Dpresident tz
JF-Expert Member
- Aug 22, 2020
- 433
- 454
Hapo kuna uzungu gani vinyumba vimekaa kama vimemwagwa kwa hali hii bora hata mabatini Mwanza.Ni hatari kama Dodoma ina population ya laki 7 hali ni hii je,ikifikisha watu million 2 si itakuwa kama Dandora.?Uki zoom hiyo picha hakuna uswazi kama wa Mwanza
Shida ya watu Dodoma wakisikia kingereza cha outer ring wanachanganyikiwaπ€£π€£π€£ wanashindwa kutofautisha na By pass road.Kumbe ni almost the same.Mwanza haya mambo yapo kitambo mfano hiyo barabara inayotoka Sengerema kuja darajani kwenda usagara mpaka kisesa hiyo ni by pass na inaendelea mpaka kanyenze inakua outer ring road.Hatari sana, zile barabara unganishi za kutoka daraja zile 3 by 3,zikifika usagra, then mwanza Zero, Road itavutia vibaya sana kuzidi hii Outerring ya jangwani
Endelea kujifariji kwa porojo...Kwa kukusaidia tuππShida ya watu Dodoma wakisikia kingereza cha outer ring wanachanganyikiwaπ€£π€£π€£ wanashindwa kutofautisha na By pass road.Kumbe ni almost the same.Mwanza haya mambo yapo kitambo mfano hiyo barabara inayotoka Sengerema kuja darajani kwenda usagara mpaka kisesa hiyo ni by pass na inaendelea mpaka kanyenze inakua outer ring road.
π€£π€£π€£Kwa Mwanza vitu kama hivi ni ndoto za mchanaππ
This is how Msalato International airport will look like..
View attachment 3372799View attachment 3372800View attachment 3372801View attachment 3372802View attachment 3372803View attachment 3372804View attachment 3372805
Njejengwa Investment Area kunazidi kuchangamka.ππ
Mojawapo ya kampuni bora za wazawa ninayoikubali sana ni Estim Construction iwe kwenye ujenzi wa barabara au maghorofa marefu
Kwa taarifa yako tu wenzenu Dom baada kukamilisha outer ring road (122 km)mwaka huu kinachofuata ni inner ring road itakayoanzia Ikulu hadi CityCentre. Toka tupate Uhuru nchi hii hakuna mji wowote umewahi kujengewa hizo aina ya barabara zaidi ya Dom. Mwanza endeleeni kujifariji tuππ..kwenyemiundombinu hamfiki hata robo ya ubora wa DomHii road ikifika mpaka Mwanza zero itakuja itakua kali na attractive kuliko outer ring yote ya jangwani Dodoma View attachment 3382518
Kwa taarifa yako tu wenzenu Dom baada kukamilisha outer ring road (122 km)mwaka huu kinachofuata ni inner ring road itakayoanzia Ikulu hadi CityCentre. Toka tupate Uhuru nchi hii hakuna mji wowote umewahi kujengewa hizo aina ya barabara zaidi ya Dom. Mwanza endeleeni kujifariji tuππ..kwenyemiundombinu hamfiki hata robo ya ubora wa Dom