Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Dodoma kuna mipango miji??au unasema chuo cha mipango??Hii ndo Dodoma unayoisema au hii ni Darfu Sudan?🀣🀣View attachment 3466431
Endelea kujifariji Mwanza slums
Kwa kukusaidia tu Dom pia yapo maeneo mengi ya milima na rocks mfano
πŸ‘‰Area D Kwa Waziri Mkuu
πŸ‘‰UDOM
πŸ‘‰Itega
πŸ‘‰Ntyuka jeshini
πŸ‘‰Gereza la Isanga
πŸ‘‰Chidachi
πŸ‘‰Iyumbu
πŸ‘‰Ndachi
N.k
Hayo maeneo yote huwezi kuta slums +squatters kamazile za Mabatini na Igogo MwanzaπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ni aibu Mwanza kujisifia tumajengo twa kuokoteza.

Tanzania ya Samia Kila Mji magorofa yanaota daily.
Endelea kujifariji ndio na hapa tupeane miaka 5 utakua umepata jibu, Mda huu kuna site 9 za NHC ubia ndani ya CBD zinakula nyundo, Angle yenu ya kujifichia Dodoma ni high way tu nazo mda wenu unahesabika mnakula za uso
 
Anzisha hiyo beto tuone πŸ˜‚πŸ˜‚

Kirumba ni uswazi
Duuuuuuh, kuna shughuli inapigwa sio mchezo kwa majiji kama mbeya, Tanga CBD ya kirumba inawamaliza bado Buswelu upcoming CBD kali sana, tena huko ni kama ulaya, kote kumepangwa na Raia wapiga mahekalu ya hataree
 
Ni aibu Mwanza kujisifia tumajengo twa kuokoteza.

Tanzania ya Samia Kila Mji magorofa yanaota daily.
Kitu hulijui na unapaswa kukijua ni kwamba Mwanza CBD ina majengo mengi ya NHC, na mpango ni kuyavunja yote na kujenga mapya kwa sera ya UBIA, hii ipo Dsm na Mwanza kwenye majiji ya biashara, Dsm mpaka sasa kuna site 66 zinakula nyundo na mwanza kuna site 36 zimepata watu na site 18 zinakula nyundo zingine ujenzi unaendelea, tembelea page ya NHC,
 
 
Unaongelea uchumi au unaongerea majengo ebu jipambanue vzr

Maana kahama haina majengo mazuri ila ni moja ya miji tajiri tanzania

Sasa unapokuja suala la dodoma na mwanza yawezekana dodoma kuna majengo mazuri ila kiuchumi
Mwanza iko mbali sana zaidi ya dodoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…