Acha kujitekenya na kucheka mwenye nadhani uelewi nini uchumi wa mkoa kwa taarifa yako Dodoma hata kwenye mikoa 10 yenye pato kubwa haimo.Uchumi wa mkoa unapimwa na GDP sio vimapato vya masoko.Mwanza ina viwanda vikub1.Vya chuma kama Sayona steel na Nyakato steel 2.Vya Vinywaji Coca cola,Pepsi,Tbl,serengeti,mwanza water,acquar rocky,shingha spilit,3.Viwanda vya mabati kama dragon,simba dume 4.Viwanda vya plastic kama kiboko plastic,mwanza plastic na zongii plasts 3.Viwada vya madini na migodi mikubwa ya madini kama nyanzaga (mgodi mkubwa wa pili tanzania baada ya geita),mgodi wa almas mwabuki na misungwi mgodi wa dhahabu,4Viwanda vya samaki na mabondo haviesabiki 5.Viwanda vya magidoro kama malaika 6.Nguo kama Mwatex 7.vya rangi kama corsl paint 7.Vya nyama kama chobo fresh meat sasa anzia hapo kuleta utumbo wako
View attachment 2113227
View attachment 2113229