Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Najua ni mara chache sana watu kuizungumzia Dodoma kwa sababu wanai-underrate nakudhani kuwa Dodoma imelala ukweli mchungu ni kuwa kwa kasi ya ukuaji wa mji huu kuna majiji mengi nchini yajiandae kukabidhi crown very soon akiwemo mbabe Mwanza ambaye so far bado anahold title la jiji kubwa after DSM wakati DOM yeye akishikilia title la jiji la Kisasa zaidi after DSM hayo ndo maoni yangu utaki leta evidence kuwa MWANZA CBD nizaidi ya DODOMA CBD

Hivyo kwa heshima ya Dodoma mpya na ya kisasa ambayo kwa mtizamo wangu binafsi inaichapa Mwanza 3-0 kwenye ukubwa wa City Center (CBD)
Kuanzia majengo mengi ya ghorofa, ukisasa, mpangilio, bustani na round about nzuri, purchasing power (vitu bei ni juu na watu wana-afford) ndiyo maana mabasi makali na ghali mengi uanzia safari zake hapa kuelekea Dar nasiyo vinginevyo.

Kingine Dodoma CBD bado inakuwa kila sekunde mijengo inazidi chepushwa tena project za maana, ila Mwanza CBD haina jipya sana zaidi ya soko linalojengwa pale hamna kingine chakutarajia kwa sasa, kinachoiangusha Dodoma CBD ni ubaya wa soko lake kuu la majengo(ombi langu kwa mamlaka husika walifanyie mpango wa maboresho linafubaza jiji) ila kwingine huko kote ni fire.

CBD ya Dodoma inaichapa mwanza upande wa barabara za lami, private cars na magari ya kifahari,mandhari ya kimjini mjini kama ni mgeni ukiwa mazengo ukajichanganya majengo huko kwa kina vunja bei bila kusahau uhindini n.k wawezadhani uko kariakoo ndogo,
Dodoma CBD ina city vibes ukilinganisha na mwanza CBD.

MADHAIFU:

I. Ukarimu na kauli za kibiashara(customer care) ni "F"

II. Usafi ni "F'' mifereji inanuka vinyesi plus taka zinatupwa tu ovyo na hakuna hatua yeyote inachukuliwa mara mia na halmashauri ya manispaa ya Singida.

III. Upande wa Mahoteli na viwanja nawapa "D" demand bado nikubwa kuliko kilichopo, ukiiondoa Morena ambayo nayo ni yakawaida sana bado hakuna hotel za maana.

IV. Hali ya hewa ya vumbi la kuwasha macho, ukame na unusu jangwa, hata kama umetupia nguo mpya na Kali vipi zinaappear zimefubaa nakupaukiana achilia mbali baridi kali usiku. (Tushirikiane wote kuakikisha Sera ya Dodoma ya kijani inatekelezwa kwa vitendo)

V. Shida ya MAJI hapa usishangae chumba kimoja kikilipiwa 15k na kingine kinachofanana nacho kwa kila kigezo kikilipiwa 30k kumbe kigezo ni kimoja kina maji na kingine hakina. Jamani SERIKALI timizeni majukumu yenu mruhusu jiji hili lifunguke zaidi na likuwe maana kikwazo kikuu ni hiki kabla ya vingine.

But all in all ukiondoa mapungufu hayo machache, mwanza CBD inakalishwa benchi kipindi cha kwanza cha mchezo hata kabla ya kipyenga cha mwamuzi kuamuru game lianze.

TAKE HOME
Ninachoipendea Dodoma; UZALENDO kwani karibia asilimia 95 ya majengo yote, mabango na mapambo CBD lazima neno DODOMA litaappear unlike mwanza na sehemu zingine za Tanzania h
Nilikua Mwanza 2018, Arusha 2021, Dodoma 2018 na kisha 2022. Mtoa mada upo sahihi kwa hoja ya Dodoma kukua kwa kasi hasa kuongezeka kwa majengo marefu (maghorofa) na mandhari nzuri kwani nimenotice the difference. Hata hivyo bado haijaifikia Mwanza, kidogo inaanza kuisogelea Arusha kwa experience yangu.
 
Sio pabaya kivile, Dodoma palilazimishwa kukua kwa haraka.
Artificial growth inadumaza sana.
Si ndio kama sasa?
Pamoja na huo uartificial wake wakiserikali ni wazi kuwa wananchi wamehamasika wenyewe kupajenga Dodoma maana ukiiangalia mitaa mipya na yenye nyumba za kisasa na bati zenye rangi za kufanana kwa majority ya mitaa, nyumba za kisasa na mpya ni nyingi kuliko nyumba za zamani.
 
