Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Hiyo miradi ya dodoma ukiijumlisha yote je inaweza kuzidi bilioni 700? Unafurahia miradi ya mapambo isiyokuwa na tija kwa wananchi unapost majengo ya serikali ofisi za serikali, majengo hayo yana msaada gani kwa wananchi wa dodoma, Mwanza ina miradi mikubwa ya kimkakati kama madaraja, ujenzi wa meli na meli za mizigo zitakazoinua zaidi uchumi wa Mwanza na kanda ya ziwa kiujumla, mradi kama wa daraja la busisi ni bilion 700, Magufuli alikuwa akiwapa white elephant wakati kanda ya ziwa alikuwa akituletea miradi ya kiuchumi, unapost majengo ya ikulu ya chamwino yana nini kwenye uchumi, yaani makazi ya rais nayo ni yakujisifia ndio maana nasema wewe ndugu yangu hauna akili ata kidogo.
Una akili timamu kichwani kweli? Kwamba barabara hazina faida kwa wananchi ni mapambio?

Hii inaitwa sizitaki mbichi hizi 😄😄.Kwamba serikali inapoamua kujenga barabara nk Ili kuja kuzuia msongamano ni mapambio hadi isubirie mshonane kama majiji yenu yenye slums ndio ibomoe na kulipa fidia 😁😁
 
Upumbavu unao wewe,Dom imekuwa Manispaa with merit jinga wewe tena toka miaka ya 80 huko .
Dodoma haina vigezo vya kuwa jiji mpaka leo ndo maana ilipandishwa hadhi kuwa jiji majukukwaani.Kuwa jiji mshukuruni mzee Magu kwasababu tu alitaka kulinda maamuzi yake ya kuamia huko ndo maana mataalamu mpaka leo wanahoji uhalali wa Dodoma kuwa jiji kwasababu inazidiwa vigezo na iringa,shinyanga,morogoro,kahama na moshi
 
Mkuu vitaje hivyo vigezo kutoka Moshi, Iringa na Morogoro vinavyoizidi Dodoma vinginevyo itakuwa ni chuki binafsi tu
 
Kigezo kimojawapo ni hiki

Screenshot_2021-05-02-09-54-12.png

Screenshot_2021-05-02-09-50-47.png
 
Una akili timamu kichwani kweli? Kwamba barabara hazina faida kwa wananchi ni mapambio?

Hii inaitwa sizitaki mbichi hizi 😄😄.Kwamba serikali inapoamua kujenga barabara nk Ili kuja kuzuia msongamano ni mapambio hadi isubirie mshonane kama majiji yenu yenye slums ndio ibomoe na kulipa fidia 😁😁
Bora ata hizo barabara naona unaanza kurudi kwenye mstari, mbona unalivyokuwa unajitapa na majengo ya serikali, mara picha ya ikulu ya dodoma, nataka nikuambie dodoma itaitaji kutengenezwa kwa miaka 100 ili ifikie uchumi wa Mwanza, na pia kumbuka magorofa si kigezo cha uchumi na ukubwa wa mji. Dar ina magorofa marefu kuliko mji mkuu wa Spain(madrid ) lakini haimaanishi Dar ni bora kuliko Madrid au Geneva.
 
Wewe ni kenge tuu,kwa hiyo Dom yote ile imejaa majengo ya serikali?

Una matatizo ya akili wewe sio bure,kwamba haya ni majengo ya serikali sio 👇

Screenshot_20220125-235414_1.jpg

thumb_2392_800x420_0_0_auto(0).jpg

48704616256_15f13e7280_b.jpg

Screenshot_20220115-201426.png

Screenshot_20220115-203443.png
 
Attachments

  • 3107294-02c191a6672587431eabca9fcc758ba3.mp4
    1.9 MB
Ukiwa nazungumzia majiji makubwa Afrika mashariki angalia mazingira na mandhali sio kuleta poroja .(Mwanza ni hub ya great lake region) heshima inatakiwa.

View attachment 2120189

View attachment 2120191

View attachment 2120267

View attachment 2120268

View attachment 2120270

View attachment 2120271

View attachment 2120272

View attachment 2120290

View attachment 2120294

View attachment 2120299
Hapo ndio eisha hiyo nje ya hapo ni uswazi type 😁😁😁.

Upuuzi kama huu huwezi ukuta Dodoma.
 
Dodoma haina vigezo vya kuwa jiji mpaka leo ndo maana ilipandishwa hadhi kuwa jiji majukukwaani.Kuwa jiji mshukuruni mzee Magu kwasababu tu alitaka kulinda maamuzi yake ya kuamia huko ndo maana mataalamu mpaka leo wanahoji uhalali wa Dodoma kuwa jiji kwasababu inazidiwa vigezo na iringa,shinyanga,morogoro,kahama na moshi
Mtajifariji Sana,Tupe vigezo wewe wa huko Shinyanga Vijijini 😝😝

1643456511815.png
 
Hapo ndio eisha hiyo nje ya hapo ni uswazi type 😁😁😁.

Upuuzi kama huu huwezi ukuta Dodoma.
Sijapost ili uone magorofa nimepost ili Dodoma mjifunzi uzuri wa kupanda miti na kuwa na mandhali na muonekano mzuri wa jiji lenu.Mwanza ni habari nyingine zaidi mnatafuta plat form kupitia Mwanza.
 
Back
Top Bottom