The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Ni urefu wa kimo huo kwamba haufikiwi? π€£π€£.Huo ni mfano mmoja wapo, punguza mihemko na chuki aliyekuzidi amekuzidi tu huwezi kurudisha muda nyuma.
Unazani kwa uelewa wako unategemea Mwanza ndio iwe inasagirisha vitu au bidhaa kwenye hizo nchi na ujafikiria kuwa bidhaa kutoka Uganda,sudan kusini, Rwanda na kenya zinaweza kuingia nchini kiurahisi kupitia bandari ya Mwanza.Nasema hivi hiyo ni route mbadala Mombasa ikizidiwa,mwezi disemba ni mwezi wa biashara kwa hiyo utakuwa unajenga dry port kusubiria mwezi disemba tuu? Huu si ni Wehu sasa ππ
Taja viwanda vikubwa vilivyopo dodoma ata 5 vilivyo active, mimi nitakutajia viwanda vikubwa zaidi ya 30 vilivyopo Mwanza.Ni urefu wa kimo huo kwamba haufikiwi? π€£π€£.
Kwamba Mwanza imezidi nini Dom labda? Barabara mnazidiwa,mapato mnazidiwa,viwanda saizi mnazidiwa nk nk
Kama unajadiki kuizidi Mbeya na Tanga uko sahihi.
Au unataka kusema viwanda vya kukoboa alizetiNi urefu wa kimo huo kwamba haufikiwi? π€£π€£.
Kwamba Mwanza imezidi nini Dom labda? Barabara mnazidiwa,mapato mnazidiwa,viwanda saizi mnazidiwa nk nk
Kama unajadiki kuizidi Mbeya na Tanga uko sahihi.
Pia itasahidia kufikisha mizigo kutoka viwanda vya Mwanza kwenda mikoa mingine na Dodoma ikiwemoHatujafaidika nayo ndio maana nakwambia na wewe kwamba reli hazitaongeza Chochote significant kwenye uchumi wa Mwanza.
Zaidi utaisaidia viwanda vya Dar kufikisha bidhaa sokoni hapo Mwanza so will be the one way trade.
Kaka niorodheshee viwanda vya dodoma unavyovijua na Mimi nikuorodheshee vya mwanza then tuangalie, numbers don't lieNi urefu wa kimo huo kwamba haufikiwi? [emoji1787][emoji1787].
Kwamba Mwanza imezidi nini Dom labda? Barabara mnazidiwa,mapato mnazidiwa,viwanda saizi mnazidiwa nk nk
Kama unajadiki kuizidi Mbeya na Tanga uko sahihi.
Usiwe unaangalia huu upuuzi kuitetea hiyo dodoma yako! Hivi kwa akili yako ndogo unataka kunambia dodoma CC inaizidi Kinondoni MC kwenye mapato!?Hapa unajifariji tuu, tuambie wewe Mwanza ina kitu gani cha kuizidi Arusha au Dom? [emoji116]
View attachment 2120954
Ata usishangae hayo ni mapato waliyopata kutokana na kuuza viwanja lakin pia pesa zinazokusanywa na halmshauri asilimia kubwa zinaenda serikali kuu ,so kukusanya mapato mengi sio kua na maendeleoUsiwe unaangalia huu upuuzi kuitetea hiyo dodoma yako! Hivi kwa akili yako ndogo unataka kunambia dodoma CC inaizidi Kinondoni MC kwenye mapato!?
Wewe kwa akili yako finyu unaonaje? Tupe Takwimu zako basi naona unaongea maneno badala ya kuleta evidence π€π€Usiwe unaangalia huu upuuzi kuitetea hiyo dodoma yako! Hivi kwa akili yako ndogo unataka kunambia dodoma CC inaizidi Kinondoni MC kwenye mapato!?
Vingi sana,Kaka niorodheshee viwanda vya dodoma unavyovijua na Mimi nikuorodheshee vya mwanza then tuangalie, numbers don't lie
Nioneshe kiwanda cha dhahabu na mbolea huko fishing CityKaka niorodheshee viwanda vya dodoma unavyovijua na Mimi nikuorodheshee vya mwanza then tuangalie, numbers don't lie
ππππ,Hakuna uzalishaji wa kuzidi,hata lake zone vimeshindwa kukidhi mahitaji.Pia itasahidia kufikisha mizigo kutoka viwanda vya Mwanza kwenda mikoa mingine na Dodoma ikiwemo
Vya kukoboa alizeti na kutengeneza wine.Nyie mnavyo?A
Au unataka kusema viwanda vya kukoboa alizeti
Yaani plants za kutengeneza juice na maji ndio unaita viwanda? ππ.Taja viwanda vikubwa vilivyopo dodoma ata 5 vilivyo active, mimi nitakutajia viwanda vikubwa zaidi ya 30 vilivyopo Mwanza.
Ni kipimo cha umaskini.Umekosa sababu za msingi unapost kila mara huu utopolo nakuuliza tena je mapato ya halmashauri ndo kipimo cha uchumi mkubwa kwa eneo husika, au kipimo na ukuaji wa mji unaangalia mapato ya halmashauri?
Unaambiwa utaje viwanda we unaleta articles! By the way gold refinery plants zipo mwanza orodhesha viwanda sababu viwanda ni indicator ya maendeleo kwa eneo husikaVingi sana,
Nioneshe kiwanda cha dhahabu na mbolea huko fishing City
View attachment 2121384
View attachment 2121385
View attachment 2121386
View attachment 2121387
View attachment 2121389
View attachment 2121390
View attachment 2121391
Huu ujinga utawatoka lini? Kwa hiyo toka 2015 hadi leo huwa wanauza viwanja na kupata mabilioni kila mwaka?Ata usishangae hayo ni mapato waliyopata kutokana na kuuza viwanja lakin pia pesa zinazokusanywa na halmshauri asilimia kubwa zinaenda serikali kuu ,so kukusanya mapato mengi sio kua na maendeleo
Excuses as usual ππππ.Unaambiwa utaje viwanda we unaleta articles! By the way gold refinery plants zipo mwanza orodhesha viwanda sababu viwanda ni indicator ya maendeleo kwa eneo husika
Hizi sio habari njema kwa fishing town ya Mwanza,ujenzi wa kiwanda kikubwa kabisa cha TBL Tzn,achana na huyo tu plant uchwara twa Serengeti twa huko fishing townπKaka niorodheshee viwanda vya dodoma unavyovijua na Mimi nikuorodheshee vya mwanza then tuangalie, numbers don't lie
Unaambiwa ulete viwanda unaleta articles mbona ni Kama we mzee akili yako haifanyi kazi vizuri! Sasa jiulize hivyo viwanda vya hizo bia vinavyotarajiwa kujengwa huko(hatujui lini) Mwanza vimekuwepo kwa muda gani.....taja viwanda acha kutapatapa, viwanda ndo maendeleo na maendeleo ni viwandaHizi sio habari njema kwa fishing town ya Mwanza,ujenzi wa kiwanda kikubwa kabisa cha TBL Tzn,achana na huyo tu plant uchwara twa Serengeti twa huko fishing town[emoji116]
View attachment 2121404
View attachment 2121405
View attachment 2121406
View attachment 2121407