Nilikua Mwanza 2018, Arusha 2021, Dodoma 2018 na kisha 2022. Mtoa mada upo sahihi kwa hoja ya Dodoma kukua kwa kasi hasa kuongezeka kwa majengo marefu (maghorofa) na mandhari nzuri kwani nimenotice the difference. Hata hivyo bado haijaifikia Mwanza, kidogo inaanza kuisogelea Arusha kwa experience yangu.
Ongera Mkuu kwa kushare experience yako kwa maeneo yote matatu, chakuongezea hapo kulingana na hisia zangu nahisi Arusha ilishapitwa maana Dodoma imejengwa ki-nuclear settlement na Arusha naichukulia kama linear fulani hivi kimtindo japo ushahidi wa hili bado ni mgumu mpaka tutakapopata tathmini ya takwimu za sensa ya watu na makazi mwaka huu.
 
Pamoja na huo uartificial wake wakiserikali ni wazi kuwa wananchi wamehamasika wenyewe kupajenga Dodoma maana ukiiangalia mitaa mipya na yenye nyumba za kisasa na bati zenye rangi za kufanana kwa majority ya mitaa, nyumba za kisasa na mpya ni nyingi kuliko nyumba za zamani.
Bahati mbaya, nyingi sio za Wagogo.
Ila na support ukuaji wa mji.
 
Najua ni mara chache sana watu kuizungumzia Dodoma kwa sababu wanai-underrate nakudhani kuwa Dodoma imelala ukweli mchungu ni kuwa kwa kasi ya ukuaji wa mji huu kuna majiji mengi nchini yajiandae kukabidhi crown very soon akiwemo mbabe Mwanza ambaye so far bado anahold title la jiji kubwa after DSM wakati DOM yeye akishikilia title la jiji la Kisasa zaidi after DSM hayo ndo maoni yangu utaki leta evidence kuwa MWANZA CBD nizaidi ya DODOMA CBD

Hivyo kwa heshima ya Dodoma mpya na ya kisasa ambayo kwa mtizamo wangu binafsi inaichapa Mwanza 3-0 kwenye ukubwa wa City Center (CBD)
Kuanzia majengo mengi ya ghorofa, ukisasa, mpangilio, bustani na round about nzuri, purchasing power (vitu bei ni juu na watu wana-afford) ndiyo maana mabasi makali na ghali mengi uanzia safari zake hapa kuelekea Dar nasiyo vinginevyo.

Kingine Dodoma CBD bado inakuwa kila sekunde mijengo inazidi chepushwa tena project za maana, ila Mwanza CBD haina jipya sana zaidi ya soko linalojengwa pale hamna kingine chakutarajia kwa sasa, kinachoiangusha Dodoma CBD ni ubaya wa soko lake kuu la majengo(ombi langu kwa mamlaka husika walifanyie mpango wa maboresho linafubaza jiji) ila kwingine huko kote ni fire.

CBD ya Dodoma inaichapa mwanza upande wa barabara za lami, private cars na magari ya kifahari,mandhari ya kimjini mjini kama ni mgeni ukiwa mazengo ukajichanganya majengo huko kwa kina vunja bei bila kusahau uhindini n.k wawezadhani uko kariakoo ndogo,
Dodoma CBD ina city vibes ukilinganisha na mwanza CBD.

MADHAIFU:

I. Ukarimu na kauli za kibiashara(customer care) ni "F"

II. Usafi ni "F'' mifereji inanuka vinyesi plus taka zinatupwa tu ovyo na hakuna hatua yeyote inachukuliwa mara mia na halmashauri ya manispaa ya Singida.

III. Upande wa Mahoteli na viwanja nawapa "D" demand bado nikubwa kuliko kilichopo, ukiiondoa Morena ambayo nayo ni yakawaida sana bado hakuna hotel za maana.

IV. Hali ya hewa ya vumbi la kuwasha macho, ukame na unusu jangwa, hata kama umetupia nguo mpya na Kali vipi zinaappear zimefubaa nakupaukiana achilia mbali baridi kali usiku. (Tushirikiane wote kuakikisha Sera ya Dodoma ya kijani inatekelezwa kwa vitendo)

V. Shida ya MAJI hapa usishangae chumba kimoja kikilipiwa 15k na kingine kinachofanana nacho kwa kila kigezo kikilipiwa 30k kumbe kigezo ni kimoja kina maji na kingine hakina. Jamani SERIKALI timizeni majukumu yenu mruhusu jiji hili lifunguke zaidi na likuwe maana kikwazo kikuu ni hiki kabla ya vingine.

But all in all ukiondoa mapungufu hayo machache, mwanza CBD inakalishwa benchi kipindi cha kwanza cha mchezo hata kabla ya kipyenga cha mwamuzi kuamuru game lianze.

