mwekwa ntandu
JF-Expert Member
- Aug 24, 2019
- 1,526
- 3,756
Wamba naona ni jinsi gani mnavyojitahidi kubishana na huyu mwendawazimu,kiufupi tu hana exposure ndio maana hana aibu kushindanisha Kijiji cha dom ambacho angalau kimepewa favour na serikali ili kio enekane kimekaa ki ustandady wakati ni trashy tupuDom CC vs Mwanza CC plus Ilemela,wapi Kuna Maskini?
Miundombinu ya barabara kwa jiji la mwanza ni hovyo kwakweli hasahasa nyamagana ndo takataka kabisa kutoka sahara mpaka mkuyuni unatumia dakika 45-50 aseeIla kusema ukweli Mwanza mnatia huruma sana yaani inaonekana Mikoa ya jirani imekua kiuchumi na imeacha kutegemea Mwanza.
Mfano mlikuwa estimated kukusanya Bil.31,mwaka wa 2024/25 Hadi Sasa hivi mumekusanya bil.17 tuu.
Yaani Mbeya imewazisi Ina bil.19 ,ndio kusema next year mtakojolewa na Mbeya pia yaani achilia mbali Dom ambayo sio level yenu tena.
Mwanza kwishney 😆😆
Wewe ndio huna exposure ndiomana unaongozwa na ushabiki maandazi+mihemuko😂😂.Wamba naona ni jinsi gani mnavyojitahidi kubishana na huyu mwendawazimu,kiufupi tu hana exposure ndio maana hana aibu kushindanisha Kijiji cha dom ambacho angalau kimepewa favour na serikali ili kio enekane kimekaa ki ustandady wakati ni trashy tupu
Huo ni ukweli mchungu😂😂 na itachukua miaka mingi sana Mwanza Jiji kuwa na ubora wa barabara manake hiyo ni changamoto ya muda mrefu yaani tangu Mwanza itangazwe kuwa jiji mwaka 2000 mpaka leo barabara ni tatizo kubwa.Miundombinu ya barabara kwa jiji la mwanza ni hovyo kwakweli hasahasa nyamagana ndo takataka kabisa kutoka sahara mpaka mkuyuni unatumia dakika 45-50 asee
🤣🤣🤣Ukiwa serious sana jf utakufa kwa presha bado kijana,mengine Acha yapite na kila kitu kina wakati wake.Kweli wakati wa Mwanza utaisha lakini sio kirahisi unavyodhani.Kuna sababu zinaifanya Mwanza kuwa kama ilivyo usitegemee kujengwa Dodoma, Mwanza itakufa kirahisi na ukumbuke hata Arusha huwa wanasema hivyo ivyo miaka yote lakini Mwanza hipo tu na inandelea kupasua anga🤣🤣🤣🤣Mwanza ni habari nyingine hayo mengine ni hadithi tu.Wewe ndio huna exposure ndiomana unaongozwa na ushabiki maandazi+mihemuko😂😂.
Kama kweli una "exposure" ebu tulinganishe kwa facts kati ya Dom na Mwanza tuone nani ni 'trashy"👇👇hivi vigezo
-master plan ya jiji
-ubora wa mipango miji
-mtandao mpana wa barabara za lami
-mapato TRA
-mapato halmashauri
-uwingi wa taasisi za serikali
-uwingi wa taasisi+mashirika ya kimataifa
-miradi mingi inayojengwa
-miradi mingi inayotarajiwa kujengwa
-ubora+uwingi huduma za kijamii
-vyuo vikuu
-transport system(public na private)
-muonekano wa jiji
-Viwanda
N.k
porojo+mipasho hakuna point yoyote ya maana.🤣🤣🤣Ukiwa serious sana jf utakufa kwa presha bado kijana,mengine Acha yapite na kila kitu kina wakati wake.Kweli wakati wa Mwanza utaisha lakini sio kirahisi unavyodhani.Kuna sababu zinaifanya Mwanza kuwa kama ilivyo usitegemee kujengwa Dodoma, Mwanza itakufa kirahisi na ukumbuke hata Arusha huwa wanasema hivyo ivyo miaka yote lakini Mwanza hipo tu na inandelea kupasua anga🤣🤣🤣🤣Mwanza ni habari nyingine hayo mengine ni hadithi tu.
