ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Mwanza is Slum mpo? ππ
View: https://www.instagram.com/p/DJ2IxcRKn2f/?img_index=6&igsh=aTM2Zm80cHFvZ29s
Uwanja wa ndege vs Daraja la JPM ni structure ipi itaongeza Mapato Kwa Jiji miaka 5 ijayo?
Hii hawamu adi kuja kuisha wananchi wa Mwanza na kanda ya ziwa tutakuwa tumebaki viwete, kila kitu sasa hivi ni Dar, Dodoma na Arusha mikoa mingine wanaishi ngedere?
Nadhani tukubaliane tu na hali kuwa Dodoma wanapendelewa sana kwasababu ni makao makuu.Hii hawamu adi kuja kuisha wananchi wa Mwanza na kanda ya ziwa tutakuwa tumebaki viwete, kila kitu sasa hivi ni Dar, Dodoma na Arusha mikoa mingine wanaishi ngedere?
Mnaona raha kupendelewa mnadhani hii inatengeneza picha gani kwa mikoa mingine, hii sio sawa hata kidogo.Nadhani tukubaliane tu na hali kuwa Dodoma wanapendelewa sana kwasababu ni makao makuu.
ππBarabara nyingine ya njianne inaenda kujengwa kutoka Chamwino Ikulu hadi City Centre.
View: https://www.instagram.com/reel/DJ9YPZYiPkh/?igsh=MW9rbGtsZmE2YWlxOA==
Mnaona raha kupendelewa mnadhani hii inatengeneza picha gani kwa mikoa mingine, hii sio sawa hata kidogo.
Bado hujasema Hadi useme π π π πHii hawamu adi kuja kuisha wananchi wa Mwanza na kanda ya ziwa tutakuwa tumebaki viwete, kila kitu sasa hivi ni Dar, Dodoma na Arusha mikoa mingine wanaishi ngedere?
Mnaona raha kupendelewa mnadhani hii inatengeneza picha gani kwa mikoa mingine, hii sio sawa hata kidogo.
CCM kujenga makao makuu mapya Dodoma CCM kujenga makao makuu mapya DodomaSie tuna komaaa na wananzengo tu, project mpya mjiniView attachment 3345090