Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Kiuhalisia hili daraja halipo Mwanza Jiji lipo mpakani mwa wilaya za Sengerema na Misungwi...umbali wa zaidi ya masaa matatu kwa gariπŸ˜‚πŸ˜‚
Hapo kwenye masaa matatu umedanganya πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„maana haizidi dakika 20 kutoka Buhongwa hadi Kigongo ferry (daraja lilipo)
 
Kiuhalisia hili daraja halipo Mwanza Jiji lipo mpakani mwa wilaya za Sengerema na Misungwi...umbali wa zaidi ya masaa matatu kwa gariπŸ˜‚πŸ˜‚
Hata Ukiwa na Chuki na Mwanza sio kwa kiasi hiki, Daladala za kwenda kigongo Ferry zipo Buhongwa nauri ni 1500,mda kutoka buhongwa hadi darajani (kigongo ferry) ni kama dakika 15 hadi 20 kama hakuna jamu barabarani, Usagara kwenda darajani nauri buku, mda ni dakika 5 hadi 10,iweje uanze kudanganya watu masaa matatu? Mwanza kwenda Shinyanga ni masaa mawili mpaka matatu,, Manina zenu, Na yajayo mtaumia mbwa nyieee, manispaa ya tatu ipo on pipeline tarehe 19 inaenda kutangazwa mbwa nyiee, na ita cover eneo la Kamanga, Busisi, kigonga, usagara na kisesa,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…