TAKE HOME
Ninachoipendea Dodoma; UZALENDO kwani karibia asilimia 95 ya majengo yote, mabango na mapambo CBD lazima neno DODOMA litaappear unlike mwanza na sehemu zingine za Tanzania hii.
Wewe jamaa ni zero kabisa Mwanza unaijua? Mwanza ni mji mkubwa sana mara 100 ya dodoma..... dodoma hapa kweli [emoji1787][emoji1787] uko mitaa gani kesho tuonane

Mwanza ndio mji pekee nje ya dar ambao unaweza kutembea karibia kilometers 100 ukawa ndani ya jiji
 
Mhhhh... chai hii.. Dar yenyewe haina ukubwa huo wa kutembea km hizo ndani ya mji
 
[emoji38][emoji38] tatizo haujaelewa ni nini namaanisha...?? mwanza watu wengi hasa wageni wanajua maeneo yaliyo jirani na barabara kuu ambayo kiuhalisia naweza sema ni asilimia 20 tu wengi wanaijua buhongwa kwa kuiangalia kutoka barabarani kisha wanafuata lami hadi mjini kati wanakula kona nata hadi kisesa au wanaanzia mji kati hadi ilemela kanisani kisha wanakuja kutengeneza Uzi hapa

Mtu anasema dodoma imepanuka sijui hadi wapi.. ninauhakika mleta uzi buhongwa tu au mkolani hazijui hata kwa 10% japo n maeneo yaliyo kando ya barabara kuu
 
Sasa fafanua hizo km 100
 
Bahati mbaya, nyingi sio za Wagogo.
Ila na support ukuaji wa mji.
Yap ndivyo ilivyo siku zote maendeleo hayaletwi na wazawa tu na hii inadhihirisha wagogo ni watu poa sana maana wamekuwa na utiyari wa kuachia maeneo na kukaribisha wengine kuendeleza jiji lao, chukulia mfano wa moshi mji ambao ulistahili kupiga hatua na kuwa jiji lakini mpaka waleo unasuasua sababu ya ubinafsi na kuhodhi ardhi kwa wakazi wake ambao wako radhi kuona migomba inamea mjini lakini siyo nyumba ya mtu asiye na asili yao.
 
Wewe jamaa ni zero kabisa Mwanza unaijua? Mwanza ni mji mkubwa sana mara 100 ya dodoma..... dodoma hapa kweli [emoji1787][emoji1787] uko mitaa gani kesho tuonane

Mwanza ndio mji pekee nje ya dar ambao unaweza kutembea karibia kilometers 100 ukawa ndani ya jiji
Uonane na mimi hili tuzungumze nini mkuu ikiwa hata mada yenyewe ujaielewa, licha ya chumvi zako za Mara 100 na KM 100 kuwa invalid.

Uzi huu haulinganishi ukubwa wa Mwanza dhidi ya Dodoma maana inajulikana ni jiji gani hapo ni kubwa, cha kukusaidia rudia tena kusoma mada ukishaielewa ndo ulete hoja na kama ujaelewa kilichomaanishwa omba msaada ufafanuliwe.
 
[emoji38][emoji38][emoji38] tatizo lipo kwako kiongoz hiii thread imejaa matango pori mengi,fanya tafiti za kutosha kwanza yaani dodoma hiiii chief tema mate chini
 
Mwanza inazidiwa na Dar tu. Mim nimekaa na naijua Dom yote na Mwanza Kidogo. Hata haja ya kulinganisha hakuna, sema Dom ni miongoni mwa miji inayokua kwa kasi.
 
Ila mwanza na nilivyokua naiskia ni tofauti..kabla sijafikaga mwanza nilikua nna ndoto sana ya kwenda and was my fav City..ila nilivyofika sikutaka ata kurudi tena..harufu mbaya ya dagaa kutoka ziwani..hakuna kipya cha kusema yes i meet the Centre of the City kama utavyofika posta au hata ukiwa arusha centre..mwanza hapana aisee ni pabaya bas tu inawabeba manthari na hali ya hewa ..
 
[emoji38][emoji38][emoji38] tatizo lipo kwako kiongoz hiii thread imejaa matango pori mengi,fanya tafiti za kutosha kwanza yaani dodoma hiiii chief tema mate chini
Ni kawaida ya akili ndogo haiwezi kujenga hoja kubwa.
 
Najua ni mara chache sana watu kuizungumzia Dodoma kwa sababu wanai-underrate nakudhani kuwa Dodoma imelala ukweli mchungu ni kuwa kwa kasi ya ukuaji wa mji huu kuna majiji mengi nchini yajiandae kukabidhi crown very soon akiwemo mbabe Mwanza ambaye so far bado anahold title la jiji kubwa after DSM wakati DOM yeye akishikilia title la jiji la Kisasa zaidi after DSM hayo ndo maoni yangu utaki leta evidence kuwa MWANZA CBD nizaidi ya DODOMA CBD

Hivyo kwa heshima ya Dodoma mpya na ya kisasa ambayo kwa mtizamo wangu binafsi inaichapa Mwanza 3-0 kwenye ukubwa wa City Center (CBD)
Kuanzia majengo mengi ya ghorofa, ukisasa, mpangilio, bustani na round about nzuri, purchasing power (vitu bei ni juu na watu wana-afford) ndiyo maana mabasi makali na ghali mengi uanzia safari zake hapa kuelekea Dar nasiyo vinginevyo.

