Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Afu anatokea kima mmja aliyevimbiwa maharage na michembe anataka kuifananisha Dodoma na Mwanza 😁😁

IMG_4612.jpg

Screenshot_20220208-211306.png
 
Unajichekesha kwa kujifariji ilhali unajua Sana tuu kwamba huko Mwanza hakuna mtaa wowote wa maana kushindana na Dom.👇

View attachment 2112705
Acha kujitekenya na kucheka mwenye nadhani uelewi nini uchumi wa mkoa kwa taarifa yako Dodoma hata kwenye mikoa 10 yenye pato kubwa haimo.Uchumi wa mkoa unapimwa na GDP sio vimapato vya masoko.Mwanza ina viwanda vikub1.Vya chuma kama Sayona steel na Nyakato steel 2.Vya Vinywaji Coca cola,Pepsi,Tbl,serengeti,mwanza water,acquar rocky,shingha spilit,3.Viwanda vya mabati kama dragon,simba dume 4.Viwanda vya plastic kama kiboko plastic,mwanza plastic na zongii plasts 3.Viwada vya madini na migodi mikubwa ya madini kama nyanzaga (mgodi mkubwa wa pili tanzania baada ya geita),mgodi wa almas mwabuki na misungwi mgodi wa dhahabu,4Viwanda vya samaki na mabondo haviesabiki 5.Viwanda vya magidoro kama malaika 6.Nguo kama Mwatex 7.vya rangi kama corsl paint 7.Vya nyama kama chobo fresh meat sasa anzia hapo kuleta utumbo wako

Screenshot_2021-05-02-09-54-12.png

Screenshot_2021-05-02-09-50-47.png
 
View attachment 2113227

View attachment 2113229
Kama Mkoa wenu upo kwa nini Jiji lenu ni maskini? Mada ya hapa ni ulinganisho wa majiji sio ulinganisho wa Mikoa ,naona unatafuta kichaka cha kujifichia 😜😜..
 
Utajiri wa jiji husika unapimwa kwa mapato ya halmashauri? Mbona unakuwa mpumbavu.
 
Tueleze wewe unapimwa kwa kutumia mapato gano?

Viazi hamtakaa muishe,hayo hayo mapato ya ndani ndio yanatumika na Halmashauri husika kujiendesha na kufanya miradi ya maendeleo bila kusubiria ruzuku..

Stand ya Dom,hotel nk vyote ni Mapato ya ndani.Nyie vistendi vyenu haviishagi kwa sababu mna tuhela kiduchu twa kudunduliza 😁😁
 
Wewe unaonaje? Kati ya Dom na Mwanza wapi kumejaa maskini?
Kabishane na wendawazimu wenzako, lkn kaa ukijua Mwanza ni jiji la kibepari mfumo mkubwa wa uchumi umeshikwa na watu binafsi, taasisi na mashirika sasa ukianza kuleta habari zako, et mwanza imezidiwa na dodoma kisa mapato ya halmashauri me nitakuona ww ni mjinga tena husiyejua misingi za uchumi.
 
Tueleze wewe unapimwa kwa kutumia mapato gano?

Viazi hamtakaa muishe,hayo hayo mapato ya ndani ndio yanatumika na Halmashauri husika kujiendesha na kufanya miradi ya maendeleo bila kusubiria ruzuku..

Stand ya Dom,hotel nk vyote ni Mapato ya ndani.Nyie vistendi vyenu haviishagi kwa sababu mna tuhela kiduchu twa kudunduliza 😁😁
Serikali halmashauri itaenda kuchukua mapato kwenye mahoteli ambayo sio yao? hizo kodi huwa zinaenda moja kwa moja TRA, Huko dodoma ata mahotel, viwanja vya starehe vinajengwa na serikali so lazima wakachukue madurufu yao wayapekeke halmashauri.
 
Sawa bwana, nyinyi njombe mlijenga soko kwa pesa zenu za ndani hongereni sana.
 
Serikali halmashauri itaenda kuchukua mapato kwenye mahoteli ambayo sio yao? hizo kodi huwa zinaenda moja kwa moja TRA, Huko dodoma ata mahotel, viwanja vya starehe vinajengwa na serikali so lazima wakachukue madurufu yao wayapekeke halmashauri.
We vipi mbona mgumu kuelewa? Hoteli ya Halmashauri kama kitega uchumi ,TRA Wana Chao na Halmashauri ina fungu lake ..

Hapo investor ni Halmashauri italipa TRA Kodi stahiki na faida watabaki nayo wao.

Tazama video ya Dom 👇
 
Attachments

  • 3107294-02c191a6672587431eabca9fcc758ba3.mp4
    1.9 MB
Kabishane na wendawazimu wenzako, lkn kaa ukijua Mwanza ni jiji la kibepari mfumo mkubwa wa uchumi umeshikwa na watu binafsi, taasisi na mashirika sasa ukianza kuleta habari zako, et mwanza imezidiwa na dodoma kisa mapato ya halmashauri me nitakuona ww ni mjinga tena husiyejua misingi za uchumi.
Useless comment ya mtu aliyekata tamaa.Pepari njaa 😁😁

Dom in Video 👇
 
Attachments

  • 3085097-972aeef53bd8e447b54fef7831462e5e.mp4
    8.6 MB
Harafu utamsikia mtu anaanzisha Uzi eti Dodoma vs Mwanza,haya ni matusi kwa Dodoma..

Dodoma CC ndio inaongoza kwa mtandao wa barabara za lami hapa Tanzania na nyingine nyingi bado

Screenshot_20220209-165127.png

FLJoY0SXoAEDJOL.jpeg

20220209162128.jpg
 
Hivi vigorofa kwa Mwanza vinajengwa na vijana under 45 na vingi ni vituo vya mafuta lakini Dodoma ndo miradi ya serikali na mapambio kila siku.
 
Vionyeshe naona unabwata tuu na slums town yako.Ukweli mchungu ni kwamba baada ya Dar ni Dodoma.

Nionyeshe hata kimoja kinachofanana hivi 👇

Screenshot_20220125-235414_1.jpg

Screenshot_20220124-121534_Instagram.jpg

FD65UVxXwAQotit.jpg

J122-01-26.jpg

Screenshot_20220128-020559_1.jpg
 
Back
Top Bottom