Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,559
- 11,180
Sie tunachofahamu ukikaa Mwanza unaweza ukalala saa 1 jioni ukaamka kesho yake Saa 7 mchana kisha ukaenda mishe mishe unarudi na angalau buku 5 kama sio mwekundu, sasa fanya hivyo Dodoma!
Mambo ya ghorofa tunachojua Mwanza yanajengwa kwa fedha za ndani na support kidogo kutoka serikali kuu huku Dodoma ikijengwa kwa fedha za serikali kuu kwa asilimia kubwa kuliko makusanyo yake na ndio maana lami kila sehemu