Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Nitajie miradi mitano mikubwa inayojengwa na private sector Mwanza ambayo haina mkono wa serikali kama nilivyoitaja ya kwangu....tumalize ubishi
Ngoja nikutajie ili ufurahie
1.Mwanza university private
2.City health and alliance collage private
3.Kamanga hospital private
4.Aghakan hospital private
5.Prince medical iindustry private
Haya pambana nimekutajia kwa angle moja ya afya ni miradi ya kawaida sana
 
Hiki ni kichekesho
-ujenzi wa mwanza university stori ni zilezile tangu enzi za Magufuli,hakuna mradi apo kukamilika
-city college of health and allied sciences hiki ni sawa na chuo cha Kata...hata Dom wapo pia
-Dom wenzenu wana kiwanda kikubwa cha madawa πŸ‘‡πŸ‘‡

 
Shida yako unakurupuka na unaongea kufurahisha mdomo na kijiwe cha jf Mwanza university kiko operation tangu Mwaka 2023 sasa sijui wewe unasema Mwanza university hipi.City collage sijui unalinganisha na collage gani ya kata hapo Dodoma.Acha unafiki kama kitu hukijui uliza usahidiwe.🀣🀣
 
hipiπŸ˜‚πŸ˜‚,usahidiweπŸ˜‚πŸ˜‚ sijui ni kiswahili au kisukuma.Kama kiswahili tu kinakushinda English ndio utaweza wapi.
Yaani kubishana na "illiterate" ni kazi kweli..πŸ‘‡πŸ‘‡

 
Ukweli mchungu kwake huyu kilaza
 
Hebu nipe update ya mambo haya:
1.Barabara mzunguko zimefikia asilimia ngapi?
2.eapoti ya msalato nayo ipo ktk hatua gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…