👉Barabara ya mzunguko lot 1 ishakamilika bado lot 2Hebu nipe update ya mambo haya:
1.Barabara mzunguko zimefikia asilimia ngapi?
2.eapoti ya msalato nayo ipo ktk hatua gani
Dom hakuna kitu ambacho hakipatikani ...kilakitu kinapatikana kama Dar.ok pia kuna hotel nasikia shabiby kajenga dodoma,na vipi kuna pubs za kisasa,kumbi za mikutano,maduka makubwa ya vifaa mbalimbali,maduka ya simu na kompyuta?
Nasubiria Mikdde aje atuambie eti Dom hakuna matawi mengi ya benki kama ilivyo kwa Kahama😂😂😂
Sasa Kuna nini hapo cha ajabu ushamba mzigo aiseee😂😂😂😂😂Nasubiria Mikdde aje atuambie eti Dom hakuna matawi mengi ya benki kama ilivyo kwa Kahama😂😂😂