The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Hapo unatapatapa tuu..Kwa Mwanza hii utaongea sana mpaka utapike ulimiπππhiki nikitu kingine
Kuna nini kwenye hizo hostel za wanafunzi? Labda utuambieHapo unatapatapa tuu..
Kwa Dodoma hii lazima utetemeke π
Wivu ππKuna nini kwenye hizo hostel za wanafunzi? Labda utuambie
Tutolee uchafu wa vikotazi ya NHC vinafanana kama mabweni ya shule Waja geita au Musaba Mwanzaπππ.Sasa ona nyumba za wanaume Nyamongholo Mwanza.Porojo za kujifariji baada ya Dodoma kuwashika makende..
Cha ajabu ni nini kwa viongozi kuwa Dar? Kwani hujui kwamba Dodoma ndio inajengwa bado haijakishi kuwa na miundombinu yote ya kunifanya Serikali nzima iwe operational kutokea Dom?
Dom itazidi kuwakomesha kama hivi π
Achana na makabila ya watu mshamba wewe.mkuu shinyanga nimekaa mitaa ya LIGA shinyanga nimekuta wasukuma washamba hata daladala hamna wanapanda baiskeli tu
[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]huu uchafu unamletea nani humuHapo unatapatapa tuu..
Kwa Dodoma hii lazima utetemeke [emoji116]
Mtatia akili tuu..kama nawaona mnavyosonya..wagogo mnashida sana nyie kina matonya
Kabla ya kipost huu utumbo jaribu kuulizia histora ya Mwanza.Mwanza airport historia yake ulikuwa uwanja wa kivita bafore na hadi sasa ndo kituo cha ndege vita mpaka leo zipo za kila aina.Kuhhsu ukubwa wa ndege,Mwanza inaweza ikawa inaongoza kwa kupokea ndege kubwa za mizigo nchi hii.Yale mandege ya minofu ya samaki ni hatari na nusu.Mtatia akili tuu..kama nawaona mnavyosonya..
Air force one ndani ya Dom,hii ndio maana ya kuwa Jiji la Makao Makuu sasa π
Tuonyeshe ndege vita hata moja iliyowahi kutua huko πππ..Kabla ya kipost huu utumbo jaribu kuulizia histora ya Mwanza.Mwanza airport historia yake ulikuwa uwanja wa kivita bafore na hadi sasa ndo kituo cha ndege vita mpaka leo zipo za kila aina.Kuhhsu ukubwa wa ndege,Mwanza inaweza ikawa inaongoza kwa kupokea ndege kubwa za mizigo nchi hii.Yale mandege ya minofu ya samaki ni hatari na nusu.
Ndege za vita hata somalia zipo ..Tuonyeshe ndege vita hata moja iliyowahi kutua huko [emoji38][emoji38][emoji38]..
Acha wivu Mzee,kibali tuu kwamba mumezidiwa na Dodoma kila kitu.
Apartments za Mwanza ππππTutolee uchafu wa vikotazi ya NHC vinafanana kama mabweni ya shule Waja geita au Musaba Mwanzaπππ.Sasa ona nyumba za wanaume Nyamongholo Mwanza.
Siku mkifika hapa mtatusumbua Sana..Dodoma huwezi pata maeneo smart kama hya ...View attachment 2345076View attachment 2345077
Hakuna cha aprtment hapo.Hizo ni normal living house kwa Mwanza.Sio kama viapartment vya Dodoma vyumba viwili na sebule tena ni vya nhc lipa kidogo kidogo.Mwanza vijana wanakunjuka kujenga na hapo ni Nyamngholo hata top five ya seheme yenye makazi bora Mwanza haimo.Top ten 1.Capri pointApartments za Mwanza ππππ
Hapo hujaiweka kanyerere, bugarika,kisesa,kakebe na kishiri...hii mitaa ndo size ya kisasa ,area d na nkuhungu amabayo ndo mitaa ya kidosi hapo Dom ...Hakuna cha aprtment hapo.Hizo ni normal living house kwa Mwanza.Sio kama viapartment vya Dodoma vyumba viwili na sebule tena ni vya nhc lipa kidogo kidogo.Mwanza vijana wanakunjuka kujenga na hapo ni Nyamngholo hata top five ya seheme yenye makazi bora Mwanza haimo.Top ten 1.Capri point
2.Ilemela
3.Bwiru
4.Kiseke
5.Nyansaka centre
6.Buswelu
7.Buzuruga Mwananchi
8.Nsumba
9 Isamilo
10Nyamongholo
11.Mihama
12 Mahina
13.Buhongwa
14Calfonia
16Nyashishi
17 Bulale
18.Buyombe
19.Sawa chini
20.Usagara
Kote huko hakuna vikotazi ya vyumba viwili na sebure ni mahekalu tu
Pole Sana ..Dodoma Benjamin Mkapa Hospital πHapo hujaiweka kanyerere, bugarika,kisesa,kakebe na kishiri...hii mitaa ndo size ya kisasa ,area d na nkuhungu amabayo ndo mitaa ya kidosi hapo Dom ...
Dom mtaa unaojitutumua kidogo ni uzunguni kwingine ni hamna kitu