Kingine Dodoma CBD bado inakuwa kila sekunde mijengo inazidi chepushwa tena project za maana, ila Mwanza CBD haina jipya sana zaidi ya soko linalojengwa pale hamna kingine chakutarajia kwa sasa, kinachoiangusha Dodoma CBD ni ubaya wa soko lake kuu la majengo(ombi langu kwa mamlaka husika walifanyie mpango wa maboresho linafubaza jiji) ila kwingine huko kote ni fire.

CBD ya Dodoma inaichapa mwanza upande wa barabara za lami, private cars na magari ya kifahari,mandhari ya kimjini mjini kama ni mgeni ukiwa mazengo ukajichanganya majengo huko kwa kina vunja bei bila kusahau uhindini n.k wawezadhani uko kariakoo ndogo,
Dodoma CBD ina city vibes ukilinganisha na mwanza CBD.

MADHAIFU:

I. Ukarimu na kauli za kibiashara(customer care) ni "F"

II. Usafi ni "F'' mifereji inanuka vinyesi plus taka zinatupwa tu ovyo na hakuna hatua yeyote inachukuliwa mara mia na halmashauri ya manispaa ya Singida.

III. Upande wa Mahoteli na viwanja nawapa "D" demand bado nikubwa kuliko kilichopo, ukiiondoa Morena ambayo nayo ni yakawaida sana bado hakuna hotel za maana.

IV. Hali ya hewa ya vumbi la kuwasha macho, ukame na unusu jangwa, hata kama umetupia nguo mpya na Kali vipi zinaappear zimefubaa nakupaukiana achilia mbali baridi kali usiku. (Tushirikiane wote kuakikisha Sera ya Dodoma ya kijani inatekelezwa kwa vitendo)

V. Shida ya MAJI hapa usishangae chumba kimoja kikilipiwa 15k na kingine kinachofanana nacho kwa kila kigezo kikilipiwa 30k kumbe kigezo ni kimoja kina maji na kingine hakina. Jamani SERIKALI timizeni majukumu yenu mruhusu jiji hili lifunguke zaidi na likuwe maana kikwazo kikuu ni hiki kabla ya vingine.

But all in all ukiondoa mapungufu hayo machache, mwanza CBD inakalishwa benchi kipindi cha kwanza cha mchezo hata kabla ya kipyenga cha mwamuzi kuamuru game lianze.

TAKE HOME
Ninachoipendea Dodoma; UZALENDO kwani karibia asilimia 95 ya majengo yote, mabango na mapambo CBD lazima neno DODOMA litaappear unlike mwanza na sehemu zingine za Tanzania hii.
Wala huijui Mwanza ! Kinachokusumbua ni wivu na chuki kwa jiji la miamba. Pole sana. Nikushauri tu usipoteze muda wako kulinganisha mlima kilimanjaro na kichuguu cha mchwa.
 
Ni kawaida ya akili ndogo haiwezi kujenga hoja kubwa.
Kiongoz sasa wewe unahoja gani hapo unaleta hadi masuala ya mabas kweli ushaona bus luxury inawekwa njia ya kilometers zaidi ya 1300[emoji38][emoji38]nauli itakua shingapi pia hao abiria watafika lini wewe jamaa. mwanza ndio mkoa wa pili Tanzania kua na wasafiri wengi wa ndege
 
Wewe jamaa ni zero kabisa Mwanza unaijua? Mwanza ni mji mkubwa sana mara 100 ya dodoma..... dodoma hapa kweli [emoji1787][emoji1787] uko mitaa gani kesho tuonane

Mwanza ndio mji pekee nje ya dar ambao unaweza kutembea karibia kilometers 100 ukawa ndani ya jiji

Shule uliyosoma Mwalimu aliyetakiwa kukufundisha "Measurements" ALIKUFA!!!
 
Nasikitika.... itafute CCM ikurudishie akili zako haraka. Kwahio vipimo vya ukubwa wa Tanzania vinapimwa kuanzia mtwara hadi bukoba [emoji1787] (acha kuchanganya kiingereza kwenye ujinga)

Humu ndani kuna watu wa hovyo sana ukubwa wa dar unapimwa kwanzia kivule hadi yombo eeeehh akili matope hizi
 
Back
Top Bottom