Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,559
- 11,180
Nimekaa Dodoma ,, miaka 3 ,nimeondoka juzi tu ,hizo lami unazosemea wewe ,ni proposal tu hazijawa on ground ..lami kuu zipo nne tu .. barabara ya mipango, barabara ya iringa , barabara ya Morogoro ,na barabara ya singida...ni barabara moja tu ndio inataa.... mtaani ni vumbi la kufa mtu ...lami unazoziona ziko MJI wa serikali ,,nje ya mji huko ....Sie tunachofahamu ukikaa Mwanza unaweza ukalala saa 1 jioni ukaamka kesho yake Saa 7 mchana kisha ukaenda mishe mishe unarudi na angalau buku 5 kama sio mwekundu, sasa fanya hivyo Dodoma!
Mambo ya ghorofa tunachojua Mwanza yanajengwa kwa fedha za ndani na support kidogo kutoka serikali kuu huku Dodoma ikijengwa kwa fedha za serikali kuu kwa asilimia kubwa kuliko makusanyo yake na ndio maana lami kila sehemu
Barabara moja tu ndio yenye taa?? VipiNimekaa Dodoma ,, miaka 3 ,nimeondoka juzi tu ,hizo lami unazosemea wewe ,ni proposal tu hazijawa on ground ..lami kuu zipo nne tu .. barabara ya mipango, barabara ya iringa , barabara ya Morogoro ,na barabara ya singida...ni barabara moja tu ndio inataa.... mtaani ni vumbi la kufa mtu ...lami unazoziona ziko MJI wa serikali ,,nje ya mji huko ....
barabara ya Chang'ombe,na Chamwino kupitia Bonanza si ni barabara moja ..hizo taa unazosemea wewe zipo hata km 2 hazifiki ... then mi nazungumzia barabara kuu 4 nilizotaja hapo ..sasa unaponitajia hadi street roads za pale city centre barabara ya 12 mi nakushangaaBarabara moja tu ndio yenye taa?? Vipi
Wajenzi
Kisasa
Chamwino
Kikuyu
Mlezi
Uzunguni
Kuu street
Barabara ya 12
Chan'gombe hizi ni baadhi tu ya barabara zenye taa. Sasa unaposema barabara moja tu ndio yenye taa unakuwa unatudanganya
Aisee Mwanza kubwa sana nimezaliwa mwanza na nimeishi Mwanza lakini kuna maeneo mengi sijafika japo najitahiti kutembea.Sasa hizi apartment ziko eneo gani??Real estate in Mwanza ..Dodoma endeleeni na kotas zenu
Kila siku mnapost vijumba vya NSSF ,watumishi housing ,na NHC ,,sisi mwanza ni watu binafsi sio taasisi za serikaliView attachment 2269290View attachment 2269291View attachment 2269292
Kwani hizo si ndio barabara za mjini..au ulitaka taa ziwekwe mpaka Arusha?? Barabara nyingi za ndani zinataa za barabarani, Pia unaweza kuniambia mtaa gani hauna lami? Maana umesema kote ni vumbi tupubarabara ya Chang'ombe,na Chamwino kupitia Bonanza si ni barabara moja ..hizo taa unazosemea wewe zipo hata km 2 hazifiki ... then mi nazungumzia barabara kuu 4 nilizotaja hapo ..sasa unaponitajia hadi street roads za pale city centre barabara ya 12 mi nakushangaa
Hizi photo msiache kuzitupia kule kwenye uzi wetu wa Mwanza gallery🙏🙏Hiki kitu kizito umempiga nacho.... mwambie apost maeneo ya nala ,msalato,au ihumwa uone vituko
Hii ndio Dodoma halisi sasaKwani hizo si ndio barabara za mjini..au ulitaka taa ziwekwe mpaka Arusha?? Barabara nyingi za ndani zinataa za barabarani, Pia unaweza kuniambia mtaa gani hauna lami? Maana umesema kote ni vumbi tupu
Wamezoea kutuletea majengo ya serikali wakikataa uhalisia wao, hakika hii ndio halisi unaweza kuongeza na nyingine za ndani ndani naona hizi zina afadhali kwa dodoma ninayoijua mimi🤣🤣🤣🤣🤣Dodoma yenyewe View attachment 2269508View attachment 2269509
Nasubiri ,wajibu ,ndo niongeze nyingine...wanatuletea kota za wafanyakazi wa serikali ,,ndo wanatutishiaWamezoea kutuletea majengo ya serikali wakikataa uhalisia wao, hakika hii ndio halisi unaweza kuongeza na nyingine za ndani ndani naona hizi zina afadhali kwa dodoma ninayoijua mimi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unaonekana umejaa chuki mno na mji wa dodoma ndio maana unakosa hoja ya msingiDodoma yenyewe View attachment 2269508View attachment 2269509
Sasa mmi nichukie Dodoma ili inisaidie nn ...mi napingana na nyinyi mnaojifananisha na miji ambayo inawazidiUnaonekana umejaa chuki mno na mji wa dodoma ndio maana unakosa hoja ya msingi
Hujanijibu nilichokuuliza unapost picha za miaka ya tisini, haya niambie hizo picha ulizopost ni za mitaa gani ili watu wakucheke
Hiyo mitaa yote unayoitaja haina hata miaka miaka miwili tokea ipimwe kuwa viwanja vya kawaida tena belive me hayo maeneo unayoyataja kuna baadhi ya watu wamezaliwa dodoma hawayajui wala hawajawahi kufika..huko ni nje ya mji kabisaSasa mmi nichukie Dodoma ili inisaidie nn ...mi napingana na nyinyi mnaojifananisha na miji ambayo inawazidi
Au nikueleze ...maeneo ya mbwanga, Chang'ombe kuelekea mji mwema,.. barabara ya kuelekea ihumwa sgr , maeneo ya zuzu,..mnada mpya kuelekea nkuhungu ,mkonze ile ,maeneo ya mwatano,..njoo hata ilazo kutokea nzuguni kote ni vumbi tupu ......
.
Mitaa ambayo ni afadhali ni kikuyu ,area C,area D,area A,uzunguni ,na kisasa pamoja na UDOM kidogo maeneo ya kizota na chinangali .. kwingine kote ni vumbi tupu ..
Alaaa,pole Sana kwa hiyo hii ni Serikali inajenga sio? 👇View attachment 2268296
Bwiru
Ukikuta nyumba kama hizi Dom ujue zimejengwa na serikali ila hapa mza hizi ni za watu binafsi
Aisee wakati wanaendelea kujenga hayo mavitu yao wasisahau kupanda mitiPromo zinaendelea.
Dom kama Dom [emoji116]