Kwhy mji ukijaa omba omba ndio hauna hadhi ya kuwa jiji?? Nitajie Airport Tanzania ambayo hamna boda boda..kimsingi hauna hoja ya maana zaidi ya kuonyesha chuki za wazi tu..jiji imetamkwa tu lakini dodoma hakuna quality za kuitwa jiji mji umejaa omba omba kila mahali ile airport pale ukishuka unaenda kupanda bodaboda alafu hata bunge sijui kwanini wali allocate likae pale barabarani yani bunge linapakana ukuta na chuo jamani mi nilitegemea liwe sehem flani nje ya mji waswahili hawafiki kirahisi sasa bunge nalo liko katikati ya mji hivi gari la matangazo likipita pale sauti haifiki ndani mule
We jamaa ujuhi miji mingi kiundani bali unaongea uonekane unajua, SHY unayoipita ukiwa kwenye basi si sawa na SHY utakayoifahamu ukifanya city tour, usijediriki kuilinganisha tena SHY na KHM, Kahama ni ligi ya kina njombe,makambako,mpanda n.kshinyanga mjini imepitwa na wilaya yake ya kahama shinyanga mji wa hovyo sana
Yaani hujui hata kudiss, sasa jiji likose hadhi yake kisa bunge lipo barabarani hayo yanatuhusu nini na kuhusu uwanja wa ndege kuwa mjini kwani nchi hii mikoa mingapi umefanikiwa kufika ukanotisi kitu hicho hicho kikiwa kimefanyika iwe bukoba, musoma,sumbawanga,kisongo-arusha, moshi n.k, Kiufupi hizi lawama zako haziigusi Dodoma bali ushamba wa serikali ya CCMjiji imetamkwa tu lakini dodoma hakuna quality za kuitwa jiji mji umejaa omba omba kila mahali ile airport pale ukishuka unaenda kupanda bodaboda alafu hata bunge sijui kwanini wali allocate likae pale barabarani yani bunge linapakana ukuta na chuo jamani mi nilitegemea liwe sehem flani nje ya mji waswahili hawafiki kirahisi sasa bunge nalo liko katikati ya mji hivi gari la matangazo likipita pale sauti haifiki ndani mule
We mgogo acha mabalaaa
Ivi pale Dodoma Wana garden nzuri kweli ?
Na hili la kisema Basi nzuri Zina anzia Dodoma kwenda Dsm ...hapa umepaishaaaa
Kweli MkuuHali ya hewa Dodoma inakwaza sana...miti ipandwe kwa wingi tena kwa lazima...
Na huu ndo ukweli wenyewe ambao hatutaki kabisaa kuusikia.Kwa "mtazamo wangu mimi Dodoma inaienda kuipita Mwanza au tayari ilishaipita Mwanza kwa ukubwa wa Jiji. Idadi ya majengo marefu Dodoma inaweza ikawa imeipita Mwanza kwa sababu mwanza Majengo yake marefu yamekusanyika sehemu Moja tofauti na Dodoma ambapo ni mengi ila yapo scattered.
Kwa upande wa barabara Mwanza tayari imeshaachwa parefu sana.
In Short Mwanza ni kama imefikia mwisho kuendelezwa.
Acha mambo yako ww unaifahamu City park ipo moshi town pale ?Mkiambiwa msafiri hamtaki kutwa mko humu kujifanya wapingaji, sasa kwa akili yako unadhani nchi hii kuna gardens nzuri za mjini kama chinangali na nyerere square?
Hivi umeshawahi safiri na baadhi ya mabasi haya; Kimbinyiko, Shabiby, ABC n.k hivi unadhani usipoenda Dom mshikaji wangu hizi luxury utazijulia wapi?
