Hujajibu swali .....hizo porojo peleka Facebook kwa MEMKWA wenzako ππHuna elimu ya uchumi na huna unalolijua kwenye uchumi, kiufupi Dodoma na Simiyu hazina tofauti na rafiki yake singida.
Mwanza ilishajifia kitambo ndio maana hakuna mtu anajenga kiwanda.Kwa spidi hii, baada ya miaka michache Dom wataanza kuikaribia Dar na Pwani kwa wingi wa viwanda...ππ
View: https://www.instagram.com/p/C-Ia5Ritrcp/?igsh=NW10NjBscWQ0em9i
Subiri yule kilaza laizerg aje kukwambia eti Dom hakuna mahoteli na zilizopo zote ni msaada wa serikaliπππ
Another 5 star hotel in Domπ₯π₯ππ
Na hapo taasisi na idara nyingine nyingi za serikali kwamfano NEMC,NIMRI,BARAZA LA MITIHANI,TANAPA,MSD n.k bado hazijahamia rasmi DomSensa ijayo Dom itakuwa namba 3 au namba 2 Kwa Magorofa
View: https://www.instagram.com/p/DNXbZykoBiK/?img_index=7&igsh=MXJrbTJxaWZzcHFiNQ==
Wameshaanza ujenzi wa ofisi zao au Bado?Na hapo taasisi na idara nyingine nyingi za serikali kwamfano NEMC,NIMRI,BARAZA LA MITIHANI,TANAPA,MSD n.k bado hazijahamia rasmi Dom
Hawajaanza ila viwanja tayari wanavyo...Wameshaanza ujenzi wa ofisi zao au Bado?
ππSubiri yule KILAZA aje kukwambia eti maghorofa ya Dodoma yapo Mtumba na UDOM pekeyake kwingine hakuna...ππSensa ijayo Dom itakuwa namba 3 au namba 2 Kwa Magorofa
View: https://www.instagram.com/p/DNXbZykoBiK/?img_index=7&igsh=MXJrbTJxaWZzcHFiNQ==
Najionea ukame tu hapa πππ
Tumewachoka Kila siku picha zile zile za mji wa mama samia na marehemu magufuli..Dodoma is dormant dusty town .. nothing new to offer zaidi ya majengo ya mama samiaSensa ijayo Dom itakuwa namba 3 au namba 2 Kwa Magorofa
View: https://www.instagram.com/p/DNXbZykoBiK/?img_index=7&igsh=MXJrbTJxaWZzcHFiNQ==