Kwa Serikali na Dodoma ni Mega kwa Mwanza ni quarters kama zile za Mwatex kule bugando,za reli kule mkuyuni,za police kule mabatini.Kwa vile huko Dodoma ni mambo mageni lazima muangaikeporojo+mipasho hakuna point yoyote ya maana.
👇👇angalia Dom wenzenu.....another mega project loadingView attachment 3313005
Nimekuwekea hiyo picha ilinikusahidie ukiangalia vizuri utaona apartments zaidi ya hizo flats.Mwanza hiko huko siku nyingi na ni kazi ya private sector si serikali na ukitaka naweke nyingine.Kwa Serikali na Dodoma ni Mega kwa Mwanza ni quarters kama zile za Mwatex kule bugando,za reli kule mkuyuni,za police kule mabatini.Kwa vile huko Dodoma ni mambo mageni lazima muangaikeView attachment 3313034
Hujawahi andika Wala kuleta vitu vya maana zaidi ya pumba.Nimekuwekea hiyo picha ilinikusahidie ukiangalia vizuri hutaona apartments zaidi ya hizo flats.Mwanza hiko huko siku nyingi na ni kazi ya private sector si serikali na ukitaka naweke nyingine.
Kwamba Mwanza hakuna NHC eti.......au mradi wa NHC Buswelu upo wapi,Watumishi Housing Kisesa ipo wapi.😂😂😂Nimekuwekea hiyo picha ilinikusahidie ukiangalia vizuri hutaona apartments zaidi ya hizo flats.Mwanza hiko huko siku nyingi na ni kazi ya private sector si serikali na ukitaka naweke nyingine.
Naandika pumba kujibu pumba 🤣🤣🤣Unataka niandie Mchele kwa pumba si ndo nitakuchanganya kabisa.Wewe kwa uwezo wako unastahili pumba kwasababu uelewa wako mdogo,hizo pumba ndo size yako😅😅😅Hujawahi andika Wala kuleta vitu vya maana zaidi ya pumba.
Here is Dom HQ in the rise 👇👇
View: https://www.instagram.com/reel/DIyWWPOtCKO/?igsh=MXdrZ2J4ZXV3azNnZw==
Toa uchafu hapa kama huna contentNaandika pumba kujibu pumba 🤣🤣🤣Unataka niandie Mchele kwa pumba si ndo nitakuchanganya kabisa.Wewe kwa uwezo wako unastahili pumba kwasababu uelewa wako mdogo,hizo pumba ndo size yako😅😅😅 View attachment 3313090
View attachment 3313091
🤣🤣🤣🤣Toa uchafu hapa kama huna content
Tupa hasira zako humu usije ukafa bure bado kijana🤣🤣🤣Toa uchafu hapa kama huna content
Apartment zingine hizo tena private ownershipKwamba Mwanza hakuna NHC eti.......au mradi wa NHC Buswelu upo wapi,Watumishi Housing Kisesa ipo wapi.😂😂😂
Alafu kilasiku watu wa Mwanza mnasema Mwanza haijengwi na Serikali eti inajengwa na private sector😀😀 Kama ni kweli inajengwa na private sector nitajie miradi mitano mikubwa inayojengwa na private sector Mwanza mimi naanza na hii miradi ya kimkakati yenye mkono wa Serikali👇👇
-SGR
-Jengo la kitega uchumi NSSF
-JPM daraja
-Ujenzi Soko Kuu Mwanza
-Upanuzi wa wodi mbalimbali Hospitali ya Sekou Toure
-Ujenzi wa Meli Mv Mwanza
N.k
hujajibu swaliApartment zingine hizo tena private ownership View attachment 3313117
Subiri yule kilaza waliyempiga ban akirudi humu aje kukwambia eti Dom hakuna viwanda vikubwa😂😂Dom ni mwendo wa viwanda tuu 👇 👇
View: https://www.instagram.com/reel/DIwChTVtJAh/?igsh=MXkyNjU4eHBzNXZqaA==
Nimekujibu au unataka nikujibu kwa listinghujajibu swali