Hii Dodoma ni kama sikio la kufa lisilosikia dawa angalia hiyo mandhari kama upo katikati ya jangwa la sahara, karibu Mwanza haipoi wala haiboi.Uzuri mnashindana loosers Kwa loosers ππ
Dom HQ,hakuna Jengo la serikali hata Moja hapa π₯ π₯ π π
View attachment 3414130View attachment 3414136View attachment 3414137View attachment 3414138View attachment 3414139View attachment 3414140View attachment 3414141View attachment 3414142View attachment 3414143View attachment 3414144
Hakika kabisa Mwanza haiwezi kufikia Arusha kwa kufuga mapunda katikati ya jiji.Jibu swali Kuna Mwanza ya kufikia Arusha ukweli?
What does mandhari has to do with City Development and being vibrant?Hii Dodoma ni kama sikio la kufa lisilosikia dawa angalia hiyo mandhari kama upo katikati ya jangwa la sahara, karibu Mwanza haipoi wala haiboi.
Kiufupi mnaitia huruma sana.Hakika kabisa Mwanza haiwezi kufikia Arusha kwa kufuga mapunda katikati ya jiji.
Nyinyi ndio mapopoma na malimbukeni wa vitu vya kipumbavu, nenda nchi za Scandinavia hazina maghorofa marefu wala maghorofa mengi lakini miji inapendeza kwa kuwa na manshari safi, ndio maana hapo Dodoma mabilions ya dollars yamewekezwa hapo na serikali lakini ukija kwa ground unaona changes ndogo na bado hali ya hewa ya ukavu ni changamoto.What does mandhari has to do with City Development and being vibrant?
Acha kutumia nguvu kulipaisha ilo shamba la mpunga kuja kushindana na Mwanza.Kiufupi mnaita huruma sana.
Ligi ya Mwanza Kwa Sasa ni Mbeya
Sasa Mwanza Kila hakuna kitu si pesa si magorofa ππNyinyi ndio mapopoma na malimbukeni wa vitu vya kipumbavu, nenda nchi za Scandinavia hazina maghorofa marefu wala maghorofa mengi lakini miji inapendeza kwa kuwa na manshari safi, ndio maana hapo Dodoma mabilions ya dollars yamewekezwa hapo na serikali lakini ukija kwa ground unaona changes ndogo na bado hali ya hewa ya ukavu ni changamoto.
Gdp inaongea na kama utaendelea kuamini zile takwimu za maghorofa utakuwa ni hamnazo, Mwanza haina mpinzani wa kila kitu nje ya Dar labda sekta ya utalii tu,ukiona takwimu sijui Mwanza ni ya tano sijui ya tatu hizo takwimu si za kuamini.Sasa Mwanza hakuna kitu si pesa si magorofa ππ
vp unataka tujadili hali ya hewaπππ tuache mipangomiji,maghorofa,miundombinu,huduma za kijamii,mapato(tra+halmashauri),miradi inayojengwa+ inayotarajiwa kujengwa,uwekezaji wa serikali+binafsi n.k ππ.Kama ndio hivyo basi Dubai haifiki hata robo ya Lushoto,Njombe,Makete,Mafinga π€£π€£na bado hali ya hewa ya ukavu ni changamoto.
Hakuna kitu kati ya hivyo ulivyotaja dodoma ikaizidi Mwanza labda majengo ya wizara na taasisi tu kingine ni umaskini uliotukuka na ongezeko la matonya.vp unataka tujadili hali ya hewaπππ tuache mipangomiji,maghorofa,miundombinu,huduma za kijamii,mapato(tra+halmashauri),miradi inayojengwa+ inayotarajiwa kujengwa,uwekezaji wa serikali+binafsi n.k ππ.Kama ndio hivyo basi Dubai haifiki hata robo ya Lushoto,Njombe,Makete,Mafinga π€£π€£
Dar na Mwanza hazina hadhi ya kuitwa majiji. Tembea uone.Acha upumbavu hapa majiji ni Dar na Mwanza hizo hekaya zenu pelekeni kwa mandondocha.
Tulia wewe kwani sifa za majiji ni zipi hata huko Dunia, kibongo bongo Dar na Mwanza ndio majiji.Dar na Mwanza hazina hadhi ya kuitwa majiji. Tembea uone.
Nimekwambia tembea uone, Dar na Mwanza sio majiji bali ni vijiji vilivyochangamka.Tulia wewe kwani sifa za majiji ni zipi hata huko Dunia, kibongo bongo Dar na Mwanza ndio majiji.
Hupo sawa kabisa lakini kwa hapa bongo haya ndio majiji japo ni vijiji vikubwa lakini angalau kuliko vile vitongoji vingine.Nimekwambia tembea uone, Dar na Mwanza sio majiji bali ni vijiji vilivyochangamka.
Twende mbele turudi nyuma, mwanza ni mji mkubwa sana kuliko Arusha. Hilo kunari ukatae lakini ukweli ndio huo. Arusha inaizid mwanza kwa kua na maghorofa marefu zaidi, lakini ukiwa katikati ya mji wa mwanza unafeel upo mjini kweli. Tofauti na Arusha ambapo barabara zimejengwa lakini watembea kwa miguu wamesahaulika.Ukitumia moyo utaona haiizidi ila ukitumia akili Arusha Iko mbele sana Kwa Mwanza.
Hivi ukiona hii video unaamini hapa ni Arusha au Ulaya? Kuna Mwanza ya hivi? ππ
View attachment 3414118
Karibu tena Mwanza uhesabu maghorofa marefu ya Mwanza ya sasa na Arusha then ulete majibu humu, acheni porojo za kurithishana maneno.Twende mbele turudi nyuma, mwanza ni mji mkubwa sana kuliko Arusha. Hilo kunari ukatae lakini ukweli ndio huo. Arusha inaizid mwanza kwa kua na maghorofa marefu zaidi, lakini ukiwa katikati ya mji wa mwanza unafeel upo mjini kweli. Tofauti na Arusha ambapo barabara zimejengwa lakini watembea kwa miguu wamesahaulika.
Pia usafi, mji wa Mwanza umesima vizuri. Arusha kuna jengo la mambo ya utamaduni pale limejengwa kama ngoma, pembeni kuna kamto...
Huna jipya tumewachoka Kila siku kajengo kamoja kalikopauka π€£π€£
Nipo hapa posta baKaribu tena Mwanza uhesabu maghorofa marefu ya Mwanza ya sasa na Arusha then ulete majibu humu, acheni porojo za kurithishana maneno.
Nipo Mwanza na mwezi wa tano nilikua Arusha. Sema umedandia treni mbeleKaribu tena Mwanza uhesabu maghorofa marefu ya Mwanza ya sasa na Arusha then ulete majibu humu, acheni porojo za kurithishana maneno.
Mwanza ni kubayaNipo hapa posta ba
Nipo Mwanza na mwezi wa tano nilikua Arusha. Sema umedandia treni mbele