODOMA ( 360 X 640 ).mp4
    32.6 MB
Back
Top Bottom