Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Mwanza Vs Dom.

Anyway napaoenda Dom nimejifunza mengi katika mji huo. Ila Mwanza ndo nimeanzia maisha Rasmi.

Nianze.
Majengo naipa Mwanza.
Usafiri wa umma MWANZA
Mahotel Mwanza.
Mipango mji Dom
Ukubwa wa Jiji Mwanza
Wingi wa watu Mwanza
Biashara mseto Mwanza
Bata kubwa Mwanza
Mzunguko wa pesa Mwanza.
Vyuo vingi Dom
Club Kali Mwanza
Bar Kali Mwanza
Malaya wengi Dom
Chakula bei nafuu Mwanza
Gharama nafuu za ujenzi Mwanza
Ardhi nafuu Mwanza
Viwanda vingi Mwanza
Kilimo katka peripheries MWANZA
Usafiri Bora na haraka nje ya Jiji Mwanza
 
Sasa sisi wasukuma roho zinatuuma sana Mwanza kupoteza sifa iliyokua nayo zamani [emoji23]
 
Mkuu tafuta nauli ufike Mwanza kwanza kisha ndio uje uandike hapa,
 
mkuu morogoro umefika kweli manake mji haupo pale msamvu bali unashuka chini kule
Sasa mji mpaka uanze kuutafuta huko makolongoni!!! Dodoma tuache ushabiki wakifanikiwa inshu ya maji yasambae kila mahali,litakuwa jj Kali Sana,kwanza kwa ss ,Dodoma umekuwa ni mji wa matajiri aise!!
 
Mkuu tafuta nauli ufike Mwanza kwanza kisha ndio uje uandike hapa,
Nadhani unapaswa wewe kutafuta hiyo nauli kwanza ufike Dodoma maana ninavyoandika hapa muda huu nipo mwanza.

Hapo niligusia tu kipengele cha CBD bado sijaongelea real estates za maghorofa na nyumba za kawaida, na kuna another city ndani ya jiji inayoendelea kujengwa,ubora wa makazi ya watu binafsi, mpangilio wa makazi na nakshi, mtandao wa barabara za lami na urefu wake, vyuo vikuu na vidogo, stendi kubwa yakisasa,masoko ya kisasa n.k ngoja niishie hapo mwana Mwanza usije ukakata roho bure.

Kitu pekee mwanza inaizidi Dom kwa sasa ni population kubwa na kutanuka kwa mji basi ambayo pia kila mwaka Dom anazidi kupunguza gepu hayo mengine kama ziwa, hali ya hewa, misosi, maisha nafuu ya kimasikini na pesa hakuna si point tena usituletee hapa.
 
Naomba niwe mtu mwa mwisho kuchangia
Ndugu zangu tuache utani kwa kulinganisha mwanza na miji midogomidogo kama Dodoma . Shikeni hili after dsm is mwanza.

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Neno la mkazo kila mtu ubwabwaja anavyoamini bali lihalalishe kwa kutuonesha huyo mwanza ana nini cha ziada kumpiku dom
 

Mwanza bado wako ndotoni japo wanaelewa ujio wa Dodoma ni shida kwa sasa maji yapo shingoni, almost project zote anazosubiria mwanza zikamilike na Dodoma vile vile zitakuwepo au zipo tiyari isipokuwa vichache tu kulingana na jiografia; na kingine tukilinganisha project zote ambazo zinajengwa na za baadae nina hakika bado Mwanza anakalishwa.
 
Kimeumana huku Khm vs Shy
Huyu jamaa kakurupuka nilikuwa namrudisha tu relini asiichukulie poa Shinyanga kuilinganisha na Kahama, siku zote miji midogo yakibiashara kama Kahama mara nyingi uchangamka sana mjini na huwa na movement kubwa senta kiasi kwamba usipokuwa makini waweza dhani ni miji mikubwa ila ukichepuka kidogo tu pembeni unakumbana na vichaka vya nyasaka, bulyang'hulu na kagongwa-kahama kimoja.
 
Mwanza itabaki kua juu siku zote, hakuna mji ulio mwambao wa maji ukawa ni wa kifala, Ddm itajengwa lakini Mwanza siyo kwamba itakua imesimama la hasha, itakua inaendelea pia na ilisha jengwa toka zamani pia
 
Ndiko nilipo mpaka sasa hivi, jiji pekee hapa duniani ambalo ikifika saa mbili taa zinazokumulikia highway uone unapokwenda ni msaada wa bulbs za majumbani kwa watu..nadhani umeelewa naongelea nini.
Wewe utakua ni mtoto mtoto hivi
 
Waliokupa like ni wale ambao hawaijui Dom
 
Watakwambia eti Mwanza inachukiwa 😁😁..

Wakubali tuu kwamba Dom ishawakalia kooni
 
Sijawahi kufika Dodoma lakini kwa Maendeleo na Mipango inayofanyika Dodoma by 2030 Dodoma itakuwa Jiji bora kabisa Afrika Mashariki na Kati kuna mji mmoja Uko Botswana ni Dodoma kabisa.
 
Majengo marefu ni kuanzia ghorofa ngapi mkuu?

-Ukaguzi house!
-NHIF!
-Kambarage!
-jengo la hotel mpya karibu na makao makuu ya chama!

Ukiachana na hayo Majengo ma 4 niliyoyataja hapo juu, hebu taja mengine marefu yaliyofanya dodoma iipiku mwanza...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…