Weka picha acha manenoKama Mwanza ni kijiji kikubwa, basi Dodoma ni kichaka kikubwa sana,10km from city centre lakini ni vichaka na mapori tu, hii ndo uje ulinganishe na rock city
Kahama Ina Utajiri gani kama huna majengo?Unaongelea uchumi au unaongerea majengo ebu jipambanue vzr
Maana kahama haina majengo mazuri ila ni moja ya miji tajiri tanzania
Sasa unapokuja suala la dodoma na mwanza yawezekana dodoma kuna majengo mazuri ila kiuchumi
Mwanza iko mbali sana zaidi ya dodoma
Medeli SHSWatakwambia hapa ni Ibiza ..no hapa ni malaika mwanza
View attachment 3471111
View attachment 3471112
The upcoming porshy neighborhoods ilemela
Why not investing in Energy au viwanda vikubwa kama chuma au coal maana impact zake kiuchumi ni kubwa sana, hizi social security funds wana pesa nyingi sana za bure they can do better kuliko biashara za majengoAnother skyscraper in Dom loading....View attachment 3532455
Mambo yote yanaenda sambamba .Why not investing in Energy au viwanda vikubwa kama chuma au coal maana impact zake kiuchumi ni kubwa sana, hizi social security funds wana pesa nyingi sana za bure they can do better kuliko biashara za majengo
Iβm not trying to be negative here lakini viwanda kama soda bado ni vidogo hata bank wanakupa mkopo kirahisi,naongelea hizi security funds with billions of money, naona they can do better kuliko kujenga majengo, why not something like 100 MW solar power plant sehemu kama Dodoma or central region, kuna jua la kufa mtu na mahitaji ya umeme ni makubwa sana, umeme utasaidia hata viwanda na sekta nyingine kukua at the same timeMambo yote yanaenda sambamba .
Go Dom go π π
View: https://www.instagram.com/reel/DTKeKLmglGn/?igsh=MW1haWZzYTB0Z2s5NQ==
View: https://youtu.be/PlLmmEcrlaM?si=QM1KkYaEK4lKI13P
Ndo mna ahadi ya kujengewa kiwanda cha pepsi saiz π π mwanza is so far ahead, Nyanza bottling imekuepo kitambo sana, serengeti breweries,sayona drinks limited nkMambo yote yanaenda sambamba .
Go Dom go π π
View: https://www.instagram.com/reel/DTKeKLmglGn/?igsh=MW1haWZzYTB0Z2s5NQ==
View: https://youtu.be/PlLmmEcrlaM?si=QM1KkYaEK4lKI13P
Tayari Dodoma Ina Viwanda ambavyo Mwanza havipo,so hivi vya vinywaji ni addition tuuNdo mna ahadi ya kujengewa kiwanda cha pepsi saiz π π mwanza is so far ahead, Nyanza bottling imekuepo kitambo sana, serengeti breweries,sayona drinks limited nk
Dom ni zaidi ya unavyoijuaIβm not trying to be negative here lakini viwanda kama soda bado ni vidogo hata bank wanakupa mkopo kirahisi,naongelea hizi security funds with billions of money, naona they can do better kuliko kujenga majengo, why not something like 100 MW solar power plant sehemu kama Dodoma or central region, kuna jua la kufa mtu na mahitaji ya umeme ni makubwa sana, umeme utasaidia hata viwanda na sekta nyingine kukua at the same time
Yaani mnakomaa na ahadi za wanasiasa hawa hawa, hamna reality ahadi ahadi tu,sa nikikuletea ahadi za mwanza si utachoka wewe, achana na ahadi, twende kwenye uhalisiaTayari Dodoma Ina Viwanda ambavyo Mwanza havipo,so hivi vya vinywaji ni addition tuu
View: https://www.instagram.com/p/DGIuQ-nqpGy/?igsh=YXp3YWh0NXNzN2c2