mkuu kisongo iko nje ya mji kabisa pia uwanja wa ndege wa moshi pale town nazani zinatua ndege ndogo sana ndege kubwa zinatua KIAYaani hujui hata kudiss, sasa jiji likose hadhi yake kisa bunge lipo barabarani hayo yanatuhusu nini na kuhusu uwanja wa ndege kuwa mjini kwani nchi hii mikoa mingapi umefanikiwa kufika ukanotisi kitu hicho hicho kikiwa kimefanyika iwe bukoba, musoma,sumbawanga,kisongo-arusha, moshi n.k, Kiufupi hizi lawama zako haziigusi Dodoma bali ushamba wa serikali ya CCM
mkuu shinyanga nimekaa mitaa ya LIGA shinyanga nimekuta wasukuma washamba hata daladala hamna wanapanda baiskeli tuWe jamaa ujuhi miji mingi kiundani bali unaongea uonekane unajua, SHY unayoipita ukiwa kwenye basi si sawa na SHY utakayoifahamu ukifanya city tour, usijediriki kuilinganisha tena SHY na KHM, Kahama ni ligi ya kina njombe,makambako,mpanda n.k
Naomba rudi tena wiki hii ukapatembelee utuletee mrejesho, Manispaa ya Shinyanga ni mojawapo ya manispaa nzuri na kubwa, Shinyanga kwa ukubwa wake wenzake ni Musoma, Bukoba, Morogoro, Iringa,Tabora na siyo mji wa kulinganishwa na Kahama, Geita,njombe, kasulu,korogwe n.kmkuu shinyanga nimekaa mitaa ya LIGA shinyanga nimekuta wasukuma washamba hata daladala hamna wanapanda baiskeli tu
Sasa hapa unatetea nini? Inshu ni kuwa kiwanja cha moshi kipo wapi kama siyo hapo jirani na soweto-veta, kuhusu international kama KIA nani amekwambia Dodoma haina mpango wa kuwa na DIAmkuu kisongo iko nje ya mji kabisa pia uwanja wa ndege wa moshi pale town nazani zinatua ndege ndogo sana ndege kubwa zinatua KIA
Sasa kale kagarden kadogo mnakolipia kwenda kulamba ice cream, nakufungia ndoa wachaga na hakana chochote kile ndani yake ni kakujipigia kifua kuwa mko mbele ya DOM bora na wenzako wanaoendaga kushangaa-shangaa YMCA na kwenye ghorofa la stendi nakuishia kununua piru za kahumba barAcha mambo yako ww unaifahamu City park ipo moshi town pale ?
Ukizungumzia izo basi ulizo taja gari ya maana hapo ni Shabiby tu ...the rest ni takataka ....
Mambo ya wasukuma yamekuja vipi sasa?Naomba rudi tena wiki hii ukapatembelee utuletee mrejesho, Manispaa ya Shinyanga ni mojawapo ya manispaa nzuri na kubwa, Shinyanga kwa ukubwa wake wenzake ni Musoma, Bukoba, Morogoro, Iringa,Tabora na siyo mji wa kulinganishwa na Kahama, Geita,njombe, kasulu,korogwe n.k
Kiuchumi hapa ndo nyumbani kwa matajiri wengi wa kanda ya ziwa, Shinyanga ina viwanda vingi ukilinganisha na manispaa nyingi hapa nchini. Miundombinu ya barabara nzuri na taa zake usiku kunavutia mno kama vile Singida jirani yake.
Uwezi pata shida kujua eneo la Shinyanga lililotengwa kwa ajili ya viwanda na makazi, utunzaji wa mazingira kwa kuruka pasipo kujenga maeneo yenye miti ya asili.
Kunafanya mji uwe wa kupendeza kimandhari ukitokea mwanza ukishavuka kiwanda cha jambo product na International school ya Savanna mandhari ya pale ni nzuri sana mpaka unafika CBD yao siyo haba wanamijengo ikiwemo ghorofa siyo haba kiasi cha kubezwa.
Shinyanga ina Old Shinyanga town na New Shinyanga town na hizo towns zote mbili zimejengeka kuunda mji mmoja, daima wapita njia ya Mwanza-Shy tumekuwa tukipita pale Mkoani kwenye ofisi za Manispaa na mbele kidogo utaona magodauni na mashine za kukoboa mpunga nakujikuta tunapajua sana Shy kiasi cha kupadharau kumbe hata town hatufiki na ukichukulia wasukuma nchi hii mlishawachukulia poa poa mnadhani kila wanapoishi hapajaendelea.
Zanzibar size yake Tanga na Mbeya huko ndo walinganishwe nae na kwa hoteli za kitalii na fukwe hana mpinzani Tanzania hii yuko ligi yake.Nakuja na uzi wa mwanza vs zanzibar muda si mrefu
Mambo ya wasukuma yamekuja vipi sasa?
Leta hoja na siyo nyodo, kama unapachukulia poa shusha nondo za sababu kwanini upaelewiHivi kwani Dodoma ziko ngapi jamani?
Sio pabaya kivile, Dodoma palilazimishwa kukua kwa haraka.Leta hoja na siyo nyodo, kama unapachukulia poa shusha nyondo za sababu kwanini upaelewi