Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Mpaka beach mwanza zipo
Disorganized fishing town hiyo ndio unatupigia kelele hapa? πŸ˜„πŸ˜„
Rudia
Rudia tena maneno yako
 
Alafu kwa kuongezea tu uyo shabiby ndo hubeba tuzo ya msafirishaji bora kila Mpaka. To be honestly Dodoma imetembea sana tuache wivu
 
Wananchi wa dodoma wanaonekana hawana huwezo wa kujenga makazi yao adi wajengewe na serikali, nami nawaombea mjengewe nyumba na muishi bure bila kulipa na kodi.
 
Wananchi wa dodoma wanaonekana hawana huwezo wa kujenga makazi yao adi wajengewe na serikali, nami nawaombea mjengewe nyumba na muishi bure bila kulipa na kodi.
Wakijengewa wanapewa bure?

Hii ni serikali inajenga?πŸ‘‡



 

Attachments

  • Dodoma street video.mp4
    6.4 MB
  • 3107294-02c191a6672587431eabca9fcc758ba3.mp4
    1.9 MB
πŸ’‰πŸ’‰πŸ’‰Ukweli unauma 😬😬😬
Lazima niumie, kwasababu ata mtu mzima anapofananishwa akili na mtoto mdogo lazima achukie, hii dodoma ni yakuilinganisha na jiji kubwa kama Mwanza? Dodoma hii ndani ya dk 10 umeshamaliza mji.
 
Kumbe Sumbawanga imepangika vizuri hivi! Hongereni
πŸ™πŸ™ ,Ni πŸ”₯πŸ”₯,Saizi tuko kwenye mradi wa kuweka taa za barabarani kwa Highway ya Tanroads km 12.

Cheki video hiyoπŸ‘‡
 

Attachments

  • Makubwa yamefanyika Jangwani Sumbawanga ( 720 X 1280 ).mp4
    18.2 MB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…