The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Ni urefu wa kimo huo kwamba haufikiwi? 🤣🤣.Huo ni mfano mmoja wapo, punguza mihemko na chuki aliyekuzidi amekuzidi tu huwezi kurudisha muda nyuma.
Kwamba Mwanza imezidi nini Dom labda? Barabara mnazidiwa,mapato mnazidiwa,viwanda saizi mnazidiwa nk nk
Kama unajadiki kuizidi Mbeya na Tanga uko sahihi.