Wewe unazani baba yako ndiye aliipandisha hadhi? Acha upumbavu.Wewe ni kajinga,je Dodoma ilikuwa Manispaa kwa sababu za serikali? Ukijibu hili swali utajua mengine uliyoandika ni takataka zisizo na maana.
Una akili timamu kichwani kweli? Kwamba barabara hazina faida kwa wananchi ni mapambio?Hiyo miradi ya dodoma ukiijumlisha yote je inaweza kuzidi bilioni 700? Unafurahia miradi ya mapambo isiyokuwa na tija kwa wananchi unapost majengo ya serikali ofisi za serikali, majengo hayo yana msaada gani kwa wananchi wa dodoma, Mwanza ina miradi mikubwa ya kimkakati kama madaraja, ujenzi wa meli na meli za mizigo zitakazoinua zaidi uchumi wa Mwanza na kanda ya ziwa kiujumla, mradi kama wa daraja la busisi ni bilion 700, Magufuli alikuwa akiwapa white elephant wakati kanda ya ziwa alikuwa akituletea miradi ya kiuchumi, unapost majengo ya ikulu ya chamwino yana nini kwenye uchumi, yaani makazi ya rais nayo ni yakujisifia ndio maana nasema wewe ndugu yangu hauna akili ata kidogo.
Upumbavu unao wewe,Dom imekuwa Manispaa with merit jinga wewe tena toka miaka ya 80 huko .Wewe unazani baba yako ndiye aliipandisha hadhi? Acha upumbavu.
Dodoma haina vigezo vya kuwa jiji mpaka leo ndo maana ilipandishwa hadhi kuwa jiji majukukwaani.Kuwa jiji mshukuruni mzee Magu kwasababu tu alitaka kulinda maamuzi yake ya kuamia huko ndo maana mataalamu mpaka leo wanahoji uhalali wa Dodoma kuwa jiji kwasababu inazidiwa vigezo na iringa,shinyanga,morogoro,kahama na moshiUpumbavu unao wewe,Dom imekuwa Manispaa with merit jinga wewe tena toka miaka ya 80 huko .
Mkuu vitaje hivyo vigezo kutoka Moshi, Iringa na Morogoro vinavyoizidi Dodoma vinginevyo itakuwa ni chuki binafsi tuDodoma haina vigezo vya kuwa jiji mpaka leo ndo maana ilipandishwa hadhi kuwa jiji majukukwaani.Kuwa jiji mshukuruni mzee Magu kwasababu tu alitaka kulinda maamuzi yake ya kuamia huko ndo maana mataalamu mpaka leo wanahoji uhalali wa Dodoma kuwa jiji kwasababu inazidiwa vigezo na iringa,shinyanga,morogoro,kahama na moshi
Kigezo kimojawapo ni hikiMkuu vitaje hivyo vigezo kutoka Moshi, Iringa na Morogoro vinavyoizidi Dodoma vinginevyo itakuwa ni chuki binafsi tu
Vigezo viko wapi?? Umenipa kigezo ambacho kimsingi hata Arusha isingestahili kuwa jiji mbele ya shinyanga..na mimi ningekupa kigezo kimoja cha usafi basi Moshi ingestahili kuwa jiji mbele ya Dar es salaam..
Ukiwa nazungumzia majiji makubwa Afrika mashariki angalia mazingira na mandhali sio kuleta poroja .(Mwanza ni hub ya great lake region) heshima inatakiwa.Mwanza kwa sasa inaonewa na kila Mji.Size ya Mwanza ni Mbeya..
Dom City in the making ๐
View attachment 2118613
View attachment 2118614
View attachment 2118615
View attachment 2118616
View attachment 2118617
View attachment 2118618
View attachment 2118619
View attachment 2118620
Bora ata hizo barabara naona unaanza kurudi kwenye mstari, mbona unalivyokuwa unajitapa na majengo ya serikali, mara picha ya ikulu ya dodoma, nataka nikuambie dodoma itaitaji kutengenezwa kwa miaka 100 ili ifikie uchumi wa Mwanza, na pia kumbuka magorofa si kigezo cha uchumi na ukubwa wa mji. Dar ina magorofa marefu kuliko mji mkuu wa Spain(madrid ) lakini haimaanishi Dar ni bora kuliko Madrid au Geneva.Una akili timamu kichwani kweli? Kwamba barabara hazina faida kwa wananchi ni mapambio?
