Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Huo ni mfano mmoja wapo, punguza mihemko na chuki aliyekuzidi amekuzidi tu huwezi kurudisha muda nyuma.
Ni urefu wa kimo huo kwamba haufikiwi? 🤣🤣.

Kwamba Mwanza imezidi nini Dom labda? Barabara mnazidiwa,mapato mnazidiwa,viwanda saizi mnazidiwa nk nk

Kama unajadiki kuizidi Mbeya na Tanga uko sahihi.
 
Nasema hivi hiyo ni route mbadala Mombasa ikizidiwa,mwezi disemba ni mwezi wa biashara kwa hiyo utakuwa unajenga dry port kusubiria mwezi disemba tuu? Huu si ni Wehu sasa 😁😁
Unazani kwa uelewa wako unategemea Mwanza ndio iwe inasagirisha vitu au bidhaa kwenye hizo nchi na ujafikiria kuwa bidhaa kutoka Uganda,sudan kusini, Rwanda na kenya zinaweza kuingia nchini kiurahisi kupitia bandari ya Mwanza.
 
Ni urefu wa kimo huo kwamba haufikiwi? 🤣🤣.

Kwamba Mwanza imezidi nini Dom labda? Barabara mnazidiwa,mapato mnazidiwa,viwanda saizi mnazidiwa nk nk

Kama unajadiki kuizidi Mbeya na Tanga uko sahihi.
Taja viwanda vikubwa vilivyopo dodoma ata 5 vilivyo active, mimi nitakutajia viwanda vikubwa zaidi ya 30 vilivyopo Mwanza.
 
A
Ni urefu wa kimo huo kwamba haufikiwi? 🤣🤣.

Kwamba Mwanza imezidi nini Dom labda? Barabara mnazidiwa,mapato mnazidiwa,viwanda saizi mnazidiwa nk nk

Kama unajadiki kuizidi Mbeya na Tanga uko sahihi.
Au unataka kusema viwanda vya kukoboa alizeti
 
Hatujafaidika nayo ndio maana nakwambia na wewe kwamba reli hazitaongeza Chochote significant kwenye uchumi wa Mwanza.

Zaidi utaisaidia viwanda vya Dar kufikisha bidhaa sokoni hapo Mwanza so will be the one way trade.
Pia itasahidia kufikisha mizigo kutoka viwanda vya Mwanza kwenda mikoa mingine na Dodoma ikiwemo
 
Ni urefu wa kimo huo kwamba haufikiwi? [emoji1787][emoji1787].

Kwamba Mwanza imezidi nini Dom labda? Barabara mnazidiwa,mapato mnazidiwa,viwanda saizi mnazidiwa nk nk

Kama unajadiki kuizidi Mbeya na Tanga uko sahihi.
Kaka niorodheshee viwanda vya dodoma unavyovijua na Mimi nikuorodheshee vya mwanza then tuangalie, numbers don't lie
 
Usiwe unaangalia huu upuuzi kuitetea hiyo dodoma yako! Hivi kwa akili yako ndogo unataka kunambia dodoma CC inaizidi Kinondoni MC kwenye mapato!?
Ata usishangae hayo ni mapato waliyopata kutokana na kuuza viwanja lakin pia pesa zinazokusanywa na halmshauri asilimia kubwa zinaenda serikali kuu ,so kukusanya mapato mengi sio kua na maendeleo
 
Usiwe unaangalia huu upuuzi kuitetea hiyo dodoma yako! Hivi kwa akili yako ndogo unataka kunambia dodoma CC inaizidi Kinondoni MC kwenye mapato!?
Wewe kwa akili yako finyu unaonaje? Tupe Takwimu zako basi naona unaongea maneno badala ya kuleta evidence 🤭🤭
 
Kaka niorodheshee viwanda vya dodoma unavyovijua na Mimi nikuorodheshee vya mwanza then tuangalie, numbers don't lie
Vingi sana,
Kaka niorodheshee viwanda vya dodoma unavyovijua na Mimi nikuorodheshee vya mwanza then tuangalie, numbers don't lie
Nioneshe kiwanda cha dhahabu na mbolea huko fishing City

Screenshot_20220216-210037.png

Screenshot_20220216-210117.png

Screenshot_20220216-210432.png

Screenshot_20220216-210329.png

Screenshot_20220116-184917.png

Screenshot_20220116-175746.png

Screenshot_20220116-175805.png
 
Taja viwanda vikubwa vilivyopo dodoma ata 5 vilivyo active, mimi nitakutajia viwanda vikubwa zaidi ya 30 vilivyopo Mwanza.
Yaani plants za kutengeneza juice na maji ndio unaita viwanda? 😄😄.

Habari kama hizi ni mbaya sana zinapowafika watu wa fishing town ya Mwanza 👇

Screenshot_20220216-213844.png

Screenshot_20220216-213817.png
 
Ata usishangae hayo ni mapato waliyopata kutokana na kuuza viwanja lakin pia pesa zinazokusanywa na halmshauri asilimia kubwa zinaenda serikali kuu ,so kukusanya mapato mengi sio kua na maendeleo
Huu ujinga utawatoka lini? Kwa hiyo toka 2015 hadi leo huwa wanauza viwanja na kupata mabilioni kila mwaka?

Huko mikoa yenu hakuna viwanja muuze au wanunuzi hawapo? 😀😀😄
 
Unaambiwa utaje viwanda we unaleta articles! By the way gold refinery plants zipo mwanza orodhesha viwanda sababu viwanda ni indicator ya maendeleo kwa eneo husika
Excuses as usual 😀😀😀😀.

Hujui kusoma au? Hujaona kiwanda cha dhahabu kimezinduliwa hapo?
 
Kaka niorodheshee viwanda vya dodoma unavyovijua na Mimi nikuorodheshee vya mwanza then tuangalie, numbers don't lie
Hizi sio habari njema kwa fishing town ya Mwanza,ujenzi wa kiwanda kikubwa kabisa cha TBL Tzn,achana na huyo tu plant uchwara twa Serengeti twa huko fishing town👇

Screenshot_20220216-212545.png

Screenshot_20220216-212553.png

Screenshot_20220216-212436.png

Screenshot_20220216-212404.png
 
Hizi sio habari njema kwa fishing town ya Mwanza,ujenzi wa kiwanda kikubwa kabisa cha TBL Tzn,achana na huyo tu plant uchwara twa Serengeti twa huko fishing town[emoji116]

View attachment 2121404

View attachment 2121405

View attachment 2121406

View attachment 2121407
Unaambiwa ulete viwanda unaleta articles mbona ni Kama we mzee akili yako haifanyi kazi vizuri! Sasa jiulize hivyo viwanda vya hizo bia vinavyotarajiwa kujengwa huko(hatujui lini) Mwanza vimekuwepo kwa muda gani.....taja viwanda acha kutapatapa, viwanda ndo maendeleo na maendeleo ni viwanda
 
Back
Top Bottom