Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Sie tunachofahamu ukikaa Mwanza unaweza ukalala saa 1 jioni ukaamka kesho yake Saa 7 mchana kisha ukaenda mishe mishe unarudi na angalau buku 5 kama sio mwekundu, sasa fanya hivyo Dodoma!

Mambo ya ghorofa tunachojua Mwanza yanajengwa kwa fedha za ndani na support kidogo kutoka serikali kuu huku Dodoma ikijengwa kwa fedha za serikali kuu kwa asilimia kubwa kuliko makusanyo yake na ndio maana lami kila sehemu
 
Screenshot_20220203-232322.png
 
Nimekaa Dodoma ,, miaka 3 ,nimeondoka juzi tu ,hizo lami unazosemea wewe ,ni proposal tu hazijawa on ground ..lami kuu zipo nne tu .. barabara ya mipango, barabara ya iringa , barabara ya Morogoro ,na barabara ya singida...ni barabara moja tu ndio inataa.... mtaani ni vumbi la kufa mtu ...lami unazoziona ziko MJI wa serikali ,,nje ya mji huko ....
 
Ifike hatua ,,hii miji iheshimu wakubwa ..niliumia sana kuingia thread ya kubishana na mbeya
 
Nimekaa Dodoma ,, miaka 3 ,nimeondoka juzi tu ,hizo lami unazosemea wewe ,ni proposal tu hazijawa on ground ..lami kuu zipo nne tu .. barabara ya mipango, barabara ya iringa , barabara ya Morogoro ,na barabara ya singida...ni barabara moja tu ndio inataa.... mtaani ni vumbi la kufa mtu ...lami unazoziona ziko MJI wa serikali ,,nje ya mji huko ....
Barabara moja tu ndio yenye taa?? Vipi
Wajenzi
Kisasa
Chamwino
Kikuyu
Mlezi
Uzunguni
Kuu street
Barabara ya 12
Chan'gombe hizi ni baadhi tu ya barabara zenye taa. Sasa unaposema barabara moja tu ndio yenye taa unakuwa unatudanganya
 
barabara ya Chang'ombe,na Chamwino kupitia Bonanza si ni barabara moja ..hizo taa unazosemea wewe zipo hata km 2 hazifiki ... then mi nazungumzia barabara kuu 4 nilizotaja hapo ..sasa unaponitajia hadi street roads za pale city centre barabara ya 12 mi nakushangaa
 
Kwani hizo si ndio barabara za mjini..au ulitaka taa ziwekwe mpaka Arusha?? Barabara nyingi za ndani zinataa za barabarani, Pia unaweza kuniambia mtaa gani hauna lami? Maana umesema kote ni vumbi tupu
 
Hii ndio Dodoma halisi sasa
images (38).jpg
images (37).jpg
 
Wamezoea kutuletea majengo ya serikali wakikataa uhalisia wao, hakika hii ndio halisi unaweza kuongeza na nyingine za ndani ndani naona hizi zina afadhali kwa dodoma ninayoijua mimi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nasubiri ,wajibu ,ndo niongeze nyingine...wanatuletea kota za wafanyakazi wa serikali ,,ndo wanatutishia
 
Unaonekana umejaa chuki mno na mji wa dodoma ndio maana unakosa hoja ya msingi
Hujanijibu nilichokuuliza unapost picha za miaka ya tisini, haya niambie hizo picha ulizopost ni za mitaa gani ili watu wakucheke
Sasa mmi nichukie Dodoma ili inisaidie nn ...mi napingana na nyinyi mnaojifananisha na miji ambayo inawazidi
Au nikueleze ...maeneo ya mbwanga, Chang'ombe kuelekea mji mwema,.. barabara ya kuelekea ihumwa sgr , maeneo ya zuzu,..mnada mpya kuelekea nkuhungu ,mkonze ile ,maeneo ya mwatano,..njoo hata ilazo kutokea nzuguni kote ni vumbi tupu ......
.

Mitaa ambayo ni afadhali ni kikuyu ,area C,area D,area A,uzunguni ,na kisasa pamoja na UDOM kidogo maeneo ya kizota na chinangali .. kwingine kote ni vumbi tupu ..
 
Hata ukiangalia msalato ile, mpunguzi,veyula , barabara ya kuelekea hombolo ,tena kiangazi hiki unaweza kusema upo jangwa la Kalahari
 
Sasa mmi nichukie Dodoma ili inisaidie nn ...mi napingana na nyinyi mnaojifananisha na miji ambayo inawazidi
Au nikueleze ...maeneo ya mbwanga, Chang'ombe kuelekea mji mwema,.. barabara ya kuelekea ihumwa sgr , maeneo ya zuzu,..mnada mpya kuelekea nkuhungu ,mkonze ile ,maeneo ya mwatano,..njoo hata ilazo kutokea nzuguni kote ni vumbi tupu ......
.

Mitaa ambayo ni afadhali ni kikuyu ,area C,area D,area A,uzunguni ,na kisasa pamoja na UDOM kidogo maeneo ya kizota na chinangali .. kwingine kote ni vumbi tupu ..
Hiyo mitaa yote unayoitaja haina hata miaka miaka miwili tokea ipimwe kuwa viwanja vya kawaida tena belive me hayo maeneo unayoyataja kuna baadhi ya watu wamezaliwa dodoma hawayajui wala hawajawahi kufika..huko ni nje ya mji kabisa
Pia nikusahihishe kwaakili zangu timamu siwezi kuishindanisha dodoma na mwanza. Mwanza ndio nyumbani kwetu kiasili Dodoma nipo kikazi
Nimekujibu kwasababu ya chumvi zako za kutisha unazungumza uongo km vile wewe pekee yako ndio unaijua dodoma
Sasa embu tukiitoa manispaa ya kinondoni niambie ni wapi panapazidi dodoma kwa mtandao wa barabara za lami?
 
Attachments

  • Screenshot_20220616-001153_1.jpg
    Screenshot_20220616-001153_1.jpg
    57 KB · Views: 14
  • dc8a648aa2c54438793901400b59ab44.jpeg
    dc8a648aa2c54438793901400b59ab44.jpeg
    55 KB · Views: 14
  • HAKUNA-UPINZANI-01-1.jpg
    HAKUNA-UPINZANI-01-1.jpg
    94.7 KB · Views: 14
Kiwanda cha Mbolea Dodoma 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220621-200752.png
    Screenshot_20220621-200752.png
    220.9 KB · Views: 12
  • Screenshot_20220621-200818.png
    Screenshot_20220621-200818.png
    41.7 KB · Views: 12
Back
Top Bottom