Hii inaitwa sizitaki mbichi hizi ๐๐.Kwamba serikali inapoamua kujenga barabara nk Ili kuja kuzuia msongamano ni mapambio hadi isubirie mshonane kama majiji yenu yenye slums ndio ibomoe na kulipa fidia ๐๐
Una DNA za upungufu wa akili sio bure ili tatizo umerithi toka kwa mababu zako.Upumbavu unao wewe,Dom imekuwa Manispaa with merit jinga wewe tena toka miaka ya 80 huko .
๐ฎ๐ฎ๐ฎ๐ฎ๐ฎ๐ฎ,Pasuka sasa na wivu ndio hivyo mumepigwa chini na Dom mumebakia kujifariji tuu.๐Una DNA za upungufu wa akili sio bure ili tatizo umerithi toka kwa mababu zako.
Wewe ni kenge tuu,kwa hiyo Dom yote ile imejaa majengo ya serikali?Bora ata hizo barabara naona unaanza kurudi kwenye mstari, mbona unalivyokuwa unajitapa na majengo ya serikali, mara picha ya ikulu ya dodoma, nataka nikuambie dodoma itaitaji kutengenezwa kwa miaka 100 ili ifikie uchumi wa Mwanza, na pia kumbuka magorofa si kigezo cha uchumi na ukubwa wa mji. Dar ina magorofa marefu kuliko mji mkuu wa Spain(madrid ) lakini haimaanishi Dar ni bora kuliko Madrid au Geneva.
Hapo ndio eisha hiyo nje ya hapo ni uswazi type ๐๐๐.Ukiwa nazungumzia majiji makubwa Afrika mashariki angalia mazingira na mandhali sio kuleta poroja .(Mwanza ni hub ya great lake region) heshima inatakiwa.
View attachment 2120189
View attachment 2120191
View attachment 2120267
View attachment 2120268
View attachment 2120270
View attachment 2120271
View attachment 2120272
View attachment 2120290
View attachment 2120294
View attachment 2120299
Mtajifariji Sana,Tupe vigezo wewe wa huko Shinyanga Vijijini ๐๐Dodoma haina vigezo vya kuwa jiji mpaka leo ndo maana ilipandishwa hadhi kuwa jiji majukukwaani.Kuwa jiji mshukuruni mzee Magu kwasababu tu alitaka kulinda maamuzi yake ya kuamia huko ndo maana mataalamu mpaka leo wanahoji uhalali wa Dodoma kuwa jiji kwasababu inazidiwa vigezo na iringa,shinyanga,morogoro,kahama na moshi
Pesa za almashauri ndio determinant ya uchumi? Naona unatafuta chaka la kujifichia.๐ฎ๐ฎ๐ฎ๐ฎ๐ฎ๐ฎ,Pasuka sasa na wivu ndio hivyo mumepigwa chini na Dom mumebakia kujifariji tuu.๐
View attachment 2120308
Unajua maana ya mapato ya almashauri na je huwa yanatokana na nn?
Yanatokana na omba omba mkuu mimi sijui tuambie wewe.Unajua maana ya mapato ya almashauri na je huwa yanatokana na nn?
Sio determinant ya uchumi ni determinant ya umaskini mkuuPesa za almashauri ndio determinant ya uchumi? Naona unatafuta chaka la kujifichia.
Sijapost ili uone magorofa nimepost ili Dodoma mjifunzi uzuri wa kupanda miti na kuwa na mandhali na muonekano mzuri wa jiji lenu.Mwanza ni habari nyingine zaidi mnatafuta plat form kupitia Mwanza.Hapo ndio eisha hiyo nje ya hapo ni uswazi type ๐๐๐.
Upuuzi kama huu huwezi ukuta Dodoma.